Search results

  1. N

    Kigwangala afunguka mkutano wa Rais Kikwete Nzega, afunika, Rais amfagilia kuwa tumaini la baadae

    KiGWA hampendi Kitundu kwa chuki binafsi. Nzega akiondoka Kitundu wananchi watajamkumbuka. KiGWANGALA akumbuke kuwa kitundu huyohuyo ndie aliyemsaidia kuukwa ubunge
  2. N

    Hawa Ghasia mulika Nzega, mkurugenzi si msikivu

    Hujaeleza mapungufu ya Mkurugenzi ni yapi?
  3. N

    Tamko la Vijana 'WASOMI' wa vyuo vikuu Mkoa wa Dodoma Dhidi ya wabunge wa CHADEMA

    Nyie mijanafunzi wa UDOM acheni upuuzi
  4. N

    Elections 2010 Dosari za Magufuli hizi hapa

    JPM ni noma - huwezi kuniambia lolote, mangapi mazuri amefanya? ni kiongozi bomba sana
  5. N

    Baraza la mawaziri Zanzibar CCM 8 CUF 6

    Wizara 9 zingeliwatosha wazanzibari. CCM 5 na CUF 4. na hapohapo jamaa atateua manaibu waziri wanini?? Kodi ya wananchi ni vyema ikahudumia wananchi wenyewe na sio kunufaisha wachache.
  6. N

    Kaka yangu ana bottom kubwa afanye mazoezi gani?

    Awatafute wamasai wampatie dawa
  7. N

    Kwa Mtindo huu Tanzania ni ya Mafisadi na Maskini

    Watanzania tumelala na tumeridhika sana na shida zetu. Tunasadiki hata kuuza haki zetu za kidemokrasia kwa maslahi ya vyama vyetu vya kisiasa badala ya maslahi ya nchi. Mimi naimani huyu mmama hataweza kuendeleza vita dhidi ya wala nchi (mafisadi) Lakini siku watanzania wakizinduka usingizini...
  8. N

    Hi, am a new member!

    Naipenda jamiiforums - Chadema + cuf=Tutaingoa ccm 2015
Back
Top Bottom