Search results

  1. E

    Tanesco tanesco tanesco tanesco

    wanajua sana ila kusudi ukizingatia kila matatizo yanapotokea wenyewe hayawakuti kivumbi sisi walalahoi,halafu nahisi masikio hawana na macho pia ndio maana wajifanyia mambo kiholela.mwishowe tunabeba mzigo taifa zima kwa ujinga wa watu wachache:mod:
  2. E

    Elections 2010 kuapishwa kwa JF vip

    wanaharakati vip maapisho ya JF yanaendeleaje. Dk. slaa vip bado kamkazia sura vilevile:peep:
  3. E

    Elections 2010 CONFIRMED: Karatu watangaza matokeo, CHADEMA yalikomboa!

    mkubwa kweli nagu kapiga swaga hanang sijui wamechakachua au laa
  4. E

    Elections 2010 walikuwa 5 tu, sasa wapo 16 tayari, je itakuwaje?

    Siyo hivyo sixteen kumbuka kuna ndugu zetu wengine wa cuf wapo 11,safari hii mjengoni halali mtu labda nao walewe sifa wakatuzingue,hapa zitto hapa ahmad rashid si unajua mziki wao kaongezeka mnyika,ccm watapumulia mipira
  5. E

    Elections 2010 kawe na ubungo vip matokeo?

    Wapiganaji mmesomeka kila la heri mnavyohamia kawe,iliwezekana america a long terms of slaves for black people ije hapa bongo.change we can
  6. E

    Elections 2010 kawe na ubungo vip matokeo?

    kuwalazimisha wananchi waongozwe na mtu wasiemtaka haipendezi.wapenihaki yao walioshinda miaka bado ipo ukishindwa leo utajipanga next election utagombea tena.mbona watu wanarisiti mitihani hata mara nne mwishowe wanaenda vyuo.why in politics
  7. E

    Ephraim Kibonde Jahazi Show

    [kibonde tatizo lake kakariri watu wameaka hili kama trellar ataisoma picha yake 2015 hatupigi domo wakati huu kichapo cha kimyakimya. kawe vip Mdee hawajamueleweshea mpango mzima?
Back
Top Bottom