Search results

  1. Nipigie

    Unataka mke mwema na mzuri (choose from this category)

    1. Chaga (Rombo) 2. Bena (Iringa). 3. Zigua (Tanga) 4.Nyakusya (Mbeya). 5. Nyaturu (singida). 6.Hehe (Iringa) 7. Waha (kigoma) 8. Fipa (rukwa) 9. Luguru (morobest) 10.Sukuma (shinyanga) Hizo zenye nyekundu tupe notice
  2. Nipigie

    Mapenzi ukiwa fofofo

    Mie nafikiri inawezekana, japo utakuwa hujitambui lakini utashiriki kikamilifu tena bila usumbufu. Hujawahi kuta mtu anaongea akiwa usingizini??
  3. Nipigie

    Binti yangu anahitaji mume

    Utandawazi mzee mwenzangu.
  4. Nipigie

    Binti yangu anahitaji mume

    darasa la kwanza miaka 4
  5. Nipigie

    Binti yangu anahitaji mume

    Nyie kizazi cha dotcom mnatuita sie mazuzu, bahati yako, mwanangu wa kiume angesha kupiga kibuti.
  6. Nipigie

    Binti yangu anahitaji mume

    Urefu usipungu 1.5 m
  7. Nipigie

    Binti yangu anahitaji mume

    Mahari hadi tukuone.
  8. Nipigie

    Huyu dada sijui vipi!

    Unataka kujua nini tena
  9. Nipigie

    Binti yangu anahitaji mume

    Jamani kama unahitaji mke siyo gf, naomba nipm binti yangu ameniomba nimtafutie, siyo ameshindwa ila ni utaratibu tulio kubaliana naye uwe mrefu mcheshi unaye penda suti gari lolote jipya dogo uwe na pesa za kawaida, nyingi si kikwazo binti yangu anaumri wa miaka 20 ana masters ya sheria...
  10. Nipigie

    Yupi afadhali

    IVI kuacha watoto na mkeo hawana hata chakula, kwaajili ya nyumba ndogo nazo ni akili?? si matope yamesha jaa.
  11. Nipigie

    Mnatunyima konsetresheni!!!!

    Kama shule imewashinda, acheni. hatajawaalika kutuchunguza.
  12. Nipigie

    Chimba kisima chako mwenyewe

    hi.hi,hi,hi mmm, Hapo penye nyekundu nimecheka!! Kumbe tumegundulika.
  13. Nipigie

    Nani wa kulaumiwa???

    Elimu ya iraia inakujaje hapa????
  14. Nipigie

    Nani wa kulaumiwa???

    Wanaume ndi wa kwanza kulaumiwa. Tongozeni kqwa nidhamu, heshimuni malengo yetu ya baadaye, tulindeni na siyo viongozi wa uharibifu. hapo vibuti hamta visikia.
  15. Nipigie

    Ukiolewa bila bikra ujue mwenzio anakuchukulia ulikuwa malaya

    Tabutupu!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
  16. Nipigie

    Kwanini wanaume mnapenda kucheza nusu uwanja?

    Vipi,kadi nyekundu hujawahi pata???
  17. Nipigie

    Ukiolewa bila bikra ujue mwenzio anakuchukulia ulikuwa malaya

    Acha kudanganya jamii. wapi huko tume data.
  18. Nipigie

    Ukiolewa bila bikra ujue mwenzio anakuchukulia ulikuwa malaya

    Bora uitwe malaya, hapa JF kuliko mumeo akuite hivyo. Dunia itapasuka.
  19. Nipigie

    Ukiolewa bila bikra ujue mwenzio anakuchukulia ulikuwa malaya

    Nyie mnao danganya wadogo zetu eti hakuna haja ya kuwa biikra. upuuzi mtupu. Hata kama wanaume ni wazinzi, bikra sio zenu waachieni walio nazo wazitunze na sio kuwalaghai eti ni vichanga tuu ndio vina bikra.
  20. Nipigie

    Ukiolewa bila bikra ujue mwenzio anakuchukulia ulikuwa malaya

    . sio kwamba alioa akijua, alioa bila kujua, na hakutarajia kuwa atakuta mlango upo wazi. Kwa namna hiyo lazima ashituke. Umepeleka wapi ile kitu yetu????
Back
Top Bottom