Search results

  1. NICK2275

    Waasi wa M23 Wamedhibiti mji wa Bunagana uliopo Mpakani mwa DRC na Rwanda

    Naona huyu yupo JF kupoteza muda kwa kubisha bisha..hajui hata anachozungumza..mpuuze..ukisoma hoja zake utajua anatakiwa akasome kwanza
  2. NICK2275

    Waasi wa M23 Wamedhibiti mji wa Bunagana uliopo Mpakani mwa DRC na Rwanda

    Yes Kenya...najua baadhi ya vikos vyao vilishakuwaga huko..wana uzoefu huo..Kenya army wapo vizuri..sio wa kucheka hata kidogo,battle yao na Somalia/Alshabab ilkua poa sana ukilinganisha na ile ya AU ya Kutoa waasi Comoro iliyoongozwa na Jeshi la Tanzania
  3. NICK2275

    Waasi wa M23 Wamedhibiti mji wa Bunagana uliopo Mpakani mwa DRC na Rwanda

    Nazan ni muda sasa DRC wawe na security pact(security guarantee)na nchi kama Tanzania au Kenya..wanapokua wamevamiwa kwenye ardhi yao basi jeshi la nchi walizoingia nazo mkataba ziingie vitani zikisaidiana na FARDC kuwakimbiza hao wavamizi..wasiingie mkataba na nchi kama Uganda wala...
  4. NICK2275

    Nahisi hadi sasa USA ameshajiandaa kwa lolote na kuna kitu anakitafuta Russia

    Urusi hana uwezo wa kupigana na nchi nyingine kwa sasa..hata iwe ndgo kama Zanzibar..logistically yupo very unorganised..Ukraine anapaweza mana ni mpakani tu..Hizo nyuklia anazotishia wenzake pia wanazo..akijichanganya atarusha mbili tatu then atapokea mvua ya nyuklia kutoka kwa wababe. Wakati...
  5. NICK2275

    Naomba ushauri kuhusu dini

    Hongera..sikiliza sauti iliyo ndani yako..na uifwate..mimi ningekushauri ukipata muda nenda makanisa tofaut na Roma, naamin hutajuta..na utapata amani na kumjua Mungu wa kweli..mambo ya babu sijui bibi hakuwa hivi wewe haikuhusu..roho/spirit yako ndio itakayohukumiwa..sio maelezo ya babu...
  6. NICK2275

    Msaada wa kijeshi wa Marekani ndiyo uliwatimua Urusi Kyiv

    Au drone zikatumwa huko zikaangusha mabomu..Putin na biti lake lote lile la atakae ingilia atakoma .mbona wababe wanaingilia live live na kusupply silaha kama hawana habaree..kuna video moja niliona (ya nyuma kdgo)Putin alkua aki acknowledge nguvu ya NATO..mwishon akamalzia kua ila yy ana...
  7. NICK2275

    Warere Beach Resort: Zainab Oladehinde alikubaliana na mlinzi kufanya mapenzi. Alitaka tumlipe fidia USD 10,000

    Tumia akili ndgo tu,ukienda bank au geast House mlinzi akakupga kofi then unaenda kwa meneja kulalamika juu ya hilo then eti meneja anakujibu "Huyu sio mfanyakazi wetu".nenda kwenye kampun yao ukashitaki..is it possible?ikiwa ndo hivyo basi itakua ni upumbavu wa kiwango cha lami..binafsi hata...
  8. NICK2275

    Warere Beach Resort: Zainab Oladehinde alikubaliana na mlinzi kufanya mapenzi. Alitaka tumlipe fidia USD 10,000

    Hii ni response ya kijinga binafsi kuwahi kuiona. Hii Warere beach ukisoma maelezo ya Zainab na meneja, unaona kuna shida kubwa kwenye hio hotel,kuna mambo hayapo sawa..mlinzi wao wanamkataa,hata kama wame mu outsource,simu hazifanyi kaz, hakuna watu kwenye vitengo vyao, eg. mapokezi, wanatakiwa...
  9. NICK2275

    (Picha) Kuelekea maziko ya Maunda Zorro, matukio ya msibani Kigamboni

    Amsamehe kivipi?kwani mtu kubadili imani yako/yake ni lazima upate consent ya mzazi?Naamin huyu mzee hakumaanisha hivyo...mana me namuona ni mtu liberal..so altakiwa ategemee vitu kama hivyo
  10. NICK2275

    Polisi Njombe: Ukimuita mwenzio Mchawi unakwenda jela miaka 7 bila dhamana

    Polis wamezoea kuhukumu wao utadhan ndio mahakama,hata PGO hawajui..hili jeshi ni la kufanya overhaul tu..weng hawajui hata primary roles za police officer
  11. NICK2275

    Ripoti hii ya CAG asilimia kubwa ni ya enzi ya utawala wa Jiwe, ulijaa upigaji

    Matendo yake ndo yanayomchafua...hakuwa msafi
  12. NICK2275

    Nawezaje kuiokoa familia yangu na mateso ya jini huyu?

    Pole sana3, Kwa kua upo DSM nikuombe uende hapo kwa Mwamposa au Suguye..utapata suluhisho la kudumu..fanya hivyo
  13. NICK2275

    Neema Akeyo alivyolipwa mshahara wake na NMB Plc baada ya kufukuzwa kazi kwa kutohudhuria kazini siku ya Jumamosi

    Hii itasaidia, mana NMB hata jumapili nowadays wanafungua matawi....waache watu wapumzike waende kuabudu...maisha sio kazi tu ..
  14. NICK2275

    Tanzania safari Chaneli boresheni habari zenu; Mnaonesha utumbo mwingi sana kuliko ubunifu

    Wazungu wametuzid sana hapa..wao wapo radhi kukaa mbugan hata 5 years wakifatilia na kurekod wanyama..pia wanawasoma tabia zao, ndo mana hata wasimuliaji wa documentaries za kizungu wanatumia wapo vzur sana..wanakufanya uzidi kuangalia tv tu
  15. NICK2275

    Tanzania safari Chaneli boresheni habari zenu; Mnaonesha utumbo mwingi sana kuliko ubunifu

    Hii channel ilianzishwa kisiasa sana..ni kama wamekurupushwa...hakuna documentary yyote ya maana waliyonayo...wanashindwa hata kuiga kutoka national wild/animal planet huko waone watu walio serious na kazi zao wanafanyaje..wakodishe wataalam kutoka nje ya nchi waingie mbugani huko hata 2 years...
  16. NICK2275

    LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Naomba sana Ukraine akomae na hii vita kwa zaidi hata ya siku 10± ili Mrusi naye awe na casualties wa kutosha
  17. NICK2275

    Nani aliwahi kuhoji haya kipindi cha Magufuli?

    Tundu Lisu alikua akipaza sauti juu ya usiri na upigwaji hela kwenye hayo manunuzi na mikataba
  18. NICK2275

    Kuendelea kuungua masoko makubwa ya wafanyabiashara

    Hii ya kuungua masoko inanifanya niamini ni planned events..na authorities zpo well informed na hilo ndo mana hakuna aliyeshkwa kuhisishwa na hili
  19. NICK2275

    Joe Biden: Urusi ikiivamia Ukraine isahau kuhusu bomba la mafuta

    Ukiona hiv ujue wenzio washaweka plan b..Putin ajichanganye this time aone tamu yake
Back
Top Bottom