Haaaaaaaaaa haaaaaaaaaaaaaaa haaaaaaaaaaaaaa!!!!! Shemegiiiii!! Onga mshi.
Jamani kweli wana jamii sometimes wanakuwa wamechoka. Hii thread uatafikiri comedy bwana!! Mtu just an auditor wa benki fulani anapata mshahara 10 mil wewe huyu anaetumikia umma wa watanzania unataka alipwe shs ngapi...
Kwa kweli huyu ndie President. Akiongea unaona kabisa viungo vya mwili vinavyoshirikiana. Angekuwa ni Rais wetu na rasilimali zote tulizonazo tungekuwa mbali sana. Bandari, madini ya kila aina. Hivi tunataka Mungu atupe nini jamani!! Atupe kipele tujikune?!! Na kucha pia atunyime!!
Nilikuwa katika pilika za hapa na pale, nikakutana na vijana wanaongelea juu ya uozo uliomo ndani ya Mahakama ya Rufaa na Mahakama Kuu, akawa anawaeleza wenzake kuwa kuna waraka umetolewa na wafanyakazi wa Mahakama ya Rufaa waliochoshwa na uonevu na ubinafsi wa viongozi wao. Kwa bahati nzuri...
It seems like Sangara una data za jamaa wewe!!! Au best Friend au ndio Ridhiwani mwenyewe, manake mimi mlalahoi nimesikia siku nyingi from my Friend huko Serengeti kuwa ana bonge moja la hotel, tena limejengwa kiajabu sana kwani liko Mbugani lakini miti haikukatwa na wanyama wanaendelea...
Yah! Ni muda mfupi sana, nahisi amefanya makusudi ili washindwe kujipanga. Hii inazidi kutia mashaka kuwa jamaa anamiliki hizo mali. Hakuna lililo sirini ambalo halitafichuka, lazima yatafichuka tu.
Hivyo vitu vinatakiwa wakati mwengine viachwe wazi ili vipumue jamani!! Kwa hiyo kijana anafurahia vikiingia hewa. Si watoto tu hata watu wazima inabidi jaapo usiku muache vipumue. Kule kwetu pwani wanalala na Msuli tu ili hewa iwe inaingia na kukitokea emergency basi anatoka na msuli.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.