Search results

  1. J

    UKAWA ni wazembe wa kutupwa

    mleta mada kubali kuwa umekurupuka ,tena umetumia maneno makali sana kwenye heading yako, hapo hoja hamna, na ntawashangaa sana UKAWA wakikurupuka kulaumu kuundwa kwa baraza la mawaziri, hayo ni mawazo yako, wengi wanasemaje juu ya ukimya wa magufuli kuunda baraza ?
  2. J

    UKAWA ni wazembe wa kutupwa

    Mtoa mada , nakupa pole na kukushangaa sana, niliposoma uzi wako nikawaza mengi sana, kwanza nilifikili ni miongoni mwa waliotumbuliwa jibu na maumivu ni makali ,sasa unaomba angalau mawaziri wawepo ili waendelee na uzembe wao wa siku zote na majipu ya situmbuliwe. Pili nikaona unayohoja ya...
  3. J

    Viongozi wa CHADEMA Rukwa Wajiuzulu kwa Kutoridhishwa na Mchakato wa Viti Maalum

    Naomba kueleweshwa, hivi hilo jina la alieteuliwa lilifikaje makao makuu ?
  4. J

    UKAWA kuuza jimbo la Nkenge kwa Dr. Kamala, kuweka mgombea asiyejulikana

    Lazima tukubaliane kuwa ndani ya UKAWA kuna manufaa na hasara kwa vyama husika, ila mtoa hoja nakushagaa October tunpigia wagombea wa UKAWA sasa limeuzwaje jimbo ?
  5. J

    Majibu ya Tundu Lissu juu ya mil. 230 ya kiinua mgongo

    majibu murua , yamenyoka, mimi shida haiko kwenye kiasi kuwa kikubwa, tatizo ni huu muda wanaopewa tukijua wengi wasio wadilifu watakitumia kwa kucheza rafu kipindi cha uchaguzi
  6. J

    Shilingi ya Tanzania yaanza kuimarika dhidi ya fedha za nje

    jaribuni basi kupost vitu vyenye kuleta mantiki exchange rate ya benki nakubaliana nayo hiyo ila hiyo ya mtaani magumashi, ni kitu kisichowezekana , mara nyingi rate inakuwa juu mtaani na sio benki
  7. J

    Kuna haja ya kuwa na timu ya Taifa?

    matokeo ya jana yakoja
  8. J

    CHADEMA Mbozi wasombwa kituoni

    Mtu anaandika utafikiri mtoto wa chekechea, habari haijaeleweka kabisa
  9. J

    Ufisadi waivuruga ngome ya Dk. Slaa

    Usilo lijua ni kama usiku wa giza, kwa faida ya wale wasio jua, fedha za jimbo ni nini na zinatolewa kwa malengo gani. Hizi fedha zinatolewa ili kutatua changamoto ndogo ndogo ambazo mbunge husika anakutana nazo ili kuweza kufanikisha kuzitatua. Fedha hizi zinatolewa kwa kiwango tofauti tofauti...
  10. J

    Deni la taifa lapanda na kufikia zaidi ya trilioni 40

    utawasikia kisema en bado linahimilika, serikali ya ccm shida kweli, ikumbukwe rahisi anayemaliza muda wake alilikuta chini ya trillion 10
  11. J

    Kamati tendaji CHADEMA Kyela yanunuliwa; Mwanyamaki, Gogodo, Mwalwange wamwaga mapesa

    amba.nkya , wewe kweli unaipenda CHADEMA ? unawezaje kutetea uovu mkubwa namna hiyo ? Mwaisango unayesema ndiye anayevuruga chama kwa taarifa yako, pengine ni uchanga katika chama hicho au wewe ni aina ya wanachama mashabiki sio mwanachama wa kweli. unapoitaja CHADEMA kyela mwaisango amefanya...
  12. J

    Kamati tendaji CHADEMA Kyela yanunuliwa; Mwanyamaki, Gogodo, Mwalwange wamwaga mapesa

    Tatizo siasa mnafayia sokoni , na kuendelea kujilisha upepo, endeleeni kuota ndoto, ndoto kuota ni nzuri, mtakapogundua mlikuwa mnaota itakuja kuwaumiza sana, uongozi ni utumishi mtakatifu, rushwa ni mwiko na fitina pia ni mwiko. watoa rushwa wote na wababaishaji hawana nafasi. Nendeni kafanyeni...
  13. J

    Kamati tendaji CHADEMA Kyela yanunuliwa; Mwanyamaki, Gogodo, Mwalwange wamwaga mapesa

    msilazimishe watu wakafanya maamuzi kwa kuangalie vihela mnavyowapa, mtu huyo akipitishwa ni bomu , litalipuka na kuiangamiza CDM kyela hata kabla ya uchaguzi itakuwa imetupwa nje. Huyo bwana mwanyamaki ana scandal nyingi zisubirini . mliotokwa na maneno kutetea ujinga huo mjiandae kuficha sura zenu
  14. J

    Kamati tendaji CHADEMA Kyela yanunuliwa; Mwanyamaki, Gogodo, Mwalwange wamwaga mapesa

    amba.nkya mimi sio mpiga ramli wa kuhisi , pengine nawe ni miongoni mwa watia nia , nasihitaji kukujua , uzingatie ushauri wangu kama utaweza kusoma post zangu vizuri na ukaitumia akili yako vizuri. Mara nyingi mtu anayehonga hajiamini, msikimbie kivuli chenu, unaposema kumchafua mtu maana yake...
  15. J

    Kamati tendaji CHADEMA Kyela yanunuliwa; Mwanyamaki, Gogodo, Mwalwange wamwaga mapesa

    Mwambelo unapaswa kuomba radhi jukwaa, mwanyamaki 2010 hakuwa chadema alikuwa ccm, ameingia chadema 2012 , na kipindi hicho kamanda mwalwange tayari CDM na anafanya shughuli za chama. Juu kamanda Mwalwange huhitaji kujua habari zake kyela tu ulizia mkoa pia kanda utaambiwa huyu ni nani katika...
  16. J

    Kamati tendaji CHADEMA Kyela yanunuliwa; Mwanyamaki, Gogodo, Mwalwange wamwaga mapesa

    Hisoria haidanganyi , Kyela itabaki kuwa Kyela . Huyo mhoga watu pesa tafsiri yake ni kwamba hana sifa ,anatafuta sifa na kukubalika kupitia kuhonga. CCM kwa mwanyamaki wanaweza sherekea ushindi kabla ya saa sita . Narudia kusema kyela itabaki kuitwa kyela na watu wake ni makini hawawezi...
  17. J

    Kamati tendaji CHADEMA Kyela yanunuliwa; Mwanyamaki, Gogodo, Mwalwange wamwaga mapesa

    kwa mtazamo wangu mimi mwanyamaki hayumo kwenye kujenga hoja, wapo vijana wengi wazuri na hawatazamwi kisa hawana hela za kuwaweka watu mfukoni, pengine huhitaji tena kupata majibu kwangu Malafyle , fanya utafiti. Na hapa sihtaji kumpigia chapuo mtu. huyo mwanyamaki tukiwa watu wenye kuitakia...
  18. J

    Kamati tendaji CHADEMA Kyela yanunuliwa; Mwanyamaki, Gogodo, Mwalwange wamwaga mapesa

    Njaa mbaya sana, huyo Mwanyamaki mnayemsema amejenga chama kwa muda mrefu tangu elfu 2010, uongo mkubwa, Mwanyamaki ametokea ccm 2012 mwezi April kuja kujiunga na CDM, wapo watu wengi wenye ushawishi na nguvu ya kushindana miongoni mwa watia nia waliopo hawazungumzwi kisa hawawezi kuwapa pesa za...
  19. J

    Kamati tendaji CHADEMA Kyela yanunuliwa; Mwanyamaki, Gogodo, Mwalwange wamwaga mapesa

    amba.nkya , nakupa pole yawezekana kyela huifahamu vizuri na watu wake pia huwafahamu, eti kura zikipigwa leo huhakika mwanyamaki anashinda. Ndoto uwa ni nzuri sana kuota hususani ile yenye matumaini ila baadaye unapokuja kugundua kuwa ili kuwa ni ndoto inaumiza sana
  20. J

    Kamati tendaji CHADEMA Kyela yanunuliwa; Mwanyamaki, Gogodo, Mwalwange wamwaga mapesa

    Siasa za kujadili mambo ya chama kwenye mitandao hazina afya hata kidogo kwa chama, kyela ina watia nia wengi wanachama ndio watakao amua nani anafaa, hizo habari za kutaja mtu kakijenga chama hazina nfasi kwa sasa, uongozi sio mtumba unannuliwa sokoni . kuna vigezo sahihi vya kumpata kiongozi ...
Back
Top Bottom