Search results

  1. M

    Je, huyu mwanamke ameniroga?

    mamaa hiyo umeiona ni nyingi sana???? Kwanza huyo dada ni ---- kukubali hela ya juice hyo na usumbufu wote!
  2. M

    TRA yakusanya tsh. 5bn kodi ya makontena 329, wafanyakazi 37 wasimamishwa kazi mchana huu

    mbona wote hao ni mlengo mmoja wa kusali??????? Wenzetu sio wazuri!
  3. M

    Ajali mbaya Shelui, Singida: Basi la Takbir likitokea Dar kwenda Mwanza lasababisha vifo vingi

    Mungu utusaidie. Wapumzishe kwa amani marehemu wote. Wape unafuu majeruhi wote. Amina
  4. M

    Unataka kuwa mzuri na mweupe

    aliliiwa kidooogo, sasa kapata nyama karudi.
  5. M

    Ninazo Used desktop computer

    hahahah *boflo mpakuliwaji..
  6. M

    Ukaya ukunoga-wenye kwao mje haraka mtujuze

    chukua huo huo ulioweka picha. Kifupi mbeya
  7. M

    Special Thread: Wauza TV aina zote kwa bei nzuri tuuziane hapa

    ninayo nimeitumia miezi mitatu, chek pm for more info.
  8. M

    Jinsi ya kuondoa madoa na mabaka mwilini

    wapi wameandika chunusi? Au bhaange tu.
  9. M

    Nina sh 500,000, nahitaji simu imara!

    nunua pingsung t365 hutajutia hela yako.
  10. M

    Nimebadili mawazo sasa naiuza Huawei Mate Ascend 7 ya milioni moja Kwa laki 800,000

    Teh Teh Teh huyu ndo genuine Rihana bana.. Ila ntakutafuta tu nikutongoze.. Ukikubali nakupa hiyo laki nane, simu mpelekee mdogo ako akacheze game..
  11. M

    Nimebadili mawazo sasa naiuza Huawei Mate Ascend 7 ya milioni moja Kwa laki 800,000

    Rihana pokea simu yangu.. Nataka nikutongoze, namba yangu inaishia na 5555
  12. M

    Najuta kununua simu ya 1,000,000 baada ya kusevu mwaka mzima

    Hahaahahhhaha.. Huyu jamaa huwa namuheshimu sana hapa, anajua simu vizuri mno. Halafu ninachompendea hata ukimchalenji kikashfa bado atakujibu kistaarabu.. Abarikiwe sana.
  13. M

    Nimebadili mawazo sasa naiuza Huawei Mate Ascend 7 ya milioni moja Kwa laki 800,000

    Amekimbia.. Teh Teh.. Nampigia nimtongoze kama alivyotaka hapokei..
  14. M

    Nimebadili mawazo sasa naiuza Huawei Mate Ascend 7 ya milioni moja Kwa laki 800,000

    Acha nichukue tu namba yako nikutongoze, najua ndio hilo wataka simu ni geresha tu.. Nyie watoto wa mjini wajanja sana.. Unaweza sema nauza nyumba, unaweka namba ukijua utatongozwa tu. Upate mshiko kiulaiini baada ya kazi.. Poa ntakupigia..
  15. M

    Nimebadili mawazo sasa naiuza Huawei Mate Ascend 7 ya milioni moja Kwa laki 800,000

    We ni muongo, kwenye uzi wako ulisema umenunua mlimani city, leo quality Plaza.. Acha utapeli.. Nia ilikuwa uuze tu hiyo simu.. Sema umeshikishwa kariakoo.. Ukaanza mbaaaali..
Back
Top Bottom