Search results

  1. IHOLOMELA

    Mende ni kero kwenye wodi za hospitali ya Benjamin Mkapa

    Hata asubuhi hii nimetoka kumuona mgonjwa wetu wodi ya wanaume waliofanyiwa surgery ghorofa ya kwanza, mende wapo wanapita pita. Ngoja nikienda nikapige picha japo wameweka bango la kuzuia kupiga picha
  2. IHOLOMELA

    Mende ni kero kwenye wodi za hospitali ya Benjamin Mkapa

    Niseme uongo ili nipate nini? Floor ya kwanza wodi za wanaume na wanawake zina Mende!
  3. IHOLOMELA

    Mende ni kero kwenye wodi za hospitali ya Benjamin Mkapa

    Naongea kweli tupu, wodi tatu nimeingia kusalimia wagonjwa nimeshuhudia hao Mende!
  4. IHOLOMELA

    Mende ni kero kwenye wodi za hospitali ya Benjamin Mkapa

    Kwa uongozi wa hospitali, Nachukua fursa hii kutoa malalamiko yangu kuhusu suala la mende katika wodi za kulazwa wagonjwa katika Hospitali ya Benjamin Mkapa hapa Dodoma. Ingawa hospitali hii inatoa huduma nzuri kwa ujumla, suala la mende katika Wodi mbalimbali hospitalini hapo ni kero kubwa...
  5. IHOLOMELA

    Sumbawanga lango la wahamiaji haramu wenye asili ya Somalia

    Mbona Wabongo wamejaa hapa South Africa kazi yao Wizi, Kuuza Ngada na Umalaya! Na wasauzi wanaishi nao poa tu[emoji3]
  6. IHOLOMELA

    Majina 500 ya Vijana waliochaguliwa Uhamiaji

    Na kila mwezi analipwa posho elfu 50, kwa miezi tisa atakayokaa depo atakuwa kapewa 450, bado kula bure. Bado atamaliza, atapewa posho ya kujikimu perdiem ya siku 14 sawa na nauli kwenda kituoni. Hata kama ni CCM lakin watu tuwe na shukrani
  7. IHOLOMELA

    Majina 500 ya Vijana waliochaguliwa Uhamiaji

    Watu hawana wema aisee!
  8. IHOLOMELA

    Majina 500 ya Vijana waliochaguliwa Uhamiaji

    Bado unalipwa posho ya kujikimu siku 14 na nauli hadi kituoni, utabeba magodoro na mandoo machafu?[emoji23]
  9. IHOLOMELA

    Majina 500 ya Vijana waliochaguliwa Uhamiaji

    Ukiingia kambini unalipwa! Mengine msiyajua kaeni kimya!
  10. IHOLOMELA

    UKWELI MCHUNGU: Tanzania tupo nyuma ya Kenya kimaendeleo

    Kenya wanapanga nyumba kwa kuwa wengi ni maisha ya kati na chini uwezo wa kununua ardhi na kujenga hawana. Ukilinganisha maendeleo mengine, sisi kwa stendi za mabasi tumewapita sana East Africa nzima. Barabara ndio usiseme. Umeme hapo unamaliza kabisa[emoji1]
  11. IHOLOMELA

    Orodha ya Makabila/Jamii ambayo huoana wao kwa wao. Kwanini wanatubagua waswahili?

    Kumbuka babu za mababu wa waarabu walikuja wao wanaume peke yao kutokana na changamoto za usafiri wa baharini karne hizo ambazo wanawake walitapika baharini hadi kupoteza maisha. Hivyo wakaoa waswahili na kuzaa machotara machotara wakaoana hadi wakarudisha uarabu[emoji1]
  12. IHOLOMELA

    Nataka kumlipia Amber Heard Fidia ya $ 10 M kwa Johnny Depp

    Duh..hebu hiyo hela saidia kuwakodia malori wamasai wabebe mifugo yao kupeleka Msomera
  13. IHOLOMELA

    Usilogwe ukaondoka nyumbani na kwenda usipopajua kwa kigezo cha kutafuta maisha

    Nitakuhadithia yangu uniandikie stori kama hii[emoji1] maana tunakaribia kufanana ila hujanifikia hata nusu
  14. IHOLOMELA

    Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

    Dodoma itasubiri sana kwa Mwanza
  15. IHOLOMELA

    Tuhuma za Rostam Aziz zichunguzwe. Wawekezaji walikuwa wanaikimbia Tanzania na kama tusingewapokea ungekuwa ujinga

    Yupo ndugu yake anaitwa Jambeck ameoa mtoto wa pastor shaushi wa Nkinga.
  16. IHOLOMELA

    JamiiForums Usiku wa manane

    Hatari sana
  17. IHOLOMELA

    Siri niliyooneshwa kuhusu nchi yangu Tanzania

    Endelea kuota maana ndoto yako haina uhalisia kwa miaka 100 ijayo
Back
Top Bottom