Search results

  1. Kim

    Uliza chochote kuhusu Karagwe na Wanyambo wanaopatikana mkoa wa Kagera

    Hii ni nzuri, angalau imefanya uchambuzi wa kina kuhusu Karagwe. SISI Abakaraza ba Kasheshe tulikuwa karibu sana na Omukama Rumanyika hasa kwenye kutoa miongozo ya utawala. Babu zetu walikuwa watumishi wao wa karibu. Binafsi nimemwona na kumshuhudia omukama wa mwisho bwana Cosmas Rumanyika...
  2. Kim

    Kinadada/kinakaka (wanandoa watarajiwa) mmejipangaje?

    Ambacho mabinti wanatakiwa kustuka , ni kwamba wengi wataolewa na bodaboda, wafanya biashara, ukibahatika mwanasiasa, kwa sababu wasomi hawana ajira, hivyo atakwambia nisubiri nipate kazi , utazeeka unamsubiri Lakini pia kumbuka binti mzuri ni miaka 22,23,24,25. Kwa mliofika chuo kikuu basi...
  3. Kim

    Unataka kuolewa mdada umejipanga?

    Uko sawa sipunguzi siongezi neno... hawajui kuzisoma ht nyakati zao wenyewe.. wengi hupendelea kuambiwa ' how young are you ' na sio 'how old are you'..hujiona bado bado tu...wataalamu wa kuchagua bila kuchunguza...wako bizeee na make up kila siku..huku kioo kikiendelea kuwadanganya! Make...
  4. Kim

    Makinikia Live-Part 1

    Early this year, when president Magufuli declared a ban on mineral concentrates export, very few people took this cautiously. Only Acacia reacted to the order. No one ever expected a matter to escalate to this level today because this was just the beginning. The order was followed by the...
  5. Kim

    Tetesi: Kuna tetesi kwamba Marekani inapanga kutangaza vikwazo kwa Serikali ya Tanzania

    Matatizo yaliyopo ni mengi na sababu sio Marekani wala misaada ya wahisani.....kuna tu haliko sawa na huu ndio ukweli wenyewe!
  6. Kim

    Bunga kiboko kwa wanaume "Dakika mbili"

    wanaume ambao hawaridhishwi na waume zao wakoje? I see contradiction. Nilidhani wanawake vs wanaunlme but hapa naona imejirudia mara nyingi...
  7. Kim

    Kuomba hela mwanaume/mpenzi

    Kila siku nakutana nayo haya..hadi nimekomaa...
  8. Kim

    Kuomba hela mwanaume/mpenzi

    Day one tu ushakuwa bebi, hata b4 u bkum one, ataanza unajua kifursuhi changu kinakaribia kuisha, naomba niunge beeebi, mara hivi, ukikubali tu.. kwishney. Sasa bebi kuna mzigo nimeagiza afu nanii alisema atantumia hela kesho, so naomba afu hamsini nilipie then ntakurefund kesho..nyoooo...
  9. Kim

    Uliza swali lako mdahalo wa wagombea Urais utakaofanyika Oktoba 18, 2015

    Maswali kwa Lowassa: 1. Ukiwa Arusha Ukiomba kuchaguliwa kuipeperusha bendera ya CCM kama mgombea Urais wa JMT,uliongea yafuatayo mbele ya halaiki " CCM imefanya mambo mengi makubwa sana na mazuri sana chini ya uongozi wa Rais Kikwete. Rais KIKWETE amefanya kazi nzuri sana hadi anapoondoka...
  10. Kim

    Nyaraka muhimu za skendo ya Wizara ya Ujenzi

    Hivi kwa nini msubirie wakati huu ndio muibue hizi kashfa? Kwanini sio Januari au Februari au huko nyuma? Ni woga ama..... Leta data za msafi pia, sio kila siku mnaleta matatizo tu! Wananchi wanachoka na pia hawatawapima viongozi bora kwa kuibua kashfa tu.... na hakuna atayeiona ikulu kwa...
  11. Kim

    Why Power - Energy Related Scandals hampered the 4th phase Government for the past 10 Years?

    The outgoing government has been detriment to the power related scandals involving Tanesco at large. It has gone further to the multi-reshuffling of the cabinets. Why has this been the case? Should we expect more similar and serious problems related to this as far as we have many multi-...
  12. Kim

    Regia Mtema is No More!

    Hard to believe, Sad to accept..RIP Regia
  13. Kim

    Tunajifunza nini kwenye milipuko ya gongo la mboto? Gharama ya kuhifadhi amani ni kub

    Wahenga wanasema: Kama hujui kufa, angalia kaburi. Ukiangalia hali ya maisha ya Dar es Salaam na hasa wakazi wa Gongo la Mboto na vitongoji vyake katika saa 24 zilizopita, unapata picha halisi ya gharama za uvunjifu wa amani na ama kutokuwa na amani kabisa katika jamii. Huu mstuko wa saa 24...
  14. Kim

    Barua ya Sakina ya kujiuzulu hii hapa

    Nimekuwa nikimwona Mzee Mengi kuwa ni mzalendo halisi lakini sasa naanza kuhofu kuwa kuna maslahi anayafukuzia katika biashara zake. Iweje mtu anayeonyesha uchungu kama tunavyomwona kwenye vyombo vya habari aanze kudictate kitu gani kiripotiwe wakati media kazi yake ni kuelimisha kupitia habari...
  15. Kim

    Obama: Tanzania ni mfano wa kuigwa

    Wewe ni kachero wa Chama Cha Mafisadi? (Simaanishi CCM lakini..) Hivi mtu mpumbavu akisifiwa kuwa ni mwelevu na ana akili unaelewaje? Utakuwa na akili ghafla simply bkoz umeambiwa una akili? Mara ngapi tumesifiwa kuwa tu mfano wa kuigwa na uchumi unapanda? Unajua kuwa wenzetu huwa wanaishia...
  16. Kim

    Obama in Ghana

    Hii sio kali tu bali pia ni KUBWA KULIKO!!! Lakini haina tofauti na kauli za viongozi wengine wa kiafrika hususan Tz ambao huwa wanawakusanya vibaka na omba omba na kuwasweka ndani wakati wa ujio wa viongozi wa mataifa mengine hasa ya magharibi. Sina uhakika kama ndio "kufunika kombe ili...
  17. Kim

    East African Federation (EAF) public Views

    Nadhani mjadala huu wa kujiunga kwenye jumuiya hii umeharakishwa mno. Sababu hata hii tume ya kuratibu maoni ya wananchi inafanya kazi mbili kwa mara moja. kuwaelezea watu nini jumuiya ya afrika mashariki halafu kuwa shawishi. ni sawa na kumfundisha mwanafunzi somo jipya na baada ya saa moja...
Back
Top Bottom