Search results

  1. K

    Msaada kwa mkaka

    kuna uhakika gani kama mtoto ni wa kaka mwizi(kama unavyomuita)?? kama hajapimwa DNA kuna uwezekano pia mtoto akawa ni wa mume wa dada mwizi(kama unavyomuita) kwa sababu inawezekana huyo dada siku aliotoka kukutana kimwili na kaka mwizi pia siku hiyo hiyo tena akukutana na mme wake My take...
  2. K

    Old school days - Mko wapi?

    kwa wale tuliesomea mwanza kuna mashindano yalikuwa yanaitwa rottery asee ilikuwa sio mchezo, ilikuwa ni sehemu ya kuonyeshea nani mjanja, nani anjua kuvaa vizuri, nani mbabe na mambo kibao, shule kama lake secondary, bwiru boys, nsumba aka washamba wa pori na buswelu ilikuwa nom, mji mzima...
  3. K

    Mkullo: Maisha yangu yako hatarini!

    No wonder almost 70% ya mapato ya serikali yanaishia kwenye operation and only 30% inaenda kwenye development project
  4. K

    Pinda: Dowans hatuirudishi bungeni

    ushuzi mtupu!
  5. K

    Messi vs Ronaldo: Nani zaidi?

    binafsi nampenda ronaldo japokuwa naamini na kukubali kuwa messi ni hatari na mkali zaidi:amen:
Back
Top Bottom