Search results

  1. C

    Hivi kuna haja ya kuzaa?

    Nakushauri mkacheki blood groups kuna kitu kinaitwa rhesus factor huwa ina leta shida kwenye upande wa kupata watoto nenda hosp ukaeleweshwe vzr
  2. C

    msaada, muongozo wa kimawazo

    Habari zenu wana jf, naombeni msaada wenu wa kimawazo katika hili. mimi ni mjasiriamali nina stationery nimepanga sehemu ambayo ina nyumba kubwa ndani. kutokana na ukubwa wa nyumba na wingi wa wapangaji kukatokea mgogoro kwenye ununuaji luku ila kwa kuwa mimi mfanyabiasha inabidi niwe na umeme...
  3. C

    Top ten wonderful names from Tanzania

    Sijaona mabagala-mkwawa 2003, msimu manyege-mkwawa 2003
  4. C

    Kiongozi wa Kambi ya Upinzani safari hii....mmmh

    'madrasa' imekujaje tena hapo? acha mambo ya udini wakati wa kuchangia mada ni kukashifu dini.
  5. C

    Sasa nahama CCM

    unahama baada ya uchaguzi, chadema ni kuti kavu hilo maneno mengi matendo sifuri, mbona kenya waliwasha moto mpk dunia iliwasikia. TUNATAKA MATENDO SI MANENO.
  6. C

    Kambi mbili za upizani katika Bunge

    mi naona bora CCM itawale tu manake hv vyama vingine vimejaa ukabila na udini tu
  7. C

    Uchaguzi 2010: Sauti ya wananchi iheshimiwe!

    si kwamba naisapport CCM, ila asiekubali kushindwa si mshindani hata kama kura zimechakachuliwa swali, je zimechakachuliwa za chama kimoja cha upinzani au vyote? je kura zilizochakachuliwa zingemuwezesha Dk slaa kunyakua kiti cha urais? je wamechakachua kura za TZ bara tu? kwani zanzibar...
  8. C

    fremu ya kupangisha inahitajika

    habari zenu wana jf, mimi ni kijana nimeamua kujiajiri natafuta fremu ya kuanzisha stationary iwe maeneo karibu na chuo chochote- dar. naombeni msaada wenu, asanteni.
Back
Top Bottom