Search results

  1. V

    Chakula na sex!

    Jaribio hili nililikuta humuhun na nikajaribu nikaona linafaa ingawa sikufanya mapenzi ila nilijiona nikofiti....fanya hivi tafuna vitunguu swaumu punje kama 20 au 15 mida ya jion then kesho yake unywe maziwa robotatu lita baada muda utaona ngoma itakavyokuwa inadai na utakuwa na nguvu za...
  2. V

    Msaada wa luku

    Wazee naombeni msaada mimi nikinunua umeme wa 30000 haumalizi hata mwezi na sina matumizi makubwa nina frig moja tu na inatumika siku moj moja.taa nimefunga energ sever sina jiko wala nini tatizo nini? Wire ring ni mpya au kuna mautundu maana nackia huko dar wengine wananunua umeme wa 500 na...
  3. V

    Elections 2010 ITV wamtangaza REGIA MTEMA kushinda jimbo KILOMBERO, warekebisha baada ya muda...!

    Ndio kauzu nenda bwana mimi nipo kwa ofici kama cio hivyo ningeenda pale kibaoni nijionee na kupata data kamili uckose kutuhabarisha
  4. V

    Elections 2010 Mteketa mbunge Kilombero

    Yaani imeniuma wengine wamejazana hapa silent in wakishangili ccm wasubiri joto ya jiwe miaka mitano
  5. V

    Elections 2010 Wizi wa ccm

    Mteketa ametangazwa mshindi wa kilombero ila mungu yupo na adhabu yao naona mungu ameshaipanga ole wao
  6. V

    Elections 2010 Mteketa mbunge Kilombero

    Mama apigwa chini mteketa atangazwa kuwa mbunge nimeona wajinga wakishangilia na bendera zao so uwezekano mama amechakachuliwa ni live
  7. V

    Elections 2010 Regia mtemanyenja ananyimwa ubunge rasmi saa nne hii asubuhii mjini ifakara.

    Uvumi wa mm kupewa mkwanja unavuma sana hapa town na mkurugenzi kuambiwa akimtangaza mama akatafute kazi anapojua imavuma sana hapa mjini ifakara na inasemekana kinacho wafanya ccm wang'ang'anie jimbo mali asili zilizopo ambazo wanazivuna na kujaza kwenye matumbo yao bila wananch kufaidi matunda...
  8. V

    Elections 2010 Matokeo ya awali jimbo la Kilombero na matukio ya ajabu

    Ndio tangu asubuh wanamlazimisha mkgenzi atangaze chama kisichoshinda naskia na mama wanataka wampe rushwa akubali matokeo
  9. V

    Elections 2010 Mnyika

    Mnyika atangazwa jimbo la ubungo
  10. V

    Elections 2010 Matokeo ya awali jimbo la Kilombero na matukio ya ajabu

    Mimi nilihisi tu halafu wananchi wa ifakara waoga wakiona magwanda wamekaa mbaaali tuombe mungu ccm wasifanikiwe kuchakachua result
  11. V

    Elections 2010 Hongereni wana Rombo kwa kummwaga Mramba

    Afadhali kama mramba amelambwa kwa sababu ameirudisha rombo nyuma hatua mia
  12. V

    Elections 2010 Matokeo ya awali jimbo la Kilombero na matukio ya ajabu

    Katika jimbo la kilombero pale ifakara hapatoshi watu wameandamana naskia wanamshinikiza mkurugenzi wilaya amtangaze mteketa wakati kashinda mama halafu nimekutana na mmoja wa waliokuwa wakisimamia upigaji kura amesema matokeo eti ni mpaka saa 10 jioni coz bado vituo kumi na nne havijahesabiwa...
  13. V

    Elections 2010 Harufu ya mabadiliko

    Hata mimi cna tena matumaini ila tuskate tamaa maana wakijua watazidi
  14. V

    Elections 2010 Bila Watu Kujitoa Mhanga Nchi Hii Haitakombolewa

    Hongera sana kama mimi nina uchungu sana
  15. V

    Mgeni wenu

    Mimi ndo mgeni wenu kwa leo jamani kutoka ifakara morogoro
  16. V

    Maandalizi ya kitunguu saumu kimadawa:

    Asante sana mkuu kwa elimu unayoidondosha hapa
  17. V

    Elections 2010 CCM wanahaha kutafuta ushindi feki,

    Lazima waelewe hilo lakini watafanya kila mbinu hawatafanikiwa wakae wakijua hilo
  18. V

    Elections 2010 Wizi wa waziwazi

    Wizi unaonekana ni wa wazi jimbo la ubungo coz kuna jama ameonekana na makaratasi anataka kuondoka nayo tena akitumia gari binafsi
Back
Top Bottom