Search results

  1. H

    Ujio wa Lissu bila Polisi kutumia nguvu: Je, Makonda ndiye alikuwa chanzo cha vurugu Dar es Salaam?

    Mliokua mnamtuma Makonda, Leo Dunia imechuhudia kuwa wapinzani hawana VURUGU. Acheni TABIA mbaya
  2. H

    Ujio wa Lissu bila Polisi kutumia nguvu: Je, Makonda ndiye alikuwa chanzo cha vurugu Dar es Salaam?

    Hapo kwa kwenye kuichafua taswira ya Raisi napingana na wewe...Raisi anafanya maamuzi yake mwenyewe na alishasema hashauriwi na mtu...Kwahiyo Makonda Ana yake na Raisi Ana YAKE wote ni waraabu wa Pemba
  3. H

    Ujio wa Lissu bila Polisi kutumia nguvu: Je, Makonda ndiye alikuwa chanzo cha vurugu Dar es Salaam?

    Nimeshuhudia watanzia wakiandamana kwa amani kea zaidi ya masaa matatu bika kuleta fujo Wala vurugu zozote. Je, vurugu tulizokuwa tunaziona kila wapinzani wanapokutana zilikuwa zinatengenezwa na Daudi Albert Bashite? Je, Kuna haja ya KUMPA pongezi za kipekee bwana Abubakar (Mkuu was mkoa wa sasa)?
  4. H

    Kutokutiwa nguvuni Tundu Lissu kesho 27/7/2020 ni kutangaza uasi juu ya Sheria za Nchi yetu

    TOT BONANZA mmeacha ikaendelea wakati tuna msiba, michezo imeendelea Kama kawaida wakati Msiba upo, kwanini Lisu kupokelewa na watu wengi iwe Nongwa?
  5. H

    Kutokutiwa nguvuni Tundu Lissu kesho 27/7/2020 ni kutangaza uasi juu ya Sheria za Nchi yetu

    Najiuliza hili swali Wala sipati majibu. Polisi wanajua kabisa kwamba, ni haki ya CHADEMA kumpokea mtu wao kwa AMANI na kwa namna wanavyotamani na Wala haiwezi kwa namna yoyote kuwa chanzo Cha vurugu. Kinachonipa shida moyoni ni kwanamna gani polisi ambao badala ya kulinda RAIA na MALI zao...
  6. H

    Tanzania yapokea Msaada wa Dawa ya kufubaza COVID-19 kutoka Madagascar

    Nina maswali moyoni majibu sina; Kwanza tuliambiwa dawa inatibu Corona lakini Jana tumeambiwa inafubaza hii inamaanza gani? Sio kwamba hawa jamaa wanatuchezesha kama babu wa kikombe ilo mradi wapate pesa za kupigana na Gonjwa Corona??? Inamaana sisi tunapunguza bajeti zetu za kupambana na...
  7. H

    Kwanini Tanzania hakuna daily briefing juu ya Corona virus pandemic?

    Kuna msemo wangu sungura mjanja kala nyama yake na ya fisi....Naona kama kuna mjanja mmoja Tanzania amefanikiwa kuthibiti matokeo ya Corona kuwekwa wazu.....kwanza nani atangaze ili hali aliyepima katumbuliwa? Kama Corona haipo, basi aproach hii iyafanikiwa na itakua bonge la sifa kwa...
  8. H

    Kama Kipimo kina matatizo wa kuwajibishwa ni Msimamizi wa Maabara au TBS?

    Asante kwa kutupa ufahamu, lakini sasa kwanini analaumiwa mtumiaji???
  9. H

    Kama Kipimo kina matatizo wa kuwajibishwa ni Msimamizi wa Maabara au TBS?

    Acha upotoshaji..mtumiaji anaweza kuagizi kutokana na specifications zake na bado ikatengenezwa feki...ndo maana kuna mamlaka za kukagua ili kukidhi viwango vya mtumiaji....zikisema kiko sawa basi yeye anapokea na kutumia ..kwahiyo unataka kutambia TBS iko kwaajili ya nini?
  10. H

    Kama Kipimo kina matatizo wa kuwajibishwa ni Msimamizi wa Maabara au TBS?

    May be...only God knows the truth
  11. H

    Kama Kipimo kina matatizo wa kuwajibishwa ni Msimamizi wa Maabara au TBS?

    Kwanini kila kitu nchi hii lazima wanasiasa ndo wanaumiza wataalamu..wanawapangia cha kusema wanawapingia cha kufanya....where are we heading as a nationa?
  12. H

    Kama Kipimo kina matatizo wa kuwajibishwa ni Msimamizi wa Maabara au TBS?

    Mh Ummy, nakuhakikishia Mungu yupo hilo lielewe kabisa.. Najua kama binadamu unafanya mambo ili kumfurahisha anayekupa ugali na tabasamu, ila tambua Mungu alisema, AMELAANIWA MTU YULE AMTEGEMEAYE MWANADAMU na KUMFANYA KUWA KINGA YAKE. Hivi tujiulize tu, hao watu wanaokufa na kuzikwa usiku...
  13. H

    Kwahiyo Rais Magufuli anataka Maiti zianze kuvalishwa Gloves, Masks, protective glasses na boots?

    Usilazimishe kila mtu ashikiwe akili kama wewe...watu wa kaliba yako ndo chanzo cha umasikini Tanzania. Mimi nimeuliza swali na inaonekana kwako limekua gumu sana kung'amua unaanza kuleta porojo hapa...Jipu swali kama huwezi angalia sentensi yangu ya mwisho kwenye mada.
  14. H

    Kwahiyo Rais Magufuli anataka Maiti zianze kuvalishwa Gloves, Masks, protective glasses na boots?

    Kwakweli swala la maiti kuvishwa PPE wakati wauguzi wetu wako kwenye hatari hawana vifaa linanitafakarisha sana
  15. H

    Kwahiyo Rais Magufuli anataka Maiti zianze kuvalishwa Gloves, Masks, protective glasses na boots?

    Sasa ulifwata nini hapa mkuu.au hukusoma sentensi ya mwisho?
  16. H

    Kwahiyo Rais Magufuli anataka Maiti zianze kuvalishwa Gloves, Masks, protective glasses na boots?

    Tujuzwe bhana..inawezekana nchi kweli ni tajiri sana
  17. H

    Kwahiyo Rais Magufuli anataka Maiti zianze kuvalishwa Gloves, Masks, protective glasses na boots?

    Aulizaye si mjinga bwana..nyie wa lumumba ndo maana mnakwama maana hamuulizi
Back
Top Bottom