Toka nime instal windows 7 kwenye computer yangu naona webcome haifanyi kazi., nimejaribu ku download lakini bado tatizo lipo pale pale......... Naomba msaada wakuu.
Kwani alipo kuwa hai alikuwa anaenda kwao kwa helkopta?. na kama alitumia gari, unataka uniambie yeye hakuona ubovu wa barabara? au alikuwa hatembelei kwao kama baadhi ya wabunge wengine wa magamba?.
naomba uondoe huo upupu hapo juu.
Tme ya vyuo vikuu nchini imetoa majina ya watu waliochaguliwa kujiunga na vyuo, tatizo langu ni ile pesa ya mkopo waliyotoa haina mchanganuo kama ni:-
-ada ya mwaka au ni miaka yote?
-ni pamoja na michango?
- ni pamoja na malazi na chakula?
naomba kwa anayefahamu anisaidie
Jjamani hawa TCU wameweka amount of loan, bila mchanganuo, naomba mnisaidie zile pesa walizoweka ni ada pekeyake? au ni pamoja na michango mingine?
nawasilisha, nisaidieni
Hivi karibuni serikali imeanza mpango wa kutoa vyakula kwa wanafunzi mashuleni lengo ni pamoja na kuwavutia watoto kwenda shule. mpango huu umekuwa ukidhaminiwa na watu binafsi pamoja na mashirika mbalimbali. lakini huko mbeya wilaya ya rungwe katika vijiji vya rungwe walimu wamekuwa wakiwaagiza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.