Search results

  1. M

    Rais Magufuli asema ana taarifa kuna kiasi cha dola bilioni moja zimekamatwa uwanja wa ndege Dsm!

    Au ndio mzigo wa Dr shika ulikuwa unaingia??? Maaana zile nyumba zake bado hazijanunuliwa!
  2. M

    Ni bora wangekuua kuliko mateso wanayompa huyu mwanamke

    Nakushauri nenda kanisa la sloam liko mbezi utapata msaada Hilo ni tatizo dogo,nina shuhuda za watu ndugu yao alipotea hapa mwanza kwa miaka nane naye alichizi lkn alisharudi na anafanya mambo yake wataalam hao sasa hivi hawatakusaidia.
  3. M

    Mwanza: Shinyanga Guest House yaungua moto, Mmliki wake aungua hadi kifo

    Acha tuhuma za kijinga fanya kazi, msiongee pumba kama unajua undani wa huo upuuzi weka wazi sio mnakaa tu hamfanyi kazi wengine wanahangaika wakipata mnawachafua! Kama unajua chanzo cha utajiri wao ungekiendea na wewe au hutaki utajiri unaona ukae team kuchafua majina ya wazee wa watu!
  4. M

    Mrema ana tatizo gani wakuu? Afya yake imedhoofu sana

    Ni kweli mzee alisema hategemei kuteua mpinzani lkn yeye alipewa parole in the first place hivyo yawezekana sio mpinzani
  5. M

    Kwanini iwe rangi hii na si nyingine?

    Ni standard kwenye mataifa mengi kwa sasa kama ilivyo rangi za magari mbalili ya dharura,na vingora tofauti tofauti
  6. M

    Rais Magufuli mtafute Dr. Joash Kabete akushauri kuhusu migodi, utapasuka kichwa

    Rweyemamu amewahi kuwa mwajiliwa wa barrick na mikataba haitarusu aemde kuwakagua,it happenedkwa mtu mmoja namfahamu alikuwa mfanyakazi hapo alipopewa kazi ya ukakuguzi na kampuni mmoja share holder kama independent consultant klishindikana kulingana na mikataba ilivyo
  7. M

    Peter zacharia.... Who is he in and out?

    Watu wanachafua tu wengine PZ alianza biashara zamani sana baada na kuajiliwa na watu kadhaa maeneo ya nyamongo 80's alianza biashara ya maduka mashine za kusaga na vinywaji enzi hizo, wakati akiendelea kuwekeza watu wengi pia miaka ya late 80's to ealy 90's kule Nyamongo walipata pia hela...
  8. M

    Peter zacharia.... Who is he in and out?

    Ni kweli PZ ni opportunist, aliboresha huduma ya usafiri , hata ilipobidi kudrive mwenyewe hadi watu wake walipoelewa principle zake, mambo mengine ya ndg na family ni mambo binafsi lkn kibiashara Peter ni mfano wa kuigwa, congrants Petro roll model wa vijana wengi wenye malengo ya mafanikio Tarime
  9. M

    Huyu ndiye rais wa tanzania

    Profesor muhongo,with brilliant strategies to move tanzania fowarwad
  10. M

    Kutoka Ukumbi wa Chuo Kikuu Huria Musoma: Prof. Muhongo atangaza nia ya Kugombea Urais

    Tanzania ilipifikia tunahitaji raisi mwenye maamuzi kama professor muhongo,hotuba inaeleweka na umeirahisisha japokuwa kuna wenzetu humu kutokana na uwezo wao wa kuelewa bado wanatoa lugha zisizopendeza,uliosema ni kweli na watanzania tumekuelewa,mungu akubariki sana mzee upate nafasi ya...
  11. M

    Baada ya UKAWA kutoka nje,umeona tofauti ipi Bungeni ?

    Nilichokiona baada ya ukawa kutoka hakukuwa na hoja wala kujadili Rasim kila aliesimama alijisifu, kusifu ccm, baba wa taifa nk hadi muda unaisha bila kugusa katiba, pia hakukuwa na control ya muda! Kila mtu alilopoka hadi alidhike mwenyewe! Walichoshindwa kukitambua ccm ni idea ya tume ya...
  12. M

    Peter zacharia.... Who is he in and out?

    PZ opportunist,kweli wabongo wengi huwa tunakuwa wagumu kumkubali mtu! Akiwa nyamongo alikuwa akifanya kazi za kawaida hadi alipoanza kupata mtaji na kufanya zake, baadae akaanza biashara za usafirishaji, hakuna basi iliyoondolewa trm-mwanza kwa ubabe, alichofanya ni kuboresha huduma zake na...
  13. M

    asili hii ya watu wa mara imetokea wapi?? kwanini wanafanyiana hivi katika mapenzi?

    Siamini kama mleta mada ni mkurya kweli kwani lengo lako ni kuelezea ukatili wa baba yako siyo wa wakurya , acheni kuchafua image za watu wengine kwa reference ya baba yako! .............nyoko
  14. M

    Kubaka kwa style hii ni kosa?

    Baine ni kweli lkn pia huyo mkewe anasumbiliwa na kiburo sana na imawezekana nae anapigwa nje ya ndoa , cha msingi jamaa angemweleza khali halisi ma jimsi anavyojisikia kukatia huduma hiyo muhimu , na kama itashindikana ajaribu kutumia uanaume wake kama msemaji mmoja alivyosema hapo juu!
  15. M

    Tarime tarime

    Lala gold land ni poa hudima zote muhimu zipo au unaweza kulala daisy leaf,misosi na kujirusha nenda jj clinau cris pub
  16. M

    Nilimuona wa kawaida nikaja gundua....

    Utakuwa ulimpa mimba afu ukapata mwingine ukammwaga sasa umemwagwa huko unataka kurudi kuwa wazi usaidiwe jinsi ya kurudi bwana
Back
Top Bottom