Search results

  1. masalamado

    Mwenye taarifa na taasisi ya Zanzibar Election Observer and Support project

    Wakuu habari, Wakuu samahani kuna mwenye taarifa na hii taasisi jamani? Zanzibar Election Observation and Support Project (ZEODS-Project) Email: electionobserverjobs@gmail.com |infor@representative.com|ZEODS-Project@europe.com | ZanzibarElection@representative.com | inquiry@representative.com...
  2. masalamado

    Kilimo cha matikiti maji (watermelon): Ushauri na Masoko

    hi Avatar, mambo vipi, nimepita hapa, naweza pata hiyo Bp ya miundombinu ya Dom?
  3. masalamado

    Nina Ekari 30, maji yapo, naomba ushauri nifanye nini nitoke?

    Nyanya inachukua mda gani mkuu? Naomba namba yako nitembee nipo bariadi Mwanza mkuu
  4. masalamado

    Njoo tujadili namna ya kutengeneza zaidi ya mil 100 ndani ya mwaka mmoja

    Mkuu naomba namba yako tupate taarifa sahihi na ushauri kiongozi kutoka kwako kiongozi
  5. masalamado

    Kilimo cha matikiti maji (watermelon): Ushauri na Masoko

    Ally habari, naweza kuwasiliana na wewe Mkuu? naina hii fursa kaka, naomba email yako
  6. masalamado

    Kilimo cha matikiti maji (watermelon): Ushauri na Masoko

    Mi naitaji vitabu vyote napataje?
  7. masalamado

    Msimbe kuolewa ni ni ngumu sana sawa na bama kwenda Shinyanga

    Tuwaombee ! yote yanawezekana jamani maana nao ni waitaji jambo jema ni kumtanguliza Mungu na inawezekana
  8. masalamado

    Clouds hawajui tofauti na maana ya maneno: Fursa na hamasa

    Hawa jamaa hawajifunza kutoka kwenye forum za uwekezaji zinazotanyika katika kanda au mikoa,nnawasisi na washauri wao na waandaaji na hata kama huwa wanapata mialiko wangekuwa wanajua nini maana ya fursa
  9. masalamado

    Maji ya nazi

    aaahhh aahhh
  10. masalamado

    Kuolewa kuna raha zake!

    kwa mfano unakwaruzana na mkeo ,mama mkwe anamtumia nauli mtoto wake arudi kwao,na binti anachukua jukumu la kuondoka ,je hapo mdao unafanyaje?!
  11. masalamado

    Hakuna mwanaume asiyetamani kutoka nje ya ndoa...!

    Mmmmhh!!! ukishapiga mara mbili tatu test yote inaisha unaanza kukumbuka mkeo
  12. masalamado

    Lori lenye shehena ya bomba lashambuliwa Mtwara!

    Hao wenye Almasi umeona maisha wanayoishi?! nenda kajionee mwenyewe na tathmimi, basi hata wadanganywe kwa kuarakisha ujenzi wa viwanda, vijana wapate ajira then ndio jamaa wapeleke mzigo Dar,Vinginevyo wale jamaa wa kanda hili kwa hali ya maisha wanayoishi ,ni lazima wapambane.
  13. masalamado

    Mkuu wa M 23 Colonel Sultan Makenga is Dead

    kaka kulinda amani wanatumia manati? kwa hiyo wakishambuliwa wasijibu mapigo?!
  14. masalamado

    Semina elekezi online - decision making process and model

    Kaka umenena, kwani kwa kiongozi bora, ni lazima atakuwa na uwezo wa kutafakali na kutumia decision Model zenye standard with tm limit,lakini kwa bora kiongozi ndio wale ambao wanatufikisha pale kwa kina Richmond, Dowans.Kagoda, EPA,.Endelea mjomba kutoa somo
Back
Top Bottom