Umesema ukweli mtupu, Paka siyo mnyama wa masihara hata kidogo, akiona hatari ya maisha yake ana uwezo wa kukurarua kwa kutumia mikono yake na meno yake na inaweza kukupelekea hata kifo
Naomba ufafanuzi kuhusu huyu mnyama anaitwa kobe (tortoise) ,je ana uhusiano wowote au ujumbe pindi anapotokeaa kwnye makazi ya watu? mshana ,Kanungila Karim na wengine
Bado tuna tatizo kubwa sna la elimu hasa ya uraini kwa watanzania wote. Watz asilimia kubwa inaonekana hawajui kabisa majukumu ya wabunge na hata wabunge wenyewe pia hawajui majukumu yao kabisa.
Kazi kubwa ya mbunge ni kutunga sheria na kuisimamia serikali katika mipango na utekelezaji wake kwa...
Tatizo siyo wachaga bali tatizo lipo kwa mkuu wa mkoa kuanza kubagua. Hii hali siyo nzuri kabisa na anatakiwa kukemewa na kila anayeipenda nchi ya Tanzania kama alivyosema waziri Kabudi akiwa kwenye uzinduzi wa BBI huko kenya. Karne ya 21 siyo ya kusema mm naoka kabila gani?
Hii habri imejaa uwongo na wivu mkubwa kwa wahusika, salary scheme ya UCC ipo wazi kwa wafanyakzi wote, kuhusu Interview sioni tatizo maana kama ilifanyika maamuzi ni ya wajumbe na siyo ya mwenyekiti labda kdg kuhusu vyeti vyake lkn pia siyo lazima maana kama ana hiyon degree bado anastahili...
Mkuu wanasema siasa ni kubishana kwa hoja kwa kutumia sayansi ya siasa lakini hebu angalia neno ulilosema ambalo nimepigia mstari? Unaweza kusaidia jeshi letu kupata uhalisia ??
Nchi hii ni yetu zote tusaidiane pale panapohitajika msaada lakini kama huwezi kuthuibitisha basi mada yako iondolewe...
Hili lalamiko
Unaweza kuliwazilisha kwa wizara Afya chini ya waziri Ummy Mwalimu, nafikiri litafanyiwa kazi mara moja .Haya maswala ya sexual harassment hayatakiwi kabisa kwenye maofisi ya serikali maana yanawakatisha tamaa wanafunzi wengi ktk jamii
Tatizo siyo hizo migahawa bali tatizo hali ni mbaya mifukoni mwa watanzania wengi maana hizo bei bado zinaonekana za kawaida tu ni sawa na usd 3 lakini kwa mwananchi anayeishi chini ya dola moja kwake ni habari mbaya sana kwake. Hali ikiwa nzuri kimaisha wala hutaweza kufikiri hayo yote.
Maisha...
Ushindi wa Mwakinyo utailetea shida sana kamati za maandalizi ya michezo ya ndondi kwa Tanzania siku za usoni kuwapata wanandondi wengine kuamini na kuja Tanzania maana ameshinda kwa kishindo sana yaani unaweza kusema ni kama uchaguzi wa serikali za mitaa alivyoshinda CCM
Ukifanya hesabu vizuri kwa bei ya gas utagundua ni ghali hata kuliko petroli, na pia aliyeandika makala hii amekaa kibiashara zaidi kuliko uhalisia mfano kwa huo mfano wa ulaji wa mafuta IST kulinganisha na matumizi yake kwa upande wa gas.
Hii GAS imepatikana nchini kwetu lakini nikilinganisha...
kwa upande wa Asia mfano China,Singapore,Japan,Russia,India,Malaysia,Thailand etc wanajeshi ndiyo rafiki kwa mwananchi wa kawaida, na huwezi kuwaona ovyoovyo kama huko nchi za kusini mwa janga la sahara. Linapotokea janga au majanga mfano mafuriko, milipuko, matetemeko ndiyo utawaona wakitoa...
Ni kweli uandishi wa habari ni taaluma na ina miiko ,taratibu zake ,tunaomba avishughulikie/au awashughulikie wote ambao wanaenda nje ya maadili yao ya kazi bila upendeleo .Bila kubagua itakubalika kabisa lakini ukionekana uonevu kwa baadhi ya media itakuwa haina maana .
Kuna magazeti yanashinda...
Kama Mbowe anangangania uenyekiti basi kuna hatari na siyo vizuri kabisa kwa chama lakini kupingana kwa waliochukua fomu kwenye nafasi nyingine ni jambo zuri na hiyo ndiyo tunasema demokrasia. Demokrasia ni kusema kwa mabaya na mazuri ktk kutetea nafasi lakini siyo kuwa kuna nafasi ambayo mtu...
Watu wanatakiwa kuchagua taasisi na siyo watu fulani, sijajua marekebisho ya vyama vya siasa kama hayakuongelea ukomo wa uongozi.
Tunapaswa kuwa na ukomo wa uongozi kwa sekta zote na mihimili yote ili kutoa nafasi kwa vijana kuendeleza taasisi mfano tunatakiwa kuwa na ukomo wa Ubunge...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.