Search results

  1. K

    Rushwa ya Ngono yashamiri Arusha ,Sasa Foundation yajitosa

    Kama ambavyo umesema uchunguzi ufanyike kubaini ukweli wa jambo nadhani ndo ingekuwa busara zaidi kuliko kusema ...."hivi vitaasisi visitafute kiki kwa kuchafua taasisi nyingine" hui ndo ukomavu wa mawazo. Hizi taasisi unavyoviita vitaasisi vinafanya mengi mazuri ambayo ninaamini ukiamua kufanya...
  2. K

    Ni mke wa mtu, ni mzuri, ANANITAKA nifanyeje?

    Value ur dignity bro. cutes are not yet born. imagine how many of us do poses a car, do u think u ar the first to own a car! redeculous, make ur healthy family. songa mbele na  maisha mthamini huyo wako mchumba huyo mdada asitumie huo unaouita uzuri kukupoteza kumbuka yeye ana familia...
  3. K

    Ni mke wa mtu, ni mzuri, ANANITAKA nifanyeje?

    Value ur dignity bro. cutes are not yet born. imagine how many of us do poses a car, do u think u ar the first to own a car! redeculous, make ur healthy family. songa mbele na maisha mthamini huyo wako mchumba huyo mdada asitumie huo unaouita uzuri kukupoteza kumbuka yeye ana familia tayari...
  4. K

    Elections 2010 Suppose Wahisani Wakawaambia CHADEMA....

    MKWERE: akiwa na bakula, anaomba kwa wazee wa kaya wa wasomi huko ulaya. WAZEE WA ULAYA: Kwani una shida gani mkwere? MKWERE: Nina matatizo mengi wazee wangu, UKIMWI, MALARIA, UMASKIN, na hayayote bajeti yangu haifikii WAZEE WA ULAYA: Halafu w mkwere, si una dhahabu, almasi,makaa ya mawe, gesi...
  5. K

    Elections 2010 CCM Dar watangaza maandamano na kuahirisha ndani ya dakika 5

    Let them try to do it, we will show them how to do it........ma - rope himiza wanao waandamane plz.
  6. K

    Elections 2010 CCM Dar watangaza maandamano na kuahirisha ndani ya dakika 5

    nionavyo ni kama vile ccm wanakimbia kivuli cha maovu yao kwa wananchi ili hali wamesahau kuwa taswira halisi ndio wao wenyewe. wanapingana na kivuli chao wenyewe. hivi, wanashindwa kwenda kuandamana kudai watoto wa maskini walio wengi wanasoma kwenye shule taabani huko vijijini - sekondari za...
  7. K

    Anne Semamba Makinda's Profile!

    Kazi anayo ndiyo maana hotuba yake fupi baada ya kuchaguliwa kuwa spika amesema ataanza kujifunza sheria na kanuni za kuliongoza bunge. halafu mbona kama amekaa kiubabe babe ili kuficha udhaifu wake kuwa sheria inampiga kushoto ili hali bunge hili limejaa wasomi kbao hasa nyanja ya sheria...
  8. K

    HISTORIA: Safari ya Anna Makinda kutoka Naibu Spika hadi Spika wa JMT

    kwa mara nyingine tumeshuhudia mawazo ya kilaghai kutoka ndani ya ccm, eti wameweka historia kwa kutoa mwanamke ambaye amekuwa spika wa kwanza kwa JMT. kibinafsi sikatai kuchaguliwa kwa mh. Anna makinda ila shaka yangu ni jinsi gani ccm imetumia udhaifu mkubwa wa kifikra na kisiasa kwa kuangalia...
  9. K

    Elections 2010 Hili nalo litalipuka hivi karibun....maana linafukuta jikoni

    wana JF kwa kuwa ishu hii inilinigusa na kunihuzunisha sana imenibidi niwe kachero kwa muda ili kupata kinachoendelea kwenye hili sakata. kwa habari nilizozipata ni kuwa benki ya uingereza imeblock kwa sasa hiyo akaunti na kwamba pesa haziingii wala kutolewa hadi hapo muafaka...
  10. K

    Elections 2010 Vioja vyaanza rasmi Bungeni

    hiyo ni rasharasha......mvua yenyewe bado. ngoja bunge lianze rasmi. maana kwa umakini huu ulioanza mapema kiasi kihi mmmmh
  11. K

    Elections 2010 Uchaguzi wa Spika wa bunge la 10 la Tanzania

    hatimaye spika amepatikana na katika kujua kuwa kazi aliyonayo mbele yake ni kuwa amesema kuwa kuanzia sasa ataanza kujifunza sheria na kanuni za ni jinsi gani ataliongoza bunge la JMT. mh. spika A. Makinda amesema hayo katika hotuba fupi baada ya kuapishwa kuwa spika wa bunge la jamhuri wa Tz...
  12. K

    Elections 2010 Hili nalo litalipuka hivi karibun....maana linafukuta jikoni

    Kutokana na chanzo kilichonitonya habari hizi kuwa ni cha idara nyeti ya serikali naomba kutoa hoja kama ifuatavyo: Katika kukurukakara za kujiandaa na uchaguzi huu wa mwaka 2010.. kuna habari kuwa kuanzia mwaka 2005 waziri mmoja wa awamu iliyopita ambaye ana mkono wake TICS alianza kulipwa...
  13. K

    Elections 2010 samuel sitta kupewa uwaziri kama kifuta jasho..na mzee wa kaya

    wana kaya kuna tetesi katika pita pita yangu kuwa mkuu wa kaya anataka kumpatia mh. 6 uwaziri fulani ilikumpoza na machungu ya kukosa nafasi ya kugombea uspika wa JMT kwa tiketi ya ccm.
  14. K

    Elections 2010 Chadema kuutwaa uspika?

    let them choose whoever comes there iz the work to do for tanzanian. viva tanzania
  15. K

    Mbowe awa kiongozi wa upinzani bungeni, Zitto naibu , Lissu chief whip

    wana jf hii timu imekamilika ila namwonea huruma spika anayeteuliwa kwa dalili tunazoziona sasa eti ccm wanaleta uamuzi wao wa kukurupuka wa kudai hata na wanawake wanaweza wakati wanamtwisha mzigo ambao hatauweza kuubeba mama yetu huyu. kwani kwa nionavyo mimi tangu tupate uhuru hili bunge la...
  16. K

    Elections 2010 ya lacairo haya hapa aibuuuuuuu

    kuna mzushi alikuwa ananizingua ikabid nimchape nayo....huyo anajiita geniuos brain
  17. K

    Elections 2010 ya lacairo haya hapa aibuuuuuuu

    bado tunataka kipi zaidi
  18. K

    Elections 2010 hawavumi kumbe nao wamo!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!rizi wajk,rost azim na......

    hivi jinialiyeas una documents inayoonesha mkutano wa kina Rost aziz ama vip maana naona unatapatapa. ngoja niiweke kwa ajil yako. kama upo hewan sio uhuru tafuta topic uthibitisho huu hapa halaf unijibu. kwakuwa ni mbishi kwa vile nami ninayo hii doc. wanayoita wao siri nakutumia halaf unijib.
  19. K

    Elections 2010 mungu wangu!!! hii haivumiliki wajitetee na hii kwenye vyombo vya habari.......

    wanasema ukila na kipofu usimshike mkono...hii sisiem wamewashika mkono watanzania wengi mno na hakika dhambi hii haitawaacha milele.. iko humu humu Jf ni kuhusu mkutano wa la cairo. hutaamini dharau tunazofanyiwa
Back
Top Bottom