Search results

  1. M

    Zijue nchi za Afrika na majina yake ya zamani

    Asante chief, majina kama Dahomey, Zaire, South West Africa, Upper Volta etc tuliyatumia primary school
  2. M

    Nataka kujua kuhusu mwezi kutoonekana

    Ni swali muhimu kujiuliza. It is a coincidence nami I had that question wakati a week ago
  3. M

    Kupotolewa na vifaa

    Kaibiwa. Ila amesema yeye anataka vifaa vyake tu. Mambo ya kesi anaona hayatamsaidia zaidi ya kupata vitendea kazi vyake
  4. M

    Kupotolewa na vifaa

    Habari za jioni Wanajamvi, Kuna rafiki yangu kapotelewa na vifaa vyake siku ya Jumanne saa tatu usiku kule tegeta. Vifaa hivyo ni pamoja na: (1) Laptop aina ya Lenevo Think Pad pamoja na chaja yake (2) Hard disk moja ina cover jekundu 1 terabyte (3) Memory sticks/flash disk 2. Ya rangi ya...
  5. M

    Kupotolewa na vifaa

    Habari zenu wanajamvi Kuna rafiki yangu mmoja kapotelewa na vifaa vyake siku ya jumanne mida ya saa tatu usiku kule Tegeta: Vifaa hivyo ni pamoja na: (I) Laptop aina ya Lenovo Think Pad pamoja na charger yake (2) Hard disk ya 1terabyte nyekundu (3) Memory sticks 2, moja ya njano, nyingine...
  6. M

    Kabla ya Dunia kutengenezwa kulikuwepo na nini??

    Nothing creates nothing Mr Free ideas! The Universe did not come out of some sort of accident. The Universe is well designed, and you too as a creature with astonishing system within you!
  7. M

    Kabla ya Dunia kutengenezwa kulikuwepo na nini??

    Tindikalikali, It is beyond human understanding.....you got your well mended shirt, trying to think who created the shirt will take a million years!
  8. M

    Kabla ya Dunia kutengenezwa kulikuwepo na nini??

    Free Ideas as you call yourself! Do you thing you created yourself? And the food you are eating? And the brain that u are using to now free think? The water your are using and abusing? The organized universe and the things we see did not create themselves. Even simple things like your beautiful...
  9. M

    Hatutashambulia Tanzania ila ziwa lote ni la Malawi

    The Late Kamuzu Banda, alitaka kuchukua ziwa lote na sehemu za Mbinga na Kyela, lakini hakuthubutu mbele ya Mwl. Julias K. Nyerere. Huyu Prof anafuata sera za Bi Joy? Anasema no negotiation? Najua viongozi wetu na jeshi letu wapo makini kulinda mipaka ya Tz. Wasimguse hata mvuvi mmoja wa Tz...
  10. M

    Nyumba inauzwa karibu na Azam Complexy Chamazi.

    Vipi maji yapo kaka?
  11. M

    Nyumba Inauzwa Bunju

    Halo! Bunju ipi? Maji yapo? Bei?
  12. M

    friji ya biashara milango miwili inauzwa

    Halo! Hiyo friji bad ipo? Ni bei gani? Ina tatizo gani? Nipe namba nikupigie
  13. M

    Jenerali Ulimwengu afunguka: Muislamu 'khamsa-swalawat'

    Simple minds discuss people! Hapa kinachotakiwa ni kujadili hoja iliyoletwa na Jenerali Ulimwengu The Great, na siyo eti katokea wapi. Tupunguze unafiki wabongo ili tuendelee
  14. M

    Tb Joshua alivyonipa utajiri

    Innocent Chacha Hayo ni ya kweli? Nawezaje kuthibitisha kuwa miezi minne iliyopita ulikuwa huna kitu na sasa una utajiri kiasi hicho?
  15. M

    Natafuta fundi wa Tv. Samsung Plasma Model code PS50Q96HDX/XE4

    Habari wana JF Tv yangu Samsung Plasma Model PS -50Q96HD imepata hitilafu Sauti inatoka lakini screen ni blank kabisa hakuna picha. Ni ya mwaka 2008 so haina warranty. Nadhani ni tatizo la power supply. Nahitaji msaada wa fundi mwenye weledi please.
  16. M

    Siri ya kuishi maisha marefu

    Very good article bro!
  17. M

    Tindu lisu inatakiwa apumzishwe ndani kwa muda

    Kama mkubwa akikosea asiambiwe? Kila mwanadamu ana mazuri na mapungufu yake. Ni busara kujadili yote. Siyo always sifa tuuuuuu wakati kuna makosa pia.
  18. M

    Mbinu za kufanya biashara

    Asante Mkuu kwa kutukumbusha umuhimu wa kuweka akiba. Hiyo TAJIRA account inalipa riba juu ya riba? Yaani compound interest?
Back
Top Bottom