ccm kweli wanafundishana uoga na unafiki,kwahiyo wanataka BELESHI ibadilishwe jina na kuwa LIKIJIKO LIKUBWA??Mtu kama ni mwizi ni mwizi!.thats it,Mapacha watatu ni MAJAMBAZI,and thats final,mtakaa kubembelezana mpaka lini.
<br />
<br />
Labda awe rais wa familia yako we *****!.Umeandika kwa comfidence kama vile ni kura yako tuu ndo inayomchagua rais wa JMT,Hatutaki mwizi sisi,kuna watz wengi sana far better than Lowassa,usituletee mawazo mgando hapa.Kama kweli anayo nia nzuri na nchi ye2,why is he forcing by...
Kwa mibwege kama wewe kutakuwa na maendeleo kweli,swala la maendeleo ya nchi yetu sio la chadema na Dr slaa,ni la kwetu wote regardlss of itikadi za chama chako,kwa bahati mbaya au nzuri chama kilicho madarakani ni CCM,so ni lazima tukikosoe ili kiweze kuleta maendeleo kwa manufaa yetu sote,sio...
Hapa unazungumzia watu wawili tofauti!.MWIZI ambaye ni lowassa na Mpenda vimada ambaye ni zuma in which lowasso can also be there ila mambo yake ya uhuni hayasikika.Lowassa angekuwa a good P aspirant ila ilo doa la TAMAA YA KUJILIMBIKIZIA MALI ZA WANANCHI KWA WIZI KAMA FISI MWENYE NJAA ALIYEONA...
duh!.hata mim nimeliona mpwa,nikajiuliza ni ngozi nyeusi zenye matatizo au UTZ,coz kweli unatuandikia mambo ya mimba ya mchumba wa silaa kweli,umasikini utaisha kweli?
tatizo la huyu mzee ni mwizi jamani!.namkubali sana ila ananipa wasiwasi sana,hapa arusha kila kitu ni chake yeye,mashamba makubwa na mazuri yake,majengo makubwa yake,na sasa ivi anajenga twin tower pembeni ya office za leopard kijenge,gorofa kumi,na source yangu anayefanya kazi hapo anasema...
wana Jf ninaumia moyo kuona habari kama hizi,naumia to the point where i have got no words to express myself,najuta kuwa mtanzania,najuta,au wamemloga rais wetu awe kilaza ivo ndugu zangu,wale wakali wa mambo hayo mfungueni macho rais wetu,inasikitisha sana.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.