Kwani huyu si ndo Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro. mbona ni kama analalamika chakula kibaya wakati wapishi anakaa nao jikoni!!!???[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
Kuna mtu tayari anammega na wewe yaonekana ndo kikwazo cha yeye kumegwa kwa uhuru. Anataka badala ya kumegwa megwa muda wa lunch awe anamegwa baada ya muda wa kazi ambao wewe huwa tayari nje yanofisi unamsubiria. Anashindwa kudanganya kuwa kazi nyingi atachelewa kurudi
Duuuu. Basi.kweli Pele ni Baba lao. Hawa kina Messi hawana jipya. Ila ukiangalia kizazi cha sasa nadhani Gaucho ndo amejitahidi sana kufuata nyayo za Pele Messi hana manjonjo kama ya Pele
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.