Search results

  1. B

    Kili Music Awards 2011

    Tupeni matokeo zaid tulio mbali
  2. B

    Yu wapi mke wa Rais Mama Salma?

    Ulizeni kwanza wake zenu wakwapi kisha muweze kuliza ya mama salma.wanaume wengne hawna kazi na huwez kuwatofautisha na wanawake kwa umbea na unafiki.mama salma yuko salama salmini na kama unataka kupata uhakika kamulize jk ndo ujionee mwenyewe
  3. B

    Biashara ya Daladala: Ushauri na Mbinu za Uendeshaji Wake

    Wana jf.ningependa kujua kipata cha daladala kwa siku kwa mikoa ya Dar na arusha kwa makisio inaweza kuwa tsh ngapi?
  4. B

    Migomo CHADEMA Bungeni: Ulafi wa Madaraka au Demokrasi katika Ubora Wake!!??

    Huu ni ulafi na uroho wa madaraka.chadema wako desperate na chama kitakufa ndani ya miaka mitano
  5. B

    Wakipinga kuvurugwa Upinzani Bungeni; CHADEMA watoka nje!

    Chadema wamekuwa wakibehave kama watoto.shame on u CHADEMA
  6. B

    Kumbe JIJI LA MWANZA (THE ROCK CITY)ZURI HIVI!!

    Rockcity.pame2lia sana
  7. B

    Elections 2010 Sitomtambua Kikwete kuwa ni rais wa nchi yangu

    Achane kupost upumbavu na chuki binafsi .eti hamtamtambua kikwete na aliapishwa tayari kama raisi.hv watu wengne wazima au akili zimeruka kdg.Mtake msitake JAKAYA MRISHO KIKWETE ni Rais kwa miaka mingne mi5
  8. B

    Elections 2010 Wapenda CCM ndani ya JF, mnazungumziaje mwenendo wa uchaguzi na matokeo yake?

    Uchaguzi ulikuwa huru na haki.mimi kama mwanaCCM nachukua nafasi hii kuweka bayana kuwa CCM haijafanya kaz inayotakiwa ktk miaka 5 iliyopita.ufisadi sio siri ulikithiri kupita kiasi.swala muhimu kwa wana Ccm wenzangu ni kwamba tuwe makini sana na maisha ya watanzania kwani wao ndo wanaopiga...
  9. B

    Elections 2010 Dr. Slaa lau angejua...

    umesema kweli kaka
  10. B

    Elections 2010 Tutegemee nini kutoka kwa jk?

    Maendeleo zaidi nchni now that viti vya upinzani vimezidi bungeni.kikwete atafanya kazi nzuri bila shaka
  11. B

    Elections 2010 Hongera Liutenant Colonel (Retired) Kikwete

    Slaa alitoa ahadi kuliko uwezo na ndo maana wananchi walimpiga chn kwa kujua swala hilo .asingeweza kutimiza hata robo ya ahadi zake.bora Jk tunayemjua.
  12. B

    Elections 2010 Ni nani aliyeingiza udini kwenye kampeni hizi?

    mwambie alete mada zenye akili.
  13. B

    Elections 2010 Ni nani aliyeingiza udini kwenye kampeni hizi?

    Mungi.acha mada zisizokuwa na maana.unaweka upupu na wewe ndo baadh ya watu mnaotaka kuleta udini kwenye nchi yetu.Wananchi wanaakili na usiwadanganye kwa mada zisizokuwa na msingi.FIKIRIA SANA
  14. B

    Elections 2010 Ni nani aliyeingiza udini kwenye kampeni hizi?

    Acheni upumbavu.fikirieni kabla ya kupost vi2 vyenu.mnataka kuleta Siasa za kidini na kikabila hapa tz kama kenya.mtalimaliza taifa kwa udini.Tanzania hakuna siasa ya udini wala ukabila.Ccm pia haina udini wala ukabila.acheni peng'eng'e zenu zisizokuwa na maana.
  15. B

    Dr. Slaa gombea Uspika

    Sio urais tena.ama kweli chadema mna uchu wa madaraka.daah
Back
Top Bottom