Search results

  1. L

    Wazee wa CCM (Shinyanga) wamshukia Dk Slaa

    Hata Gadhafi ana wafuasi wake, kwa hiyo sishangai hawa wazee ccm wanajua sana ku-brain wash
  2. L

    Tamko la CHADEMA kuhusu Mabomu ya Gongo la Mboto

    Huyu jamaa anajiita mwiba mimi nadhani hayuko sawa, hivi ni uchunguzi gani unataka ufanyike wakati mabomu yameua innocents tanzanians..tena ni zaidi ya mara moja imetokea.. maboma yamelipuka ni uzembe wa wahusika au uniambie yale ya mbagala CCM walisema nini Tatizo, au kuna mtu yeyote...
  3. L

    Zitto anataka kusaliti CHADEMA?

    Wana JF naomba ufahamu wenu kwa hili.. kipindi Chadema wamesusia hotuba ya rais pale mjengoni(bungeni)..mengi yalisemwa lakini hili la Zitto Kabwe naomba msaada kidogo mimi ni shabiki wa Chadema na ningependa nijue kinachoendelea kwenye chama. Mheshimiwaa Zitto baada ya siku chache nilimsikia...
  4. L

    Ridhiwan Kikwete: Mimi si fisadi

    Mwalimu Nyerere, Alhaj A.H Mwinyi, Brother ben wote walikua na watoto na wake zao.. lakini hii familia iliyopo pale mjengoni Ferry kwa kweli tulikosea 2005, Mama nae anajiigiza kwenye siasa, Mtoto nae vurugu tupu....mama ni kiraza baba i cant believe kama kweli ni graduate kwa jinsi alinvyo...
  5. L

    Ephraim Kibonde Jahazi Show

    Kibonde kibaraka cha CCM, nadhani huwa wanapewa pesa na kada wa Ccm ili kusafishana kupitia kiredio chao...watangazaji wengi wa clouds wababaishaji na kibonde mmoja wao porojo nyingi zisizo na mpango Sugu mbunge naona wanaumia like a "Pin in a ass"
Back
Top Bottom