Shirika ambalo ni la kimataifa linaitwa Grobal Warming Policy Foundation na sio Policy Fund. Na mala nyingi mashirika yanakua na website. Shilika lenye web ni Grobal Warming Policy Foundation (GWPF) Na sio hilo lako.
Makamba anasema eti kwenye ile list ya mafisadi 12 Lowasa alikua namba tatu hivyo Hafai. Anasahau kuwa 11 bado wamo CCM hahaahaha. Babu kazeeka vibaya hadi akili imezeeka. Na fisadi namba moja alikua amekaa naye pale pale bila aibu anamshambulia Lowasa hahahahaha
Mkuu mbona hutoi habari kamili? Mbona husemi hao vijana unaodai ni wa chadema walipotoka pale kwa mkuu waa wilaya wakavuka barabara na kwenda pale garden wakasema wao wamepewa pesa yao na wametimiza wajibu wao ila kura zao ni kwa Lowasa na tens mbele ya waandishi wa habari wa star TV, ila cha...
suala hapa ni time frame ya kujenga hivyo viwanda kwa kipindi cha yeye kuwepo madarakani (kama atakuwa rais though). decision to invest ni mwaka 2019/2020 na yeye atakuwa na kipindi cha miaka 5. sasa niambie hiyo haitakuwa ahadi hewa? atarudi tene Mtwara kuomba kura kwa sera ipi? wakati watu...
nakubaliana na wewe kabisa, sasa niambie hivyo viwanda tunavyoambiwa vitajengwa mtwara katika kipindi cha miaka mitano ni vipi ilihali gas and oil decision to invest will be in the year 2019/2020? Suala la kujua kiwango cha elimu yangu sio hoja hapa.
Nimequote hiyo paragraph sababu nina hakikika kuwa hakutakuwa viwanda vingine mtwara tofauti na Dangote cement ambavyo vitajengwa kabla ya uhakika was oil and gas. Na hii ndio itamtoa magufuli 2020 endapo atapita huu mwaka. Kwa nini nasema hivyo? Ni kuwa nimewahi hudhulia moja ya workshops za BG...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.