Search results

  1. A

    Wakili Albert Msando kulikuwa na haja kweli?

    Wakili Msomi Petro, Kwanza nashukuru kwa maswali yako na pia kuepusha Uzi huu na hayo mengine huko. 1. Taarifa ya jana haikuwa rufaa. Ni taarifa ya nia ya Zitto kukata Rufaa Baraza Kuu dhidi ya adhabu ya kuvuliwa nafasi zake za uongozi. Ni taarifa ya nia na sababu za nia hizo. Sababu kwa...
  2. A

    Albert Msando apotoka tena

    'Tuwe' principled sasa. Wote. Na hapa wote unajua namaanisha nani na nani. Ni hatua gani zichukuliwe na sisi ambao tunatakiwa kuwa principled? Nafasi yangu na yako katika hili hazitofautiani. Nini kifanyike, lini, wapi na nani?
  3. A

    Albert Msando apotoka tena

    Umaarufu unadhani utanisaidia nini Mkude? Sihitaji umaarufu hata kidogo. Mbona haukusema haya wakati nilipomtetea Mh. Mbowe; Mh. Ndesamburo; Mh. Nassari; Mh. Lema nk kwenye kesi zao? Kwa hiyo ghafla nakuwa kenge nikitetea Kanuni na Katiba ya chama kisa tu anayehusika ni Zitto? Naamini...
  4. A

    Albert Msando apotoka tena

    Tumeanzia hapo kiongozi. Nasubiri maelekezo
  5. A

    Albert Msando apotoka tena

    Tuhuma dhidi ya Zitto ni kutokana na Waraka wa Mwigamba ambao unasemekana ni Mkakati wa Ushindi wa Uchaguzi wa ndani ambao uliandaliwa kwa siri. Mkakati huo kutokana na maudhui yake unasemekana kukashifu viongozi, kutoa tuhuma za uongo, kujenga makundi, kuchonganisha wanachama na viongozi na...
  6. A

    Albert Msando apotoka tena

    Molemo, nitajie matusi yangu kwa Chama na Kamati Kuu. Nitaona aibu. Ulinzi wa nini nahitaji? Unawapa sifa CCM wasizostahili hata kidogo. Katika maisha yangu CCM wangekuwa wameongea na mimi au wamenitumia kwa hata jambo moja wangejisifu sana. Hilo halitakaa litokee na wanajua hivyo...
  7. A

    Albert Msando apotoka tena

    Ben, nakubaliana na hoja ya vichaka vitatu. Kwanza haujui kama huyo aliyesema hayo maneno sio mwanachadema brother. Sio kila anayekosoa sio mwenzetu. Pili, hoja yangu ni nyepesi sana. Ingeweza kujibiwa kwa NDIO au HAPANA. Kwamba, je Kanuni zimefuatwa au la. Badala yake hoja inahama na...
  8. A

    Mwanasheria wa Zitto atolea ufafanuzi makosa 11 ya Zitto na wenzake

    Nitajibu kwa ujumla kwa sababu majibu ya masuali yako ndio msingi wa utetezi uliowasilishwa. Kuandika ingredients za utetezi au kwa maana nyingine maelezo ya utetezi sio sawa. Hayo yote yatatolewa muda ukifika. Zitto aliomba kujiuzulu sio kwa kukiri makosa ila kwa sababu viongozi wenzake...
  9. A

    Albert Msando apotoka tena

    Vichaka vitatu!!
  10. A

    NEC yapata pigo kuzuiwa upendeleo wa kampuni ya vifaa vya uchaguzi

    NEC yapata pigo 11/12/2013 | Posted by Mwandishi Wetu | Kitaifatangulizi | 0 comments | 87 views TUME ya Taifa ya Uchaguzi Tanzania (NEC), imepata pigo baada ya Mamlaka ya Rufaa za Zabuni za Umma (PPAA), kuizuia isitoe zabuni za kuandaa vifaa vya uchaguzi vya kielektroniki kwa kampuni za M/S...
  11. A

    NEC yapata pigo kuzuiwa upendeleo wa kampuni ya vifaa vya uchaguzi

    ".......Kwa mujibu wa taarifa za mtandao wa PPAA, uamuzi huo ulifikiwa mwezi uliopita ambapo NEC imeamriwa kurudia upya mchakato mzima wa kutoa zabuni, ikiwemo kutangaza katika vyombo mbalimbali vya habari kwa utaratibu unaokubalika. Mkakati wa NEC kutoa zabuni kwa kampuni hizo uliibuliwa na...
  12. A

    Albert Msando apotoka tena

    Ben: 1. Ni nini ambacho nimepotosha? 2. Ni kashfa gani nimetoa dhidi ya chama? 3. Ni uzushi gani nimefanya dhidi ya chama?
  13. A

    Albert Msando apotoka tena

    JF, Issue sio Msando Albert ni nani au kwa nini anatetea. Issue ni rahisi natetea nini na utetezi wangu uko based kwenye nini. 1. Utaratibu wa kumvua Zitto nyadhifa haukufuatwa. 2. Sababu zilizotolewa ni circumstantial. Hazijitoshelezi. Zote zinatokana na waraka wa Mwigamba. Kabla...
  14. A

    Albert Msando apotoka tena

    Mwaikenda, 1. Kutetea utawala wa Sheria na tafsiri sahihi ya Katiba yetu ni kubomoa chama? Ndio mimi ni Diwani lakini itakuwa ajabu sana kusema kwamba kumtetea Zitto lazima nijiuzulu kwanza. Mimi sio mjumbe wa Kamati Kuu, Baraza Kuu wala Mkutano Mkuu. Mgongano wa maslahi unatoka wapi? Naweza...
  15. A

    Upotoshaji wa Albert Msando wakili msomi katika taarifa yake kwa vyombo vya habari.

    ....hatua za dharura bila kuzingatia utaratibu wa (b), (c) hapo juu kama itaona maslahi ya Chama kwa ujumla yanaweza kuathiriwa.... Soma kwa bidii. Tena na urudie tena. Labda huoni ninachokiona mimi.
  16. A

    Lissu usimjibu Albert Msando, mimi Namjibu

    Mwakalinga, sio kwamba tulipishana. Nilivyosema ni kwamba mpaka sasa wakina Zitto hawajapewa barua zao ili waweze kujibu. Kitila yeye alisema ingawaje hawajapewa barua lakini wanayaheshimu maamuzi hayo. Sasa chukulia mfano huu. Mshtakiwa ameshtakiwa kunyongwa yeye kakubali adhabu lakini...
  17. A

    Lissu usimjibu Albert Msando, mimi Namjibu

    Utaratibu wa kukata Rufaa upo na ndio sababu jana tumeeleza kwamba taratibu zote zitafuatwa kwa mujibu wa Katiba na kanuni. Ni watu wachache wanataka jambo hili likuzwe na kuonekana ni mpasuko.
  18. A

    Lissu usimjibu Albert Msando, mimi Namjibu

    Tatu, Unayosema ni kweli. Katika hali ya kawaida hayo yangejadiliwa kwenye vikao na kurekebishwa. Tatizo limeshajitokeza na lazima tukubali kwanza halafu tutatue. Sioni kwa nini tuogope kukiri tatizo na kulitatua. Katika hili tumekosea. Na ni jambo la kawaida kabisa kukosea. Utaratibu...
  19. A

    Lissu usimjibu Albert Msando, mimi Namjibu

    Yassin, umenishangaza sana. Ila kipimo cha urafiki wa kweli unakijua. Au labda umeamua kujisahaulisha. Moja ya kauli zako.... Kama ulivyoona hapo juu alitajwa ndugu yetu Albert Msando, sasa leo kamanda Albert Msando amevunja ukimya na kuweka haya kwenywe wall yake ya FB kama Salamu kwa...
  20. A

    Lissu usimjibu Albert Msando, mimi Namjibu

    Unayo nakala ya makubaliano hayo? Ni vyema ukayaweka hapa.
Back
Top Bottom