Search results

  1. rugumye

    Chonde chonde Rais wetu Kikwete, machozi yetu yatakulilia

    CHONDE CHONDE RAIS JAKAYA MRISHO KIKWETE: Natanguliza salaam kwako Rais wetu Jakaya KiKwete, kwanza kabisa nakupa pole kwa majukumu mazito ya kujenga nchi. Pia tunakupongeza kwa kazi nzuri uliyoifanya kulifikisha taifa letu hapa lilipo kwa Amani na ultulivu. Kila dalili za uvunjifu wa Amani...
  2. rugumye

    Kanda ya Kaskazini CHADEMA hawakubaliki, wanategemea Kanda ya Ziwa na Magaharibi

    Hiawezekani? km ndiyo hivyo basi CDM ina kazi, coz zzk anakubarika Mwanza Shy na Tbr bado Kgm.
  3. rugumye

    Kanda ya Kaskazini CHADEMA hawakubaliki, wanategemea Kanda ya Ziwa na Magaharibi

    Number zipi tena mkuu, nenda tovuti ya NEC, then fanya comparison mwenyewe, hata hai kwa mwenyekiti Dr Slaa walimkataa.
  4. rugumye

    Kanda ya Kaskazini CHADEMA hawakubaliki, wanategemea Kanda ya Ziwa na Magaharibi

    Wana jamii katika pita pita ayangu nimegundua kuwa CDM haikibariki nyumbani kwa mwasisi na kwa viongozi wakuu hasa kwa mwenyekiti Mbowe, je kumfukuza ZITO kunaweza kukiathiri chama ktk uchaguzi mwaka huu? angalia hizi takwimu za matokeo ya uchaguzi wa Urais mwaka 2010. MATOKEA YA UCHAGUZI WA...
  5. rugumye

    CHADEMA imeamua kujifuta Kigoma?

    Watu wa Mkoa wa Kigoma siyo wanafiki km utokako wewe, hawachagui chama wanachagua wachapa kazi bila kujari yupo chama gani? angalia katika bunge la sasa wananchi wa mkoa wa kigoma waliwachagulia wabunge majembe na wamezitendea haki nafasi zao:- naomba unipe weaknesses za wabunge wafuatao na...
  6. rugumye

    Tanzania yapunguza safari za Kenya Airways

    Kenya wamemwaga mboga sis tunamwaga ugali.
  7. rugumye

    Tufanye nini kuiokoa nchi? Mfumo rasmi na siasa vimekwama

    Watanzania tufumbue macho nchi inaliwa na wajanja. watotot wetu wanakufa kwa ukosefu wa dawa, wanafunzi vyuo vikuu hawanapata mikopo maisha ni magumu.
  8. rugumye

    Kumbukumbu ya Wanasayansi juu ya JK Nyerere: Nyerereite carbonate mineral na2ca(co3)2

    Nyerereite is a very rare sodium calcium carbonate mineral with formula Na2Ca(CO3)2. It forms colorless, platey pseudohexagonal orthorhombic crystals that are typically twinned. It has a specific gravity of 2.54 and indices of refraction of nα=1.511, nβ=1.533 and nγ=1.535...
  9. rugumye

    Ujambazi huu wa staff wa tume ya jiji ni sawa?

    wanachukua pension zao mapema km askari wa jeshi la polisi
  10. rugumye

    Karibuni tuchague aina ya muungano tuutakao, je majibu ni sawa na ya tume? Piga kura

    Fungua link upige kura yako kwenye link
  11. rugumye

    Hamtanifukuza kama akina Mwapamba, Mchange na Shonza halafu yakaishia hapo!! naijua katiba ya chama

    Hapo ndiyo kuna matatizo ndani ya CDM km zzk hafai kuongoza si mngemnyima kura akachaguliwa anayefaa? Kwa kuwa CDM ni chama cha demokrasia kinatakiwa kufuata misingi hiyo. Mawazo yenu mnataka yawe mawazo ya chama.katiba ya chama anawapa wanachama wote haki sawa hayo maneno yanabaki ngonjera. Na...
  12. rugumye

    Rais JK amsaliti mwl Nyerere

    Katiba mpya kurudisha nchi ya Tanganyika ni kukijeri mawazo ya waasisi wa Muungano wazee wetu, Hayati Mwl J.K NYERERE na Hayati ABEID AMAN KARUME. Kwa sababu kama kutakuwa na Tanganyika hakuna JinaTanzania kwa sababu Tanganyika ni muunganiko wa maneno kutoka TANGANYIKA NA ZANZIBAR. Naomba...
  13. rugumye

    Askari wa Rwanda wafanya Shambulizi Mpakani

    Anafunga wapinzania wake vifungo virefu gerezani, juzi kamfunga yule mama wa kihutu. hana ushupavu bari anatumia jeshi lake kuua na kufunga wananchi wenye mtzamo tofauti.
  14. rugumye

    Dr.Slaa: Zitto anaweza kufukuzwa kabisa

    Watanzania tukubari kutofautiana kimawazo na kimtazamo, inasikitisha kuona baadhi ya watanzania kuwatukana km si kuwadhihaki wananchi wa Kasulu Kumpokea Zito Kabwe, wananchi wana makosa gani kumpokea? km zito ana makosa au viongozi wa Wilaya au mkoa wanaanchi wanahusika vipi? MBONA MZEE WA...
  15. rugumye

    Picha: Zitto atikisa KASULU, Mkutano wa hadhara

    Watanzania tukubari kutofautiana kimawazo na kimtazamo, inasikitisha kuona baadhi ya watanzania kuwatukana km si kuwadhihaki wananchi wa Kasulu Kumpokea Zito Kabwe, wananchi wana makosa gani kumpkea zito Kabwe? km zito ana makosa ai viongozi wa Wilaya au mkoa wnaanchi wanahusika vipi? MBONA MZEE...
  16. rugumye

    Marais Museveni na Kenyatta waishangaa Tanzania

    Mkuu umenena, wamemwaga ugali na sisi tumwage mboga, tuongeze ushuru kwa watalii wanaoingilia mipakani na wasaidizi wao. au tuzuie tour guide kutoka nje ya Tanzania la sivyo guide watulipe dora km wazungu. lkn tupunguze fee kwa watalii wataokuja direct bila kupitia kwa majirani zetu. ka hawataki...
  17. rugumye

    Marais Museveni na Kenyatta waishangaa Tanzania

    wiki iliyopita mbunge mmoja kutoka Burundi alisema km lengo ni ukanda huo kwa nini reli iishie Kigari pekee, kwa nini Burundi wasijuiswe kwenye mradi huo ili reli iishie Bujumbura. Km hujui watutsi hivyo ndivyo walivyo, ni wanafiki sana. Kenyata ametumia mwanya huo kutaka kunufaika. Mwai kibaki...
  18. rugumye

    Thanks God for Giving us Kikwete

    Bila KJ haya ungeyajua? tunamshukuru MUNGU kutuleta Kikwete ili nchi ipate ukombozi kutoka kupe CCM waliokula nchi hii miaka 50. saa ya maajabu inakuja.
  19. rugumye

    Wakati Tanzania tunapinga Mjumbe wa CCM [nyumba 10] WAKENYA wanapendekeza mfumo huo!!

    Heko dudus, una akili sana. samahani una degree ngapi? unamzidi Benson Bana yeye kila kitu anataka aonekane safi mbele ya Rais. bila kuangalia upande wa pili.
Back
Top Bottom