Search results

  1. kishaija

    Je, ni kweli muislamu akibadilisha dini adhabu yake ni kifo?

    Upande wa pili wanajitahidi san kuuchafua uislam.Huwa wanapandikiza Mambo ambayo hayapo kabisa katika Qur'an.ila nchi za ulaya watu wanaingia kwa mafungu katika Uislam
  2. kishaija

    Pasaka yadorora tena mwaka huu , ugumu wa Maisha watajwa

    Jiandae na mapovu ya wenye pasaka yao
  3. kishaija

    Kikuu App ni ya kweli?

    Ingia mkenge uliwe kichwa
  4. kishaija

    Dunia hii ina mengi kumbe, mwanaume unaweza kumpa limbwata mwanamke

    Hii ni chai lakn kuna wana watajichanganya tu kwenda Pm
  5. kishaija

    Natafuta Mpenzi asiyependa Ngono

    Tafuta popcon,ukute unatafuna mojamoja.Wapo wanakuja Pm
  6. kishaija

    Faida za kula nyama ya kuku

    Nzuri ipikwe kama supu au hata ikiungwa faida ni zilezile?
  7. kishaija

    Kazi hizi hufanya Wanaume wengi kula tunda kimasihara

    Siamini kama madereva tumesahaulika
  8. kishaija

    Ni ipi faida ya Bima ya vyombo vya moto?

    Ni kwel lakn mbona hiyo bima haiwasidii walengwa?
  9. kishaija

    Nilivyokwenda Afrika Kusini bila kuwa na Ndugu wala Rafiki kule

    Nimekuja kuchungulia labda jamaa kaja kuelendelea
  10. kishaija

    Wakati Watanzania wakibishana juu ya Bandari ya Bagamoyo, Kenya wafungua Bandari ya Lamu

    Lakn inasemekana bandari ya Bagamoyo isingekuwa na faida kwetu kama tungekubali ijengwe
  11. kishaija

    Faida tatu za sigara

    Nawe unaamini kweli wavuta sigari kwao wezi hawaingii?!?!JIDANGANYE na huo ufafanuzi wako
  12. kishaija

    Kwa mafundi simu wa Hardware

    Hot air station(Blower)
  13. kishaija

    Kisa kilichonifanya nikatafakari sana!

    Uliposema moyo wako ulikuw mzito na ukaondoka ivo ivo.Nikahis labda utatuambia baadae ulikuja kufa[emoji3]
  14. kishaija

    Sheikh Mattaka: BAKWATA ndio wengi kesho misikiti zaidi ya 300 Dar itatumika kwa ajili ya swala ya Idd

    Tunajua umesema kwa kejeli.Haya wanaabudu mwezi,kwani we inakuuma nin?!
  15. kishaija

    Nilivyokwenda Afrika Kusini bila kuwa na Ndugu wala Rafiki kule

    Kila siku jioni nakuja huku kuchungulia kama msela kaamua kuendelea
  16. kishaija

    Nilivyokwenda Afrika Kusini bila kuwa na Ndugu wala Rafiki kule

    Bado tunamsubir.Tunaimani atakuja kuendelea[emoji26]
  17. kishaija

    Nilivyokwenda Afrika Kusini bila kuwa na Ndugu wala Rafiki kule

    Kwann tusiupotezee huu uzi?!Labda mshkaji atajishtukia na kuamua kuendelea mwenyew
  18. kishaija

    Nilivyokwenda Afrika Kusini bila kuwa na Ndugu wala Rafiki kule

    Kesho asubh Kegan Paul ataenda church.So,time za mchana atatupia episode mbili.Ameniagiza niwatake radhi mana alitingwa na majukumu kias hakuweza hat kuingia Jf
Back
Top Bottom