Search results

  1. K

    My CCM, NEVER do that again!

    Msingi wa kwanza wa uimara wa chama ni wanachama wake. CCM tunajivunia kuwa na idadi kubwa yawanachama wapatao takribani milioni 9. Ingawa sidhani kama takwimu hizi zipo "updated" kwa maana kwamba sina hakika kama CCM tunayo kanzi data ya wanachama wetu na kama ipo basi siyo "active". Nasema...
  2. K

    Ujenzi wa Miradi hii Bagamoyo ni wa Lazima Kiasi Hiki?

    Mradi wa Bandari ya Bagamoyo ni wa kupongezwa. Wanaoupinga wana sababu zisizokuwa za msingi. Ikumbukwe pia kuna mafisadi Bandari ya Dar es salaam ambao inasemekana walishajipatia mikataba ya kifisadi ya miaka zaidi ya 25. HAKUNA KURUDI NYUMA.
  3. K

    Elections 2015 Dr. John Pombe Magufuli anafaa kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano Tanzania

    Zanzibar Dr. Shein ni MKEMIA na Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania atakuwa Dr.Magufuli ambaye ni MKEMIA. Not just coincidence, bali ni mipango ya MUNGU.
  4. K

    Mahakama Kuu Kanda ya Dar: Marufuku Mikusanyiko ndani ya mita 200 baada ya kupiga kura

    Ngoja aingie MAGUFULI watanyooka! haya mambo ya kuhairisha kesi kwenye mahakama zetu imekuwa ni mazoea.
  5. K

    Ikulu siyo mahali patakatifu, ni mahali pa heshima tu

    Sina hakika kama neno "Mtukufu" ni sawa na neno "Mtakatifu", though mantiki inabaki pale pale kwamba IKULU siyo mahali patakatifu
  6. K

    Ikulu siyo mahali patakatifu, ni mahali pa heshima tu

    Huwa napatwa na ukakasi kusikia kwamba Ikulu ni mahali patakatifu. Utakatatifu ni zaidi ya heshima. Utakatifu unahusiana na Imani ambapo lazima yawepo mawasiliano ya ki- Imani kupitia maombi kati ya mwombaji na Mwenyezi Mungu. Mahali patakatifu ni sehemu ambayo kupitia maombi miujiza inaweza...
  7. K

    Natamani kuiona Serikali ya CCM yenye KASI na VIWANGO

    Kwa wale tu wapenda mabadiliko yenye tija, kilichobakikwa sasa ni kuendelea kumwombea afya njema Dr. John Joseph Pombe Magufuli (MKEMIA), ili MwenyeziMungu amfikishe kwenye kilele cha ndoto yake ya kuwa RAIS wa awamu ya 5. Dalili zote za ushindi zipo wazi. Hivyo, Dr. JJPM-MKEMIA wakati...
  8. K

    Dr. Hassy Kitine, aliyekuwa Mkurugenzi wa Usalama wa Taifa, atangaza nia kugombea Urais Tanzania

    Huyu siye aliyeghushi matibabu ya Mkewake miaka ya nyuma na akaumbuliwa na Membe Bungeni? Au namchanganya? Mwenye uhakika zaidi atujuze plzzz!
  9. K

    Kati ya watangaza nia wote, yupi umeona anafaa?

    CCM tupatie Prof. Muhongo. Ni mtu anayetekeleza majukumu yake kwa vitendo. Pamoja na jitihada zote za wafanyabiashara walanguzi kumpiga vita kupitia wanasiasa ucwara, watanzania tunao ufahamu. Tumetafakari, kupambanua na kuelewa
  10. K

    Natamani kuwa Mkenya

    hauna tofauti na mwanamke anayetamani kuwa mwanaume au mwanaume anayetamani kuwa mwanamke. Ni ujinga tu!
  11. K

    Nyumba ya Askofu Gwajima imezungukwa na Polisi sasa hivi

    Kama akina Sheikh Ponda wapo ndani kwa kashifa na Uchochezi, itakuwa ajabu kama Gwajima ataachiwa hivi hivi! No, No No! anahitaji adhabu.
  12. K

    Press conference: Lowassa apelekewa ujumbe mzito

    Hakuna Chama wala kundi la watu litakaloungwa mkono katika uchaguzi wa mwaka huu kwa kumjadili mtu. Kwani, Dunia hii haina malaika wa kutuongoza, binadamu sote tunayo madhambi mengi. hata hivyo, Lowassa siyo mdhambi kiasi hicho unavyotaka kutushwashi tuamini. Mnacheza mchezo mbaya sana wa...
  13. K

    Serikali yanawa mikono Al-Shabab Mtanzania

    Kama ni kweli Chagonja ameyasema haya kwamba hawajui chochote zaidi ya kufuatilia kwenye magazeti basi ni aibu sana kwa vyombo vya usalama! Kama huyu kijana ni Mtanzania, Polisi walitakiwa haraka sana mara baada ya kupata taarifa hizo kufuatilia taarifa za mienendo yake alipokuwa shuleni na...
  14. K

    Nani hasa mwenye asili ya zanzibar?

    Hiyo 3% iliyochanganyikana UAMSHO na MAGAIDI ndio inayosumbua na kujiita wazanzibar. Kwa sasa pale ndo home of terrorists wapo dormant maana music wa JWTZ wanaujua
  15. K

    Jumatano maandano makubwa zanzibar nzima yakiongozwa na makamanda wa ukawa

    Watapigwa mabomu tu bila huruma! mjadala upo Bungeni na siyo barabarani. Uamsho na magaidi wote waliopo Zanzibar watasambaratishwa.
  16. K

    Mkakati mpya wa Bunge/CCM kuhusu katiba mpya huu hapa

    Lipumba, Lisu na Jusa na madume ya kulalamika-lalamika tu! hayana hata aibu madume mazima kulalamika tu. Sijui kama yana watoto haya kwa maana ya uwezo wa kuzaa
  17. K

    UKAWA kukutana na waandishi wa habari saa 8:00 mchana huu Zanzibar

    Waende Bungeni, waache uzurulaji. Ni wanafiki na wapotoshaji. Wanadhani kukimbilia kwa UAMSHO kutasaidia nini? wapigwe mabomu watokomezwe. NO MORE MONEY TO POLITICIANS! Hatuwezi kukaa chini kufikiria kutengeneza genge la kula kodi za wananchi eti serikali 3! wakati bajeti yenu ni tegemezi na...
  18. K

    Polisi wazuia mkutano wa UKAWA Zanzibar

    mjadala wa Katiba mpya ni Bungeni tu na si vinginevyo! Nje ya hapo ni uhuni na hayo MA-UKAWA yakiongozwa na Prof UCHWARA yapigwe marufuku kufanya mikutano popote Tanzania. Yarudi Bungeni ambako tunayalipa pesa mamilioni kila siku na sasa yanaanza kuzurura nje ya Bunge.Foolish MA-UKAWA!
  19. K

    Hivi watanzania tumerogwa?

    umelaaniwa wewe ambaye hueleweki na huelewi unachokizungumzia!
  20. K

    Gharama za kuendesha Serikali ya Muungano

    Sidhani kama wa-Tanzania tutakuwa wajinga kiasi gani kufikia hatua ya kufikiria vyanzo vingine vya mapato kwa ajili ya wanasiasa (Serikali tatu) badala ya kufikiria jinsi ya kutatua kero za huduma za kijamii zinazosababishwa na upungufu katika bajeti. Na sote tunafahamu kwamba bado bajeti yetu...
Back
Top Bottom