Search results

  1. LebronWade

    Siri kubwa kuhusu Forex hakuna Mentor anaetaka uijue

    Maxcence Melo naomba watu kama hawa wasiokua na staha ya midomo yao michafu wanatukana level hii,naomba muwapige ban kama inavyotakiwa.....Naomba sheria ya BAN ichukue mkondo wake..naomba ii post iwe ni lalamiko na wito wangu rasmi kwa JF sheria tulizojiwekea zifatwe
  2. LebronWade

    Siri kubwa kuhusu Forex hakuna Mentor anaetaka uijue

    MWIZI.... Unajua athari yake ukishikwa?Hivi unaelewa unachokifanya wewe?Ni jela Life Imprisonment,na kosa halina dhamana...Ni uhujumu uchumi... Badala ya kukaa chini na kufanya uzalishaji wa kweli kusukuma jamii mbele kiuchumi mnaona DECI ya Forex ndio njia,really?
  3. LebronWade

    Siri kubwa kuhusu Forex hakuna Mentor anaetaka uijue

    Una matatizo wewe..ukiwa unaandika shirikisha ubongo...nani akuonee wivu wewe?Nakujua?Sikujui,wivu nikuonee wapi?Stop clowning.. Siwezi cheza michezo ya upatu...heri nitafute jembe nilime nivune kwa jasho langu niuze nipate kidogo hicho cha halali nile kwa amani...Unanishangaza hata hujui maana...
  4. LebronWade

    Siri kubwa kuhusu Forex hakuna Mentor anaetaka uijue

    Ref Wayne looms large with his schemes: Ref Wayne: here we go again! | Botswana Gazette
  5. LebronWade

    Siri kubwa kuhusu Forex hakuna Mentor anaetaka uijue

    Wewe dada una vituko..Hizo hela unazokusanya ni za maskini Watanzania...Yaani huna tofauti na mwizi kabisa... Hivi unaelewa kweli matatizo unayosababishia wanaopoteza hizo hela unazopata wewe?Hivi wewe ni mwanadamu kweli? Aisee utakua na matatizo makubwa sana,au jamii yetu ya Kitanzania...
  6. LebronWade

    Siri kubwa kuhusu Forex hakuna Mentor anaetaka uijue

    The Top 3 South Africa Scammers...Ref Wayne namba 2....Kwa Tanzania Ontario ataku namba 1 Scammer!: SA's TOP 3 Fraudsters - ScamBroker
  7. LebronWade

    Siri kubwa kuhusu Forex hakuna Mentor anaetaka uijue

    Please check how FOREX trading has been debunked: Don't fall for complex scams | IOL Personal Finance
  8. LebronWade

    Siri kubwa kuhusu Forex hakuna Mentor anaetaka uijue

    Dada yangu,wewe ukiangalia upo kwenye top of the food chain....hii ni Ponzi au Pyramid Scheme,aliepo mbele kwenye chain hatakaa aone tatizo..shida ni pale collapse ya mfumo mzima inapoanguka kwa one day.... Ni proven Pyramid Scheme mkuu.....Ufanyabiashara ni kujenga vitu au huduma na kuuza...
  9. LebronWade

    Siri kubwa kuhusu Forex hakuna Mentor anaetaka uijue

    Ni kama Ontario na upuuzi wake....halafu kuna wehu wamejiunga nae...This is stupidity...Eti "Mfanyabiashara" bora Tanzania bwana "Ontario"....ujinga ujinga tu.... Dada yangu,wewe ukiangalia upo kwenye top of the food chain....hii ni Ponzi au Pyramid Scheme,aliepo mbele kwenye chain hatakaa...
  10. LebronWade

    Siri kubwa kuhusu Forex hakuna Mentor anaetaka uijue

    Ni kama Ontario na upuuzi wake....halafu kuna wehu wamejiunga nae...This is stupidity...Eti "Mfanyabiashara" bora Tanzania bwana "Ontario"....ujinga ujinga tu....
  11. LebronWade

    Kwa nini unaichukia/unaipenda Israel: Sababu zangu sita

    Sawa...Israel hoyeeeeeeeeeeee!
  12. LebronWade

    Kwa nini unaichukia/unaipenda Israel: Sababu zangu sita

    Mzee utakua na Bipolar Disorder.....huna definitive assertions....sentensi tatu za mwanzo ulizotoa ni contradictions...taifa "teule" lilibarikiwa kuliko mataifa yote haina maana ni context ya "superior" inaonesha wewe sio mwaminifu umeamua kupinga makusudi... Kwanza sio Ben Gulion ni Ben...
  13. LebronWade

    Kwa nini unaichukia/unaipenda Israel: Sababu zangu sita

    Mzee unaanza unafiki na kua dishonest...mpaka unashangaza....eti hakuna dini inayosema jews ni superior race...hivi mzee upo serious kweli au unajitoa ufahamu makusudi? Biblia waliyoiandika wao inasema Waisrael ni taifa teule la Mungu na Wafilisti ni watu wa Mataifa (meaning ni second class...
  14. LebronWade

    UVCCM wamtolea uvivu Alberto Msando, wamtaka awaombe radhi

    Huyu Msando hawa UVCCM lazima wamtoe kamasi...tatizo Msando anapenda sana kiki,sasa lazima wamvunje mguu...
  15. LebronWade

    Kwa nini unaichukia/unaipenda Israel: Sababu zangu sita

    Hapo ndio damage ilitokea...uliwajua through dini teachings,thats all the damage occurred.....Jews as a superior race as peddled by the Abrahamic religion was subconsciously fed to you while you were a child...that's it. Na dini ni ubaguzi at its very root...utajifanya kua unajua difference...
  16. LebronWade

    Kwa nini unaichukia/unaipenda Israel: Sababu zangu sita

    Mkuu swali mbona rahisi sana....hiyo mitazamo sijui miwili sijui mingapi mimi sijaiuliza.... Kurahisisha swali langu....soma hapa: Mitale umezaliwa,hujui dunia ni nini,hujui mtu yeyote,ukakua,mara ya kwanza kusikia kitu au watu wanaitwa Waisrael ni lini na uliskia kutoka wapi na ulikua na miaka...
  17. LebronWade

    UVCCM wamtolea uvivu Alberto Msando, wamtaka awaombe radhi

    Msando one of the overrated clown ever......This nigga is fake to the core.......
  18. LebronWade

    Je, ni kweli kampuni za Mchechu ndio zinajenga nyumba za NHC?

    Hahahaaaaaa......HNIC=Head Nigga In Charge...kama mchawi vile....Paskali lazima akukome!
  19. LebronWade

    Kwa nini unaichukia/unaipenda Israel: Sababu zangu sita

    Mara yako ya kwanza kuwasikia Waisrael ni wapi?Na ulikua na umri kiasi gani..tuanzie hapo
  20. LebronWade

    Kwa nini unaichukia/unaipenda Israel: Sababu zangu sita

    Nimekusoma mkuu. Ukiangalia source ya admiration yako kwa hii jamii ni historical....most definitely umezaliwa hujui lolote duniani kama wanadamu wengine ila ukawa influenced na Abrahmic religion writings and teachings..huko ndio uliwasikia kwa mara ya kwanza,ukawa influenced..ukawa mtu...
Back
Top Bottom