Search results

  1. C

    Waziri Mkuu anapohubiri amani wakati Jimboni kwake Wagombea wa Upinzani wakifanyiwa vitendo vya kinyama

    Inaumiza Sana, unajua watu wanapolalamika kuwa tuwe na tume huru ndo katika mambo Kama haya. Unategemea Mheshimiwa atafanya Nini wakati nae nimshindani was nafasi ya ubunge jimboni mwake? Unategemea anaposema atasimamia amani kwamaana ipi? Yaani mvunjifu was amani niyule ambae atafanya siasa...
  2. C

    N/Spika amesema anasimamia kanuni zilizopo, ambaye hajaridhika na maamuzi akate rufaa

    Eti haki yakukata tufani, yaani umekaa kimbeyambeya hivi, kwahiyo wanasrt target ili wajiingize, sasa wamewastukia. Acheni ushabiki wakijingajinga.
  3. C

    Lissu, Zitto, Lema, Mdee, Bulaya na Gekul kuitikisa nchi kwa mikutano mfululizo!

    Nilipoona mchango mrefu nikafikiri unapoint, kumbe Hanna kitu Lumumba tu. Kwavo wawalipie watoto nauli ili kuiumbua serikali kivipi, wewe unadhani ni logic? Logic ilikua kuidiscuss issue ile bungeni at a time maana madhara yake yalikua immatured at that momment, wawalipie nauli ili iweje boya...
  4. C

    Lissu, Zitto, Lema, Mdee, Bulaya na Gekul kuitikisa nchi kwa mikutano mfululizo!

    Kwahiyo wewe ukigombana na nduguyo basi, mpaka kufa hamuelewani, yaani Lumumba bana, hivi hujui ugombanae ndiyo nduguyo?
  5. C

    Lissu, Zitto, Lema, Mdee, Bulaya na Gekul kuitikisa nchi kwa mikutano mfululizo!

    Sheria inasemaje juu ya mikutano ya kisiasa? Mbona mnakua hamtumii akili nyie? Hivi mnaishi nchi gani? Hamna uchungu na nchi hii? Yaani serikali isimamie bunge na sio bunge kusimamia serikali, nyie kwenu nifuraha sio, kwanini msiwaunge mkono wapambanaji hawa ili kuwatia nguvu na Mungu...
  6. C

    Chozi la Kabwe kwa Makonda limekoma

    Hili la kabwe kuwa fisadi mkubwa si lakubishania. Nenda mwanza uambiwe nini ufisadi wa Kabwe. Luchelele jirani kabisa na Saint Augustine University alifanya nini juu ya viwanja vile, uwekezaji mkubwa alioufanya Luchelele mabilioni hayo aliyatoa wapi? Zawadi aloitoa kwa kiongozi mmoja mkubwa wa...
  7. C

    Karibu rais afanikiwe kunishawishi, lakini sasa kwa 100% simwamini tena

    Sasa ndg yangu alokwambia nasababu ya huyu bwana kumkataa na ufisadi pia nani? Mbona jamaa hajaweka sababu ya ufisadi? Yaani full kukurupuka maji yakijani mpaka kwenye akili.
  8. C

    Wabunge wa UKAWA wameshasaini Bungeni!

    Najaribu kuangalia kama unachoongea kina mantic lakini siioni. Kwani hapo nikanisani kuwa wanaapa kwa jina la Rais, Kuwa na ukomavu wakiakili, wataapa kwa rais wa jamhuri ya muungano bila kutaja jina magufuri or whatsoever, usikurupuke tu, hii ni kwamujibu wa katiba, sasa wewe ulitaka waikatae...
  9. C

    China isingemchelewesha Lowassa

    Aisee mimi nakushangaa jinsi povu linavokutoka, utadhani labda Lowassa ndo fisadi peke yake nchini. Tusiende mbali Escrow imepigwa mpaka mukulu anatetea kuwa fedha zile hazikua za umma. Je kwanini hukuanza nae? Je, kwanini baada ya miaka takribani nane sasa ndo unaongelea swala hili? ulikua...
  10. C

    Dr. Slaa adai yupo nchini, Lipumba asema haridhiki na UKAWA kuwa na mgombea Urais aliyetoka CCM

    Aisee hapa alichemka sana. Maana kaongea uwongo kabisa, nani aliepelekwa jangwani? watu wametembea wengine kupandishiwa nauli kwenye madaldala kwasababu tu watu wengi walihitaji kwenda. AMbao hawakumudu gharama, walitembea kwenda nawlitembea kurudi. Nani hajui kuwa watu walikuwa wengi sana...
  11. C

    CCM itashinda?, kujua hilo fungua hapa tafadhali!..

    Hili ndo jembe tunalolitaka. Mheshimiwa Lowassa niukweli usiopingika watu walikuhukumu kuwa u fisadi, lakini tuliwaomba kama u fisadi basi wachukue hatua dhidi yako, lakini mpaka hivi tunavyohangaika humu jamvini hakuna chochote walichokifanya. Ndg Lowassa Watanzania tuna imani kubwa sana...
  12. C

    Orodha ya wasaliti Tanzania ni ndefu

    Mwamanyu, wewe ni zuzu namaana nahapa napo huelewi mpaka ueleweshwe? Yawezekana nawe ni walewale tu. Acha ujinga, mbona iko wazi.
  13. C

    Waijua kampuni hii ya HydroTanz yenye kiti chakudumu Ikulu chini ya Singasinga??

    Ndg yangu hii ndo tabu ya magamba kuajiri mijitu hata lasaba sidhani kama imemaliza, sasa faiza anachochangia nikitu gani in a context of mind construction, vitu vyake vyote humu ukimfuatilia utaona ni non constructive. Hakuna haja ya ku argue nae.
  14. C

    Waijua kampuni hii ya HydroTanz yenye kiti chakudumu Ikulu chini ya Singasinga??

    Chaza, huyu faiza anawatumikia mabwana zake, wala usihangaike nae, hana logic, sasa hapo teh teh teh ndo nini kama si dalili zakusikia raha wanaume wakiwa wamemuwekea.
  15. C

    Waijua kampuni hii ya HydroTanz yenye kiti chakudumu Ikulu chini ya Singasinga??

    Faiza nakuona kama mpuuzi tu, maana kwamtu anaekufuatilia anaweza kujiridhisha pasi na shaka kwamba wewe ni gamba lisakatonge, hata kama kuna logic, wewe unareply upuuzi tu ilimradi maboss wako wa lumumba waone ujinga wako wakulipe, huu niwenda wazimu. Free your mind now you should not wait...
  16. C

    Yaliyojiri, Matokeo ya maeneo yaliyorudia Uchaguzi wa Serikali za Mitaa tarehe 21 Disemba, 2014

    Kevoo huna haja kuhangaika na viji...tu kama hivi. Yaani wao ifisadi nisehem ya maisha yao. Kwavohivo vijisent wanavopata wanaona ndo njia sahihi ya maisha yao.
  17. C

    Yaliyojiri, Matokeo ya maeneo yaliyorudia Uchaguzi wa Serikali za Mitaa tarehe 21 Disemba, 2014

    Faiza mbona unaonekana huna staha, kama wew?e ni great thinker, hutakiwi kumcriticise kwakumwambie maneno mabovu kama "familia ya raisi ikakae kwako" si maneno ya staha. Au we unadhani unanafasi yakupata viti maalum. Hutapata maana magamba tunayatoa safafi hii, buku 7 ulizopata zinakutosha.
  18. C

    CCM kulizwa tena katika Kura za Maoni ya Katiba Inayopendekezwa

    Acha ujuha, ndo unajiliwaza, tunanafasi nzuri tena yakutosha kuikataa katiba ya magamba. Acha ujuha.
  19. C

    Kutoka Hoteli ya Gold Crest, Mwanza: Kongamano la Katiba Mpya

    Judge bado anazungumzia pato la taifa. Anazungumzia mambo ya mgawanyo wa mapato.
Back
Top Bottom