Search results

  1. A

    Naumia kumuona mtoto wangu

    wewe ulijuaje kama huyo mtoto ni wa kwake ilihali huyo mwanamke ana mume wake? je, una uthibsho kuwa yo mto I wakoa si wa mumehuka? aise ili kuleta amani kaa kimya milele, ila muombe Mungu akusamehe na kukufanya usahahu
  2. A

    Nimechanganyikiwa na ndoa yangu

    sina cha kuongeza hayo yanakutosha kabisaa, chukus hatua
  3. A

    Kwaheri startimes

    ebu watueleze vizuri kuhusu hili, ila naona atleast wanajitahidi
  4. A

    Jamhuri: Mbasha alibaka ndani ya gari

    Mungu atusaidie
  5. A

    Jamhuri: Mbasha alibaka ndani ya gari

    haaaa haaa irushe hiyo clip nishawahi kuisikia mahali pls irushe
  6. A

    Majina ya waliokosea fomu za bodi ya mikopo HESLB

    nimeenda kny hiyo wensite sijaona kitu
  7. A

    Kuna umuhimu gani kuwa na picha ya mpenzi wako

    wewe umeoa? i feel so good to have him in my phone/wallet
  8. A

    Nsaidieni jinsi ya kumwacha huyu

    kwanza kosa kubwa unalo wewe mwenyewe, kwani ulishajiwekea masharti hutaki kuoa mwanamke aliye na mtoto sasa ilkuwaje ukaanza kuishi na huyu mama wa watu. Na lengo lako hasa lilikuwa ni nini maana ukishaanza kuishi na mtu jamii inatambua huyo ni mkeo, sasa wewe ulilkuwa unawaza nini? Kwanza...
  9. A

    Nsaidieni jinsi ya kumwacha huyu

    hizi sheria za mtaani kazi kweli aisee
  10. A

    Baba Ikitokea UMEFARIKI tukukumbuke kwa lipi? Nimeumia sana

    Mimi naamini ni kweli mtoto wa miaka hiyo anaweza kuuliza swali hilo. Watoto wa siku hizi wanaenda shule wakuwa wadogo sana. Ila huyo inaonyesha ni genius. Tuwatunze vizuri watoto wetu
  11. A

    Tujikumbushe Mabasi ya abiria ya zamani tokea tupate uhuru

    Lakuchumpa Tanga mjini to Mkinga
  12. A

    Utabiri wa Nabii: Mwanamuziki mkubwa wa Bongo Fleva kufia Jukwaani kabla ya kumalizika kwa mwaka huu

    ni unabii au utabiri? maana hivi ni vitu viwili tofauti Bwana atusaidie sana
  13. A

    Hivi ni Kwa nini wanaume wanaweweseka?

    aisee! ni kwa vile weekend imeanza au?
  14. A

    Leo wivu umenicost

    ukweli utakuweka huru!!
  15. A

    Ningejua nisingeoa maishani mwangu

    Mimi naona maisha ya ndoa ya wazazi wako yamekuadhiri kisaikolojia, unahitaji ushauri tu na kutiwa moyo. Ni kweli kuna watu wanajuta kuoa/kuolewa na wenzi walionao kutokana na mifarakano ya hapa na pale na isiyoisha, ila watu hawaishi kuoa/kuolewa eti kwa vile kuna mifarakano kwenye ndoa fulani...
Back
Top Bottom