Search results

  1. K

    Lema na Nassary Walitikisa Bunge kipindi cha Maswali kwa Waziri Mkuu..

    Eti niletee kwa maandishi!!!!! Maandishi ya nini katika kipindi cha MASWALI YA PAPO KWA PAPO?
  2. K

    Lema na Nassary Walitikisa Bunge kipindi cha Maswali kwa Waziri Mkuu..

    Maandishi ya nini katika kipindi cha Maswali ya PAPO KWA PAPO??
  3. K

    Wassira,Lukuvi na Ndugai, kulikoni dakika 45?

    Napenda na huwa navutiwa sana na vipindi vya ITV lakini hiki cha dak. 45 nilishaachana nacho kabisa. Hata malengo yake ni utata. Sijawahi kushuhudia akialikwa kiongozi wa taasisi yoyote tofauti na serikali na CCM. Mwazoni nilifikiri kwamba labda kina lengo la kuwapa tu nafasi watedaji wa...
  4. K

    WanaJF Arusha tukutane Milestones kusheherekea Ushindi

    Tulianza na Mungu. Timemaliza na Mungu. Kazi inaendelea. Makamanda hakuna kulala Ikumbushe NEC watangaze uchaguzi na kwenye lile jimbo walilolokatalia.
  5. K

    Polisi Dar wamvamia Mbowe usiku wa manane

    Jeshi la polisi linapokosa weledi kiasi hiki halina sababu ya kuwepo. IGP mwema asipopata busara za kujinasua makuchani mwa 'gaidi' Mwigilu Madelu Nchemba atarajie kuvuna aibu.
  6. K

    Mkapa: Wapinzani bado ni wachanga kuwapa Ikulu!

    Du!! Mkapa huna aibu?? Umesahau ya Arumeru eh??????!!!!
  7. K

    Mkapa: Wapinzani bado ni wachanga kuwapa Ikulu!

    Kumbe na Mkapa kazeeka kiasi hicho??? Kweli CCM wamechoka, du!!
  8. K

    Mkapa: Wapinzani bado ni wachanga kuwapa Ikulu!

    Kumbe Mkapa naye kazeeka kiasi hicho??? Kweli CCM ni wamechoka!!!!!
  9. K

    Katika kuusaka Urais Lowassa ajiita Ustadh Abdalah

    Yaleyale!! Ya Malecela kujiita Jumanne. Na wanaomshangilia ni kwa bababu ya umasikini tu.
  10. K

    John Magufuli: Ninautamani urais!

    Kwanza, Lowassa hajadiliki kwa sababu ni fisadi. Hatuhitaji fisadi ikulu. Pili, Magufuli anafaa tu ikiwa atajiengua CCM. Si vinginevyo. Ikumbukwe kuwa mfumo wa CCM ni wa kifisadi kwa 100% na hakuna wa kufurukuta.
  11. K

    Zanzibar: Padri auawa kwa kupigwa Risasi!

    Haya ni matunda maovu ya udini alioupandikiza JK. Na wenye akili kama ya kwake, kina ustadhi Ilunga, wanaendelea kupalilia kwa kuhamasisha mauaji dhidi ya viongozi wa Kikristu. Serikali iko kimya inasubiri wakristu wachukue wenyewe hatua za kujihami. Serikali inapaswa kutwambia ina ajenda gani...
  12. K

    Zanzibar: Padri auawa kwa kupigwa Risasi!

    Haya ni matunda maovu ya udini alioupandikiza JK. Na wale wenye akili kama ya kwake, akina ustadhi Ilunga wanaendelea kupalilia kwa kuhamasisha mauaji dhidi ya viongozi wa Kikristo. Serikali iko kimya, inasubiri wakristo wachukue hatua za kujihami!!!!!
  13. K

    Somo la Katiba ya CCM kwa Nape & Co

    Ni muhimu pia kwa waandishi kuchuja habari na si kujaza kurasa kwa propaganda. Kuna haja gani ya kujadili suala ambalo tuna uhakika kabisa halina tija. CCM ni mahiri wa kuanzisha mada mfu za kuwapoteza watu mwelekeo ili wasihoji mambo ya msingi.
  14. K

    Mapokezi ya mh slaa chadema karagwe yadoda

    Hizi ajira za mafichoni zitanatufanya kuonekana wendawazimu
  15. K

    Arusha Leo: Picha na matukio mbalimbali ya mkutano wa CCM

    Hata mkutano bado tayari wameaza kupiga watu???!!!!!
  16. K

    OCD wa Arusha aendelea kutumika na CCM.

    Kuna haja ya kuchunguza historia ya huyu OCD. Nina mashaka kama anastahili kuwepo kwenye kiti hiki. Hii inasikitisha na kushangaza. Who is Kinana?????!!!!, Na mikutano yake ni ya kisiasa au kiserikali??!!! Au wanatafuta sababu ya kufanya mauaji mengine??
  17. K

    Edward Ngoyai Lowasa aka LAIGHWANAN aende IKULU au KEKO?

    Lowasa ni Mmeru kwa damu lakini alikana kabila lake na kujifanya Mmasai kwa sababu zisizojulikana. Hii ni hatari mnapokuwa na kiongozi mwenye hadhi ya ubunge anayeweza kukana kabila. Tutajuaje kama hawezi kukana utaifa wake? Kimsingi jamaa ana sifa nyingi mbaya. Hafai hata kuwa mbunge. Nashangaa...
  18. K

    Mapya yaibuka sakata la mtuhumiwa wa mauwaji ya Mwangosi

    Hawa jamaa ndo maana wanacheleweshewa mishahara hadi tarehe 45. Kuwa tayari kutumika kwa maslahi ya watu binafsi au kikundi cha watu kunawafanya wadhalilike. Na itakuwa hivyo mpaka..
  19. K

    Mapya yaibuka sakata la mtuhumiwa wa mauwaji ya Mwangosi

    Hawa jamaa ndo maana wanacheleweshewa mishahara hadi tarehe 45. Kuwa tayari kutumika kwa maslahi binafsi ya watu au kikundi cha watu kunawafanya wadhalilike. Na itakuwa hivyo mpaka...
  20. K

    Vita ya urais CHADEMA: Dr. Slaa, Zitto na Mbowe hapatoshi!

    Tunayo kazi kubwa ya kufuta umasikini wa fikra. Inakuwaje mtu anazungumzia vita ya urais wakati ambapo si Dr. Slaa wala Mh. Mbowe aliyewahi kuzungumzia urais kwa namna yoyote wala kuonyesha nia??. Naona Prince Bagenda wa gazeti la TAZAMA [la propaganda] ana mawakala wake humu.
Back
Top Bottom