Search results

  1. H

    Zitto na Nchemba now on tbc

    Leo nimekosa bonge la nafasi la kumuona dhaifu mwingine....
  2. H

    Jamani hizi ni akili au matope!

    wewe nawe mtoto wa diwani ama?kila mtanzania an haki.ya kufuatilia wilaya yoyote...kijiji chchte...mjinga mkubwa...kama anadanganya seme....mwehu weeee!
  3. H

    Waziri Maige na nyumba ya Sh milioni 656m

    Wana JF Mtumishi wa serikali ndugu ezekiel maige anakopa dola 200,000 bila kusema nini kimewekwa rehani kwa kazi ya ubunge wa miaka mitano..haijulikani alipata wapi zingne 210,000 na kuamua kununua nyumba...tena isiyo ya biashara.Maana yake hakuna rejeo katika hyo investment. Maige anadai...
  4. H

    Ujumbe wa Dr Slaa kwa wanafunzi

    Kwa dhuluma na umbumbu?
  5. H

    Lissu kama Lema?

    Kapige mswaki...ama osha keyboard yako...unaongea uchafu unainuka....
  6. H

    Waziri Maige na nyumba ya Sh milioni 656m

    muda wake ulishaisha siku mingi...sasa sijui unamuhesabia nini....huo ni mkwara na washauzoea.
  7. H

    Mhe. Nimrod Mkono asaini kumwondoa waziri Mkuu!

    Huyu mkono nae sio safi...si yule wa bodi ya mkopo iliyojaa uozo?
  8. H

    Katika picha: Wabunge wakisaini kumuondoa Pinda

    This is radical movement
  9. H

    Natangaza 'kumdharau' January Makamba rasmi!

    huyu si ndiye yule anayetaka uwaziri wa nishati na madini?
  10. H

    Kamanda Lema kuanza Dar!!

    Sie kina mangi tunajua maana yake hiyo...hajakosea...ni kisaa!
  11. H

    Je, kweli CHADEMA ni mpango wa Mungu?

    Sasa wewe unataka tumtaje shangazi yako?
  12. H

    Is President Kagame behind General Imran Kombe's assasination?

    kanchi kao nako kama wilaya....lazima utaonekana
  13. H

    SIBUKA TV-Dr lwaitama amshauri mkapa kutojihusisha....

    Ukiona mtu aliyethubutu kupiga dili akiwa ikulu anafanya kazi ya siasa ndogo kama za uchaguzi wa vijimbo jua njaa imepiga hodi....
  14. H

    Barua kwa Dr. W. Slaa

    Luteni wewe ni Jembe.
  15. H

    Kauli ya Nape Juu ya Arusha na Tafsiri Yangu

    tutazidi kuitembelea mkuu...rafiki anatakiwa kua karibu...na adui karibu zaidi.
  16. H

    Jicho la tatu Arusha na Lema linavyoona

    Ushahid upi ulitolewa mkuu...mbona una matusi hivyo...ushahidi haukua na vielelezo...hata mimi ningeweza sema alimtukana mama yangu...lakini wapi kithibiti...waliokashifiwa mbona hawakusema kama waliathirika?....acha ushabiki...angalia taratbu...hata kama alisema,ushahidi hautoshi.
  17. H

    Jicho la tatu Arusha na Lema linavyoona

    muda wa kuezeka kibanda changu cha ngulelo pale...chama cha matusi kitaleta pesa...
  18. H

    Kwa hili Godbless Lema unakosea

    sasa kwani hapo kuna tatizo gani?mapinduz ya kukataa udhalimu.
  19. H

    Godbless Lema avuliwa ubunge

    Hata tukiweka jiwe...pale mtakwama....CDM DAIMA
Back
Top Bottom