Search results

  1. G

    Legitimacy crisis mounting over tanzania's undisciplined regime

    THE Tanzania economy recorded relatively good economic growth over the last decade; but it could have done much better than that...A new study on Dar's investment climate indicates that the country’s rent-management remains largely decentralized and undisciplined, with deleterious consequences...
  2. G

    National Audit Office

    Jamani mwenye information kuhusu shortlist za auditor garade II, 100 positions, lini hawa jamaamwa secretariat ya ajira wanatoa majina ya waliokuwa shortlisted? mwenye taarifa naomba atujuze! nawakilisha jamvini!
  3. G

    Fedha za Radar Kurudishwa: Mgogoro kati ya BAE, TZ na UK

    Katika hali inayoshangaza wabunge kadhaa wakiongoza na naibu spika mh. job ndugai wamekwenda london kufuatilia malipo ya pesa zilizotumika kununulia rada feki! hivi wanajf tujiulize mbona downs walivyofungua kesi wakidai fidia sikuona jitihada kama hizi kuokoa taifa! mh. membe bila aibu ya...
  4. G

    Noa

    Tembelea President's Office - Public Service Management huwa wanupdate pale kuhusu hzo post!
  5. G

    Wizara ya fedha kutangaza nafasi 200 za kazi

    Naibu waziri fedha ameliambia bunge asubuhi ya leo kuwa wizara ya fedha imetenga kiasi cha Tsh. bilioni moja kwa ajili ya kuajiri wafanyakazi wapya 200 katika mwaka huu wa fedha, aidha waziri amesisitiza uharaka wa kutangaza ajira hizo ili ziweze kusaidia upungufu wa wafanyakazi katika wizara...
  6. G

    Tatizo la PPF sio ufisadi wala uzinzi bali kugombea madaraka na kuchafuana

    Tatizo ni moja, maelezo yako mazuri lakini huwezi kuthibitisha kashfa ya ufisadi bila auditing, wewe unadai hakuna ufisadi ppf tupe hyo audited ripoti yako hapa jamvini! tatizo lako na wewe umetumwa na baadhi ya watu coz trend ni ile ile ya kuwasafisha walokutuma na kuwachafua washindani wake wa...
  7. G

    Vacancy UDSM

    Hivi ni lini waajiri wataacha tabia ya kusema a person with not less than 5 years of working experience, pumbavu sasa waliomaliza chuo hivi karibuni mnataka waende wapi, au wewe unayeajiri ulimaliza chuo ukiwa na experience pumbavu zenu!
Back
Top Bottom