Search results

  1. L

    Joseph Sinde Warioba: Jiwe walilokikataa waashi

    Kulikuwa na ulazima gani wa kuunda tume kama tayari mlikuwa na majibu? Mliounda tume kwa minajili ya kutafuta jukwaa la kutukana wazee? Hivi ofisi ya waziri mkuu na ofisi ya makamu Rais walitoa maoni ya dhati au ya kisanii? Je maoni yalitolewa kama chambo cha kutafutia sababu ya kumtukana...
  2. L

    Tumevurugwa: Tunahitaji muafaka wa kitaifa!

    Ni lazima wananchi tujitwalie fursa hii adimu ya kujenga nchi yetu..tusiwaachie wanasiasa kazi hii ngumu na muhimu mno!
  3. L

    Tumevurugwa: Tunahitaji muafaka wa kitaifa!

    UTANGULIZI Wahemga walinena, Mficha maradhi kifo humuumbua…Kuendelea Kujaza Maji kwenye ndoo iliyotoboka huku ukifahamua kuwa hayatajaa ni ujinga. Mungu ametupa akili na ufahamu, na hii ndiyo tofauti ya msingi kati ya sisi binadamu na viumbe hai vingine, kama wanyama na miti. Binadamu...
  4. L

    Kamati ndogo suala la posho yaundwa! Mbowe ndani!

    Na. Robert Lengeju Morogoro Vijijini. Mwenyekiti wa muda wa Bunge maalumula katika, Pande Ameir Kificho ameunda tume maalumu ili kuchunguza, kujadili na baadaye kutoa maoni na ushauri kwa Serikali, kama posho ya shilingi milioni Tisa kwa mwezi inatosha au haitoshi. Kamati hii bila shaka...
  5. L

    Viongozi wetu ni sehemu ya mfumo halifu!

    Na.Robert Victor Lengeju Mambo hayaendi, matariri wanafurahi, masikini wanateseka. Wenye haki wanafungwa wahalifu wanasherekea mwaka mpya wa mafanikio.Wale tuliowapa silaha za kutulinda wamegeuka na kutumia silaha zetu kutudhuru sisi wenyewe. Hakuna wa kumkemea mwezie kwasababu kila mmoja...
  6. L

    UDINI, UKABILA, UKANDA Propaganda chafu, hulka za kibinafsi na Uhalifu dhidi ya Demokrasia

    Nashukuru Ngudu Lema Tunajaribu kuwa sehemu ya mchakato wa kuiponya Nchi yetu. Propaganda hizi zinawahamisha watu kutoka katika mijadala muhimu yenye maslahi mapana kwa Nchi. Mkisema nyie wa huko ndani uzito wake utatiliwa shaka, lakini tukisema sisi tusio na kambi, naamini Jamii itaitikia na...
  7. L

    UDINI, UKABILA, UKANDA Propaganda chafu, hulka za kibinafsi na Uhalifu dhidi ya Demokrasia

    Na. Robert Victor Lengeju Morogoro. Ni masuala mtambuka kwa ubaya wake na ambayo yasipokemewa kwa uzito unaofaa, yanaweza kutumika kama mtaji wa watu hasa kila unapokaribia uchaguzi, huku ukiipasua Nchi yetu vipande vipande. Ni makala yenye kutoa elimu, lakini iliobeba karipio la dhahiri, kwa...
  8. L

    MWALE WA DEMOKRASIA/ The Flame of Democracy!

    The Flame of Democracy MWALE WA DEMOKRASIA: Ndani ya Raia Tanzania Na. Robert Victor Lengeju Mwale wa Demokrasia ni Jukwaa Maalumu katika Gazeti la Raia Tanzania (Gazeti dada la Raia Mwema), linazoletwa kwenu na Mchambuzi na Rafiki yako, Rai wa Tanzania, Robert Victor Lengeju.Jina la jukwaa...
  9. L

    Yametimia,mkutano wa dr. Slaa wakwama Kahama,wananchi wasusia mapokezi na mkutano

    Kama kweli wewe umekuwa eneo la tukio, unashuhidia kila kitu, halafu unatahadharisha kuwa zinaweza kuwekwa picha za uwongo, sasa wewe unashindwa nini kuweka Picha za Ukweli? Akili za kuambiwa, changanya na zako!
  10. L

    Hatua saba muhimu za uponyaji wa CHADEMA!

    Mwenye kehima kuokoa maisha, lakini mbabe hujichimbia kaburi lake mwenyewe! Negotiation and compromise is a sign of strength, wisdom and vision.
  11. L

    Hatua saba muhimu za uponyaji wa CHADEMA!

    Nawashukuru wote mlichangia...nawakaribisha wengine wenye mawazo. Suala la Demokrasia ni suala la ustawi wa nchi. Tushirikiane kujenga Nchi yetu! Nawapenda sana....Tuipende Nchi yetu!
  12. L

    Hatua saba muhimu za uponyaji wa CHADEMA!

    Asante ndugu mpenda mabadiliko.... Naamini hakuna lisilowezekana chini ya jua... ni suala la kuvua ubinafsi na kuvaa uzalendo tu! na Pengine hiki ni kipimo kwa wapenda nchi wote... Tukiamua kufuata msemo wa mwaga mbona namwaga ugali ni sawa! na matokeo yake tutayaona....na tukiamua kuweka mbele...
  13. L

    Hatua saba muhimu za uponyaji wa CHADEMA!

    Umenigusa, umenitia Moyo...Asante
  14. L

    Hatua saba muhimu za uponyaji wa CHADEMA!

    Na. Robert Victor Lengeju. DONDOO 1. Busara ya Ukimya: kufikiri kabla ya kusema na kuchagua cha kusema 2. Toba, Msamaha, Upatanisho na Maridhiano 3. Kamati ya wazee wenye hekima, wasio na upande wala ushabiki na upande 4. Wasivuliwe uwanachama, lakini wasijereshwe kwenye...
  15. L

    Dr. EDMUND SENGONDO MVUNGI: Baba, Mwalimu, Mtetezi!

    Mwanamageuzi wa kweli, Mwanaharakati mahiri Mwanazuoni uliyebobea! Umekufa kazini, Ukisimamia mabadiliko yakini. Umeondoka wakati ambapo mchango wako bado unahitajika sana. Binafsi siko tayari kukubali kwamba umetutoka. Najua kifo ni mepenzi ya Mola Lakini kwa wewe wamekuwahisha sana...
  16. L

    Do we have maternal protection laws in tanzania? Do we need one?

    I am doing my Bachelor of Law Research and my Title is "ACCESSIBILITY OF HEALTH SERVICES IN TANZANIA: ENFORCEABILITY OF FREE AND QUALITY MATERNAL HEALTH CAR. A CASE OF MVOMERO DISTRICT MOROGORO, TANZANIA. I am currently making an account of the available laws. Would any one plz assist me, of...
  17. L

    CHADEMA mmelewa sifa, Mnapoteza uhalali wa kukabidhiwa dola!

    No Sir, actually you are very right, thank you for your opinion...You are as much protection by the provisions of Art. 18 of Tanzanian Constitution with regard to right and freedom of opinion as any other Tanzanian. I am aware of what I was expecting from different people who would read my...
  18. L

    CHADEMA mmelewa sifa, Mnapoteza uhalali wa kukabidhiwa dola!

    No Sir, actually you are very right, thank you for your opinion...You are as much protection by the provisions of Art. 18 of Tanzanian Constitution with regard to right and freedom of opinion as any other Tanzanian. I am aware of what I was expecting from different people who would read my...
  19. L

    CHADEMA mmelewa sifa, Mnapoteza uhalali wa kukabidhiwa dola!

    Asante Ndugu Simbilisi....na wengine wote kwa kuniuga mkono, mmenitia moyo sana...Makala nyingine ya kitafiti iko Jikoni....
Back
Top Bottom