Search results

  1. Jidundufila

    Naaam, Star TV ndani ya DSTV - Channel 291

    Hatimae star tv imeanza kupatikana ndani ya Dstv chanel 291
  2. Jidundufila

    Yaliyojiri Mkutano wa CCM Viwanja vya Jangwani (Dar) Juni 9,2012

    Magufuli: Wanaotaka kurudisha kadi za ccm waje mbele
  3. Jidundufila

    Mhe. Pinda aahirisha Bunge hadi Juni 12, 2012

    Hivyo ndo harakati zilipoishia.
  4. Jidundufila

    Najivunia kutoka jimbo linaloongozwa na mbunge wa upinzani

    Zanzinar vipi huko mbona mko kimya?
  5. Jidundufila

    Najivunia kutoka jimbo linaloongozwa na mbunge wa upinzani

    Refer the heading.Binafsi nafarijika sana kuwa miongoni mwa wa Tz wanaotoka kwenye chama cha upinzani tz. Sijui we mwenzangu unasemaje?
  6. Jidundufila

    Sabodo atoa 100 mil, baiskeli za walemavu, visima 10, ashangazwa na Mkapa

    Radio one habari ya saa mbili. Pia katoa eneo la kujengea ofisi Mwenge
  7. Jidundufila

    Updates: Zoezi la kupiga kura - Arumeru East

    Jamani malusinde tuwaachie wenyewe
  8. Jidundufila

    Updates: Zoezi la kupiga kura - Arumeru East

    wapo radio wametangaza vituo vitatu chadema wanaongoza katika vituo vyote hivyo kwa margin kubwa sana
  9. Jidundufila

    TANGAZO: Kuhusu siku ya wajinga.

    Napenda kuwapa taarifa kuwa siku ya wajinga imekwisha saa nne asbh. Hivyo naomba tuendelee na utaratibu wetu wa kawaida.
  10. Jidundufila

    IN PICTURES LIVE TOKA KARIMJEE - Buriani Dada Regia Mtema

    Asanteni sana wana habari wote hakika mmetuwakilisha vyema. Dada yetu apumzike kwa Amani
  11. Jidundufila

    Leo ndio leo VINEGA Vs CLOUDS

    Mabaga fresh, suma g, sogy dogy, zay b, sister p. Wote hawa walipotezewa na mafisadi wa mziki.
  12. Jidundufila

    Leo ndio leo VINEGA Vs CLOUDS

    Habari zenu watanzania wa kweli. Jana nimewasikiliza vinega kupitia FNL kusema ukweli wamenigusa sana nusura nitoe chozi jinsi wasanii wa bongo wanavyodhulumiwa. Mi mwenzenu leo mapemaaa naenda kuwaunga mkono hawa ndugu ni kweli wanalenga kumwinua mtanzania nakusihi usikose twende ustawi wa...
  13. Jidundufila

    Report ya kamati ndogo ya bunge-sector ya gas

    kigwangala: Walioiba bilion 46 warejeshe ndani ya siku 10
  14. Jidundufila

    Report ya kamati ndogo ya bunge-sector ya gas

    Mjadala mkali unaendelea hivi sasa.Ufisadi unazidi kuibuliwa na wabunge.
  15. Jidundufila

    Monopoly and Expansion za Kanisa ni Tishio kwa Nchi

    Kwa hiyo we unataka kila sheli na kiwanda tujenge misikiti
  16. Jidundufila

    Ule mtaji wa kura 11,000 za CUF uko wapi Igunga?

    Nakumbuka wakati kampeni zinaaoza CUF walisema wameanza na mtaji wa kura 11 elfu je umeyeyukia wapi?
Back
Top Bottom