Search results

  1. M

    Najiaandaa kuwashtaki madakitari kwenye mahakama za kimatafa

    Naona CCM wamepiga mahesabu kuwa watakaokufa kutokana na mgomo wa madaktari thamani yao ni ndogo kuliko hao viazi Nkya na Mponda. Wanasahau dhamana ya kuongoza ni hiyo waliyopewa na wanao waua, wanasahau hata Misri maandamano yalikuwa hayaruhusiwi kwenye katiba lakini ndio yaliyo wandoa...
  2. M

    2012 kili music awards nominees

    mambo ya umri kaka, kisheria za kili pombe kwa watoto no, pia gospel nayo hivyo hivyo. Kuimbia Pombe na Mungu wapi na wapi
  3. M

    2012 kili music awards nominees

    yah jamaa wa kili naona hawaingizi nominee mwenye miaka chini ya 18 sababu ya udhamini wa Pombe,
  4. M

    Wabunge wakomaa: Ngeleja, Jairo watakiwa kuondoka; Pinda ataka mjadala uahirishwe kwa siku 21

    Ni habari njema wabunge wa vyama vyote wameungana kukataa makadirio ya wizara. Ni furaha sasa maswala ya kitaifa yanapewa kipaumbele bila kujali chama
  5. M

    Mwenye CV ya Charles Kitwanga (Kipengele cha Education) anipe

    Jerusalem, kweli wewe unaonekana ni Engineer uliyeajiriwa Infosys na utendaji wako ulikuwa wa kubabaisha jamaa walipokukamata na Dell ume-iba wakakutimua. Badili Tabia na si kumvalia njuga Boss wako wa zamani. Mbona list ya wageni ipo ndefu tuu kwenye Baraza, wao ni watakatifu au kutimuliwa...
  6. M

    Elections 2010 Jeshi la polisi latoa onyo kupitia Clouds FM

    Jamani kwa nini tusiichome clouds ifutikie mbali
  7. M

    Elections 2010 Babati wamerogwa!

    Hivi blog ya michuzi vipi mbona updates zinachelewa sana
Back
Top Bottom