Sasa kama anafanya utani. Kwa trend ilivyokuwa hata kwa kujumlisha jimbo kwa jimbo bado Dr. Slaa kura zake ni chache ukilinganisha na za JK. Kwa hiyo anapotoa hilo tamko ambalo ni batili nadhani anachochea machafuko yasiyo ya lazima. Mtoa mada pale juu anatamani kuwe na machafuko kama...
Huyu bwana anasema amepita bila kupingwa kumbe ilikuwa danganya toto. Cha moto amekiona na nadhani hatarudia tena. Ulikuwa ubunge wake wa kwanza na wa mwisho!! Hahahahahahahahahahahahaha. Huyu jamaa baba yake alikuwa UDP na acyually huyo mzee walikuwa ndiyo waasisis wa mageuzi ya vyama vya siasa...
Je hizo taarifa ni za kweli? Maana mpaka muda mfupi uliopita nilikuwa pale kwenye sehemu wanapohesabu kura msimamizi alikuwa hajatangaza. Mimi nadhani tusubiri hatima yao itakuwaje. Mapaka kitaeleweka tu!!!!
Huyu fisadi wa mabasi ya Dar Moro Mhe. Aziz Abood ameweza kutumia utajiri wake kununua wapiga kura. Ameshinda kwa kishindo kuwa mbunge wa CCM 20010-2015
Habari zilizotufikia hivi punde ni kwamba kijana Mnyika ni Mbunge wa Ubungo kuanzia leo. Ameshinda kwa kishindo na watu wote wamelipuka kwa shangwe. Pale Loyola kwa sasa hapakaliki!!
Anajiandaa kwenda Ikulu. Mwishoni mwa week hii ataapishwa kura rais wa Tanzania kwa awamu ya tano. Na Mhe. Mbowe ni Waziri Mkuu na MHe. Joseph Mbilinyi akiwa waziri wa utamaduni.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.