Search results

  1. M

    Mh. Samweli Sitta: Waziri wa Afrika Mashariki Ameiasi Serikali ya CCM?

    Naomba wajuzi wa masuala ya sheria na utawala wa Dola wanijuze kama nimepotoka: Nijuavyo, malipo ya suala kama hili kiongozi yeyote hawezi kulitolea uamuzi wa kulipa au la hadi yafuatayo yote yafanyike: 1. AG apitie hukumu na kutoa maoni yake kwa serikali 2. Serikali inategemewa kuzingatia...
  2. M

    Makala: Zanzibar utata mtupu

    Katika moja ya magazeti ya leo, makala ifuatayo imeandikwa juu ya kile kinachosemekana kilijiri wakati wa utangazaji wa matokeo ya urais wa Zanzibar na nini kinawezekana au kutabiriwa kutokea siku za mbeleni. Je, kuna ukweli katika hili? ZANZIBAR UTATA MTUPU Kwa wanafiki na wenye uchu wa...
  3. M

    Elections 2010 Hili nalo litalipuka hivi karibun....maana linafukuta jikoni

    Millioni 100 kwa siku tangia mwaka 2005 hadi 2010! Hapana, haiwezi kuaminika; hapo hujanipata bado.
  4. M

    Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar alikuwa Makamo Mwenyekiti Tume ya Uchaguzi Tanzania

    Ndugu wana-JF, kumekuwa na tuhuma juu ya Tume ya Uchaguzi Tanzania kutokuwa huru na hivyo kupendelea chama tawala wakati wa chaguzi za viongozi. Inasemekana hali hiyo husababishwa na ukweli kuwa viongozi au wajumbe wa Tume hiyo huwa wamewekwa hapo na serikali iliyoko madarakani hivyo kuipendelea...
  5. M

    Elections 2010 Philip Marmo yupo hoi hospitali huko Haydom

    Nakukumbuka ulivyokuwa mkali na mkosoaji makini wa serikali wakati ukiwa mbunge; lakini ulipoingia tu serikalini ukafanana nao.. Ugua pole.
  6. M

    Elections 2010 Dr. Slaa alikuwa anaongoza Kwa 61.6% - Marando

    . . . . . Marando alisema hadi juzi Jumatatu matokeo ambayo tayari walikuwa wamekusanya kutoka katika maeneo mbalimbali ya Nchi, yanaonyesha Mgombea Urais wa CHADEMA Dk. Willibrod Slaa anaongoza kwa wastani wa asilimia 61.6%.. Ndugu zangu, umuhimu wa kuhakiki haupo tu katika kumpata Dr. Slaa...
Back
Top Bottom