Search results

  1. Michael Paul

    Kazi ya Uwakala wa M-Pesa, Tigo Pesa, Airtel Money inaingizaje pesa?

    Mawakala tunanyonywa sana na Hii mitandao, tunawanufaisha sana. Ni muda sasa tuamke!
  2. Michael Paul

    Manunuzi Amazon & Ebay. Seller hatumi mzigo kuja Tanzania

    Mkuu kuna replacement battery ya Laptop nimenunua ipo US naituma vipi Tanzania?
  3. Michael Paul

    Msaada: Sehemu nzuri tulivu ya kulala Morogoro

    Book DaVinco Furnished Apartments, zipo SUA Main Campus. Unaweza kufanya booking Online airbnb.com/h/davinco au wapigie kwa namba zao 0737397700
  4. Michael Paul

    EFM: Interview na Harmonize, matangazo mengi mnakatiza maongezi hamuwezi kupata exclusives

    Ukitaka interview nzuri msikilize Salama Na _________ kwenye YahStoneTown. Zamani ilikuwa LilOmy ila siku hizi Channel yake hakuna update yoyote.
  5. Michael Paul

    MAREKANI: Kifo Cha Malcom X na Kufukuzwa kwenye Chama Cha Umoja Wa Waislam (NOI)

    Muuaji Halisi ambaye alitumia Shotgun iliyothibitika kumuua Malcom X ni huyu aliyezungushiwa nyekundu, anaitwa William X Bradley au al maarufu kama Al Mustafa Shabazi, Jasusi na mwanachama mtiifu wa Nation of Islam Msikiti namba 25 wa Newark, pia inasadikiwa kuwa alikua akitumiwa na FBI.
  6. Michael Paul

    Ni maeneo gani kwa Morogoro mjini ni mazuri, tulivu na salama kwa kuishi?

    Kuna nyumba Maeneo ya Liti kama upo tayari ni PM, Karibu sana Morogoro
  7. Michael Paul

    Finance Assistant at Jimz Technologies Co. Ltd

    Kwenye maelezo imegusiwa
  8. Michael Paul

    BeFoward ni Clearing agents Tanzania?

    Huwa wanatoa huduma ya kuclear pia, waombe wakupe discount, watakupa na offer ya fire extinguisher na triangles.
  9. Michael Paul

    Tuwe makini na mafundi hasa kwenye ubadilishaji wa spare na oil

    Kuna maduka wanayakua wanatoa oil fake na risiti wanakupa vizuri kabisa [emoji1787][emoji23]
  10. Michael Paul

    Niulize chochote kuhusu injini za magari madogo na pickup zinazotumia Petroli

    Hii ni ya kijapani mkuu, imenishangaza sana kwa kweli. Siku zote huwa natumia Total nikaona hii Takumi kwa kuwa imetengenezwa Japan basi itakuwa safi maana Japan ndo wababe wa magari [emoji23]
  11. Michael Paul

    Niulize chochote kuhusu injini za magari madogo na pickup zinazotumia Petroli

    Mkuu kuna scenario imenitokea juzi nimeshindwa kuielewa. Kuna Nissan Serena 2011 engine ya C26 ina kama week tatu. Nilivyoifuata bandarini tulifanya service na wakaweka oil ya Takumi kama inavyonekana kwenye picha Juzi nilikiwa safarini kutoka Arusha kwenda Iringa, asubuhi nikacheck oil na...
  12. Michael Paul

    Kuagiza gari hadi kulipia kodi ya bandari

    Hiyo ya kijani ni bei mpaka destination port mf. Dar. Na ndo utakayolipa ili gari lifike bandarini. Likishafika ndiyo TRA wanakuja kuchukua chao na wao sasa.
  13. Michael Paul

    Kwanini watu wanapenda kuigana kununua magari?

    Wasi wasi wa watu tu, gari ya pekee wala haina shida kupata spares siku hizi. Unauwezo wa kuagiza popote duniani zikafika ndani ya week. Magari ya kufanana ndo huwa yanaibiwa spares sana.
  14. Michael Paul

    Tuwe makini na mafundi hasa kwenye ubadilishaji wa spare na oil

    Mimi huwa nikienda kufanya service huwa nakomaa na mafundi na kujua wanatoa nini na kwanini. Ni njia nzuri ya kujifunza pia na wao watakufanyia kazi yako vizuri
  15. Michael Paul

    ATCL yasaini mkataba wa ununuzi wa ndege mpya aina ya Bombadier

    Itakua chini ya ATCL au TGFA?
  16. Michael Paul

    ipi printer nzuri kwa budget ya 200k?

    Kwa Budget yako hii HP itakufaa tu Mkuu https://shop.jimz.co.tz/product/hp-deskjet-2130-all-in-one-printer/
  17. Michael Paul

    Dar: Basi la Tahmeed lapata ajali, lilikuwa linaelekea Nairobi Kenya..

    Duh Tahmeed wameanza kupata mabalaa gani tena? Juzi kuna lingine lilianguka maeneo ya Tanga lakini hakuna aliyepoteza maisha
  18. Michael Paul

    Kilimo cha Parachichi - Fahamu Aina, Namna ya Kulima na Masoko

    Kuna mdau amejaribu parachichi Tanga? Handeni, Korogwe n.k?
Back
Top Bottom