Search results

  1. quimby_joey

    LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Mkuu tusaidie sisi waswahili wa Buza lugha kidogo tatizo, hiyo here say maana yake nini
  2. quimby_joey

    LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Sahihi kabisa ila kwa kutumia Google itakusaidia kuona picha zinazorushwa humu. Kama nilielewa vizuri tatizo unalopata maana nilikua nasumbuka hivi pia
  3. quimby_joey

    LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Tumia google ku access jamiforums mkuu, kwenye app picha hazionekani
  4. quimby_joey

    LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    US na NATO watakuja kustuka very late kua huyu jamaa alikua jasusi wa warusi kujua uwezo wao wa silaha za kivita
  5. quimby_joey

    LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Sisi pro Ukraine tunasubiri kusikia kutoka kwa mtakwimu wetu Kipanya44 leo wamechinjwa warusi wangapi pale Bakhmut
  6. quimby_joey

    Dark days 17/03/20...

    Kuna mmoja wao ana copy kutoka kwa mwenzie. Mwenye story yake kaamua kusitisha ili amdhalilishe yule anayefanya plagiarism. Hii stroy imeisha/itaendelea endapo tu mwizi atajisalimisha
  7. quimby_joey

    Yaliyojiri katika kesi ya Mbowe 26 Jan 2022. Shahidi wa 12 Luteni Denis Urio kuendelea kutoa ushahidi wake

    Alikuja kusema badae kua FM alimtumia message Telegram kumwambia kwanini hapokei simu yake
  8. quimby_joey

    James Rugemalira aachiwa huru, DPP hana nia ya kuendelea na mashtaka

    Mashtaka yake yameondolewa chini ya kifungu cha 91(1) cha Mwanendo wa Makosa ya Jinai
  9. quimby_joey

    Hivi kumuota mtu mara kwa mara ina maana gani?

    Mimi imenitokea sana scenario hii, naweza nisionane na mtu (+me/ke) hata mwaka au zaidi, na ikatokea siku tu nikamkumbuka/kumuwaza. Haipiti siku mbili/tatu LAZIMA either nikutane nae au anipigie simu. Hii kwenye ulimwengu wa roho imekaaje?
  10. quimby_joey

    Nchi isipotii amri ya viongozi wake kufika Mahakama ya Kimataifa ya ICC, huchukuliwa hatua gani kulazimisha?

    Nadhani utakumbuka pia kiburi cha Mkenya kiliishaje baada ya kuanza kuonyesha jeuri/ukaidi wa kujiona ni taifa huru, halipangiwi: mapigo ya Al Shabaab yakaanza non-stop, jamaa wanatoka Somalia hadi Nairobi na kwingineko wanapiga matukio wanaondoka, wakawa wanaua askari na wanajeshi kila kona...
  11. quimby_joey

    Balozi wa Tanzania nchini Ubelgiji kukutana na M/kiti wa Kamati ya Bunge ya Mambo ya Nje ya Bunge la EU kutoa ufafanuzi dhidi ya taarifa za upotoshaji

    Ukitaka kujua uwiano wa unachokisema angalia jinsi walivyoenda wao wenyewe pale central kumchukua Lissu baada ya kukamatwa, wakahakikisha anapata passport yake mpya huku wamempa hifadhi wiki nzima, wakampeleka kwa escort yao hadi JKNIA, wakampandisha ndege na wakahakikisha amefika salama. Mara...
  12. quimby_joey

    Balozi wa Tanzania nchini Ubelgiji kukutana na M/kiti wa Kamati ya Bunge ya Mambo ya Nje ya Bunge la EU kutoa ufafanuzi dhidi ya taarifa za upotoshaji

    Itapendeza siku atakayofika kwa Mcallister amkute na Lissu ambae yuko hapo hapo Ubelgiji nae kaitwa kwenye hicho hicho kikao.
  13. quimby_joey

    ICC yakiri kupokea rasmi malalamiko kutoka Tanzania juu ya ukiukwaji wa haki za binadamu wakati wa uchaguzi uliopita

    The abundant bessings be upon you. In your opinion, do you have any clue of the time frame for the preliminary examination and investigation process?
  14. quimby_joey

    ICC yakiri kupokea rasmi malalamiko kutoka Tanzania juu ya ukiukwaji wa haki za binadamu wakati wa uchaguzi uliopita

    Asante sana kiongozi kwa tafsiri yako. Ngoja tuone na hao prosecutors wa ICC tafsiri yao ikoje... Labda swali moja la nyongeza mkubwa; assuming Bensouda anasema haya malalamiko waliyoyapokea ICC ina mamlaka kuyasikiliza hivyo wanaanzisha investigation, je, sisi kama nchi tunaweza kupingana na...
  15. quimby_joey

    ICC yakiri kupokea rasmi malalamiko kutoka Tanzania juu ya ukiukwaji wa haki za binadamu wakati wa uchaguzi uliopita

    Mkuu tupe kidogo insight ya hii Rome Statute. Ni makosa gani au ya aina gani ICC wanashughulika nayo. Itasaidia sana kufunga huu mjadala
  16. quimby_joey

    Uwezekano wa kuenea kwa salafi jihadi nchini Tanzania

    Ndugu Abdulkarim, umeishia ulipotakiwa kuanza. Maswali uliyouliza ndio ulitakiwa kutoa majibu ili kuleta maana ya hili chapisho lako la pili. Mimi ni moja ya watu wanapenda kujua kwa uwanda mpana tahadhari kama hizi kila zitolewapo. Itapendeza ukienda mbali zaidi kutuhabarisha... Shukrani
Back
Top Bottom