Search results

  1. S

    Natafuta marafiki wa kubadilishana mawazo

    *Habari zenu wana jamiiforum wenzangu? Naitwa Sagao niko Mbeya, natafuta marafiki wa kuchat nao popote ulimwenguni, sina ubaguzi wa dini, kabila wala umri. Email yangu ni sagaonew@gmail.com na mobile number ni +255767172221.*
  2. S

    Ugonjwa wa Kisonono (Gonorhea): Dalili, kinga na tiba yake

    Mi napenda nimshauri angeenda kupima kabla ya kuanza kujichukulia uamuzi wa kumeza dawa, magonjwa ya zinaa mengi yana stage zake, matibabu yanatolewa kwa stage vilevile.
  3. S

    Natafuta marafiki

    Natafuta marafiki wa jinsia zote wenye umri kati ya 25-40 popote duniani. Sina ubaguzi wa dini wala kabila. E-mail yangu ni sagaonew@gmail.com mail zote zitajibiwa kwa muda mfupi. Naitwa Luna Sanga.
  4. S

    Elections 2010 Mpesya umepata fundisho!

    Kwa hakika Mpesya umepata fundisho kubwa sana, kitendo cha kuwafanya wapiga kura wa jimbo la mbeya wajinga umefika kikomo, ulisema Sugu ni muhuni mtoto wa mama lakini tambua kuwa wana Mbeya wanakuona wewe ndo muhuni kwa kutotimiza ahadi zako na kujali maslahi yako binafsi. Kama sugu alikuwa...
  5. S

    Elections 2010 CONFIRMED: Mbozi Mashariki - CHADEMA washinda ubunge

    Mgombea wa CHADEMA Ameshinda kwa kura ngapi?
  6. S

    Elections 2010 Mkurugenzi wa NEC atua Ubungo

    Naomba muwe makini na wachakachuaji!
  7. S

    Elections 2010 Hongera sana Sugu

    Nakupongeza sana kwa ushindi uliyoupata, kaza buti, mapambano dhidi ya ufisadi ndo kwanza yanaanza.
Back
Top Bottom