Taarifa iliyotumwa na Mkuu wa shule aliyosomea ni kwamba huyo binti amedanganya, Mkuu wa shule ameweka viambatanisho. Jina halisi ni Sifaeli Tawel na siyo Sifika Daniel. Namba yake ya mtihani ni 0850/0135 na siyo 0850/0136. Huyu alidanganya na hilo suala limeshatatuliwa. Huyu binti alipata div. 0
Pole sana kamanda ,cha muhimu fanya mazoezi na kusikiliza kila Madr. wataamua. Mimi mwenyewe hapa nilipo bado mkono wangu wa kulia haujanyooka na siwezi kunyanyua kitu, maana nilipata ajali mwezi wa saba,2023. Lakini mimi nilivunjika mfupa moja tu, nikawekewa chuma, naendelea kufanya mazoezi...
Mimi mwenyewe nilivunjika mkono wa kulia mwezi Julai,2023. Na nilianza kuandika kwa mkono wa kushoto ingawa ni ngumu sana. Kwa hiyo kuumia kuvunjika mkono wa kulia hakukuzuia kutumia simu kuandika.
Kwa hiyo kama nyumba iko Dar,na watu wote wanatakiwa kuhama, hiyo nyumba unamwuzia nani? Huyu. Nabii abilities upya namna ya kupata pesa. Pia TMA walisema kutakiwa na Elnino,kwa hiyo watu watu wanajua hilo,siyo jambo la kutabiriwa na nabii
Sijui kwa nini mtu akikaa sana madaraka hatoki mpaka kwa maandamano au mtutu wa bunduki? Ila huyu rais ni kiboko ,yaani mtu na nduguye ndiyo wanakula keki na kulamba asali ya Taifa.
Ahsante kwa makala hii, ni ndefu lakini nimesoma yote, baadhi ya uliyoyaandika huwa nafanya ,lakini nimepata elimu zaidi. NATAMANI NINGEIPATA KWENYE EMAIL AU WHATSAPP YANGU
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.