Search results

  1. C

    Feitoto aituliza nchi

    Hahahaha
  2. C

    Feitoto aituliza nchi

    Feisal ni kijana mashuhuri kutoka Zanzibar , ni kijana mwenye uwezo mkubwa na mara zote huwa na juhudi na kuyafikia malengo aliyojiwekea. Leo katika mchezo wa Azam vs Yanga kijana huyu alimaarufu kwa jina la "Feitoto" aibuka shujaa dimbani, baada ya kuifungia timu yake bao la ushindi na...
  3. C

    Kama CHADEMA imechukua miaka zaidi ya 30 kujenga ofisi ya makao makuu, SGR au bwawa la Mwalimu Nyerere ingewachukua miaka 300 au 500

    Kwani ukiwa upande huo ni lazima ujitoe ufahamu ndio maisha yasonge? Kuna wakati muwe mnajaribu kutumia ubongo katika kufikiri badala ya kutumia mautumbo ,kongosho na uti wa mgongo. Pole kwa kupungukiwa na uwezo wa kufikiri
  4. C

    Nabii Clear Malisa ni nani?

    Kwani huyu nabii Clear Malisa na Huyu Nabii Malisawa Ukombozi Ministry wanaungugu? Au ni mtu mmoja
  5. C

    TANZIA Afisa Ugavi wa mgodi wa Geita, Milembe Suleiman auawa na viganja vyake kukatwa

    Suspects , ni wale Waliopokonywa wapenzi wao , kazini kwake au wanawake aliotoka nao hajawalipa pesa zao n.k
  6. C

    Kuikalia na ‘mbuzi kagoma’ ni ukatili kwa wanawake

    Ushaingizwa mara ngaoi vidole na dudu?
  7. C

    Gharama za matibabu katika hospitali zetu: Napendekeza tuangalie kwa macho yote

    Naungana na maoni yako kwa asilimia mia ila napingana na ww kubariki TOZO hii TOZO ni wizi kabisa inatuumiza wengi na tunaisoma namba kweliekweli
  8. C

    Padri Mahakamani kwa tuhuma ya kumbaka mwanafunzi

    Msihukumu tu nani anayejua ukweli? Je kama kasingiziwa kwa sababu mbalimbali
  9. C

    Uchaguzi 2020 Boniface Jacob anatarajia kuendeleza kampeni zake za Ubunge viwanja vya Ubungo Modern

    Leo Tarehe 09/10/2020 Mheshimiwa Boniface Jacob* anatarajia kuendeleza Kampeni zake za Ubunge Jimbo la Ubungo katika Kata ya Ubungo. Muda ni Kuanzia Saa 8:00 Mchana, Mtaa wa* *Ubungo Kisiwani/Ubungo Maziwa - viwanja vya Ubungo Modern Kutakuwa na Mkutano wa hadhara* Ubungo itajengwa na Wana...
  10. C

    Uchaguzi 2020 Twende na Boniface Jacob katika kampeni zake za Ubunge Jimbo la Ubungo

    Leo Tarehe 07/10/2020 Mheshimiwa Boniface Jacob anatarajia kuendeleza Kampeni zake za Ubunge Jimbo la Ubungo katika Kata ya Makuburi. Muda ni Kuanzia Saa 8:00 Mchana, Mtaa wa Kibangu viwanja vya Riverside Stand Kutakuwa na Mkutano wa hadhara. _Ni_ BONIFACE JACOB Wao wanaposema nitawafanyia...
  11. C

    Ufafanuzi kuhusu kero kubwa Soko la Mabibo (Mahakama ya Ndizi)

    Boniface Jacob Mstahiki Meya Ubungo Nawasalimu wote katika Jina la Bwana! pamoja na Salaam ningependa leo 14 April 2020 nitolee Ufafanuzi juu ya kero Kubwa Iliyopo katika Soko la Mabibo. Kwa Vipindi tofauti nimekuwa nikitafutwa na vyombo vya habari kuhusu malalamiko ya watumiaji wa soko...
  12. C

    Meya Jacob alivyomuokoa Marin Hassan (RIP) viwanja vya Jangwani

    Nakumbuka ilikuwa Siku ya Uzinduzi wa Kampeni za Urais za CHADEMA katika Viwanja Vya Jangwani siku ya Jumamosi ya Tarehe 28 August Mwaka 2010. katikati ya Hotuba Nzito sana na za Kusisimua za Viongozi Wa Chadema,Ilipofika zamu ya Tundu Antipas Lissu kusimama na Kuanza kuhutubia,hali ya hewa...
  13. C

    Kuhusu hospital ya wilaya ya Ubungo, ni propaganda au Rais kapotoshwa na RC?

    Mheshimiwa Rais John Pombe Magufuli,leo nimekusikia ukimjibu Makonda kuwa Unatupatia watu wa Ubungo pesa za Kiasi cha Tsh Billioni 1.5 za Ujenzi wa Hospitali ya Wilaya baada ya yeye binafsi Kukuomba. Mheshimiwa nakukumbusha wewe na Wasaidizi wako wote kuwa Mwaka huu 2019 Mwezi wa 2 Tarehe 28...
Back
Top Bottom