Search results

  1. C

    Tatizo la wanawake kutoshika ujauzito

    Pole sana. Hata mimi hilo tatizo nilikuwa nalo, ila ushauri wangu kama ningepata email yako ningeweza kukushauri vizuri. Pia unaweza kwenda kuonana na Dk. Kapona anakuwa Tumaini kila Ijumaa atakusaidia pia nipate email yako ili tuwasiliane.
  2. C

    Chadema hawajakiuka maadili?

    Mungu walaze mahali pema peponi waliokufa katika maandamano ya kudai haki, maana maandiko yanasema tafute nanyi mtapata, bisheni nanyi mtafunguliwa. Habari leo kama lilivyo jina lao wao kila kitu ni habari, hapo mimi sijaona habari iliyoandikwa ambayo inaweza kumvuta msomaji kusoma na hata...
  3. C

    Zitto alazwa Dar es Salaam

    Maradhi ni kawaida, kama malaria ni ugonjwa ambao unafahamika na kama ni mengine hayo ambayo wanasema mshutuko, mimi sioni kama hiyo ni mshutuko huo ni uzushi tu watu ili kutumiza malengo yao. Yeye kama ameambiwa kuna moja, mbili, tatu ajibu tu vizuri kama anaona kuna utata anaruhusiwa kumwaga...
  4. C

    Demu wangu mpya anatema cheche

    Pole ndugu. Hiyo ni kawaida ya binadamu, kwa upande wa kwapa anaweza kutumia limao atakuwa analikata anasungua tu kwapani asubuhi na jioni, mdomoni awaone madaktari na kwa upande wa machine kwanza apalilie magugu yote, ajitahidi kunawa vizuri kwa kutumia maji ya uvugu vugu na sabuni ananawa tu...
  5. C

    Elections 2010 Dk. Slaa: Ndio tunaanza

    Laiti hayo yangekuwa yanakubalika na vyama vyote vya UPINZANI ingekuwa ni hatua kubwa zaidi lakini kuna vyama vingine ni jina tu la nje lakini ndani ni CCM.
  6. C

    Safari ya Andrew Chenge kuwania Uspika wa JMT

    Hapo watakuwa wamesafisha njia kwa CHADEMA na vyama vingine 2015 kupata urais na wabunge wote CCM itakuwa haina chao tena. Maana unamuweka FISADI afanye nini????????? kama siyo kuendeleza ufisadi. Itabidi tuwe makini maana tutaibiwa hadi macho ya kuona ili tusisome kinachoendelea nchini...
  7. C

    CONFIRMED: Halima Mdee wins Kawe Constituency

    Kweli Mungu umesikia maombi yetu.
Back
Top Bottom