ofkoz Watanzania tumezoea kudanganywa, nafikiri hasa sababu yake ni sisi wenyewe kuogopa opole wetu. Mmmh! lakini kuzoea ugonjwa haiwi sababu ya mtu kupona kabisaaa hilo tunaamini, hivi Tunisia walisubiri mpaka raisi akachoka kuongoza eee? sasa sisi tunasubiri nini?
kwamba Mbunge wa arusha amemkashfu w/mkuu au laa, watanzania ndo tunajua. lolote watakalo amua ni mbinu za ccm hilo tunafahamu. ninani hasa aliyeua raia arusha sisi tulioumia kwa yale mauaji ndo tunajua nani anahusika.
Watanzania maamuzi yetu sahihi na yenye kuangalia baadaye ni ya muhimu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.