Search results

  1. S

    Dr.Kitila Mkumbo: Tunahitaji mbadala wa CCM na CHADEMA

    Labda kwa wajinga tu itachukua muda lakini kwa wenye uelewa walishajua kuwa na wewe uliingia mkenge wa kuimaliza chama tu. Watu walijitolea kujenga vyama ndiyo wakakuza demokrasia na siyo kiherehere kama mnazoonyesha nyiye. Mandela fought for long time and nobody said it was enough for him...
  2. S

    Tabora wampokea kwa shangwe Dr. Slaa

    Angalia sasa wanachoandika Chris na Ritz. Ritz: Hii kweli ni breaking news Lukosi: Hii misukule ni janga la taifa Yaani maandishi yote ni pumba, hata watoto wao wakisoma wataona mibaba mijinga. Jamani plz, hata kama mnaichukia chadema, andikeni kitu chenye mashiko siyo haya maneno ya...
  3. S

    Na Hii Ndio Maana Ya Kuzomewa Kwa Zuma na Dr. Slaa Kigoma

    Yaani mtu mzima unafanya mlinganisho wa uji na matope. Kweli Tanzania tuna shida na watu wanaojitamba watoto wa viongozi tena walioishi katika nchi zilizostaarabika kama Marekani. Willy tafadhali kwa heshima yako ujipime na kuacha kuandika upuuzi kama huu. Slaa alizomewa na ngenge na vijana...
  4. S

    Dr. Slaa awatembelea Majeruhi wa Kijeshi

    We Olesaidimu kweli una akili za kitoto ka siyo ya kulazimisha kweli. Anyway, we tafuta tu majibu yako but when we read between the lines we can detect what are you looking for
  5. S

    Dr. Slaa awatembelea Majeruhi wa Kijeshi

    Aksante Dr kwa maelekezo yako. Niliposoma maandiko mengi yanayojaribu kutoa kejeli nikaona huruma jinsi nchi yetu ilivyo na watu wenye mawazo ya ajabu ajabu. Tumekuwa wachoyo wa kufurahia jambo zuri na yenye manufaa mapama. Lakini sikustuka maana hii inaonesha watu wengine wamejaa wivu na...
  6. S

    mbowe mimi ni mwenyekiti kutumia chopa jimboni kwangu ni haki

    Na we kweli huelewi. Mawaziri wanakodi private jet kwenda kwenye mikutano ya kuonana na wananchi? What is the difference in cost kwa kutumia private jet na helikopta na kiasi cha mikutano iliyofanyika? Majitu mengine yaani logic na reasoning dah!
  7. S

    Salute Kwa Rais Na Waziri Membe:- Hatimaye Mnaongea Lugha Wanayoijua Vizuri The Banyamulenge!!

    Sasa we le mutuz acha kuabisha tena hii ccm yako ilokwisha kabisa. Unaandika kuhusu Kagame halafu unaweka Burundi we vipi bana. Au ndo mwendo ule ule wa maccm mawazo pungufu tu
  8. S

    Huu ni unyama,serikali mpo kimya

    Yaani ukishaua na kukataa kukiri utaendelea kuua tu. Ndiyo yanayoikumba nchi hii sasa
  9. S

    Kauli ya Pinda Bungeni haina utata kisheria?

    Ana jazba kwani nani mtoto wake wa kumlipika kwa maneno ya kipuuzi namna ile eti Piga tu! Watu wengine wanatakiwa wafungiwe hata visakramenti maana hawastahili kabisa. Nitawaambia maaskofu hili lijamaa hata kanisani litengwe tu. Yaani watu wanauawa halafu yeye anasema piga tu...waombolezaji...
  10. S

    Wako wapi wazee wa CCM? Yote haya yanayotokea wapo Kimyaa!

    Viongozi wetu wakuu sasa ni wakati mwafaka wakasimamia ukweli na kusema wazi kuwa viongozi waliopo wamechemka na wanatakiwa kujirekebisha. Ama sivyo nasi tutakosa imani na wao kwani wao ni washauri na ushauri wao una thamani kubwa katika kuiokoa nchi hii. Wasiwe waoga. Nyerere alimsuta kila...
  11. S

    Maalim Seif Sharif ataka msaada wa kimataifa ili Zanzibar iwe huru!

    Kuna watu bado ukoloni wa kiarabu umeingia damuni kwahiyo kutoka ni kazi sana. Anyway, wacha awadanganyedanganye hao jamaa zake. EU na USA kusupport tena Zanzibar kwenda OIC na mengine?
  12. S

    Zaidi ya milioni 87 zamwagwa na Mh. Dewji katika mkutano mkubwa wa hadhara.

    Sasa kwanini nani mjanja asiyejua kwamba jamaa anarudisha zile alizovuna toka kwao hao wanyisanzu, wanyiramba na watanzania wengine mimi na wewe tunaokula bidhaa zake?
  13. S

    Mtela Mwampamba ashushwa Jukwaani Mbulu

    Kama kuna mwanaccm mpumbavu na bado anaamini kuwa wairaqw ni wajinga na watu wa kuwadanganya basi akasome historia ya Chifu Sarwatt. Huu ushenzi wa akina Mwigulu kwa wale jamaa hauna pa kupita. Mwulizeni mkulu alivyozomewa na Marmo wake 2010. Muda wa kulonga urongo ushaisha kule. Tunawaomba tu...
  14. S

    Kikwete asimulia alivyoiba wali JKT!

    Maskini rais wangu. Bila shaka alitaka kuwa mkweli too much. Hili halikustahili kusemwa kama mkuu wa nchi maana kina neno lako linakaririwa. Hapa alitakiwa kumwaga sera zaidi na si mifano kama hii ambayo watoto watadhani ni tabia ya kawaida, tena kwa kisingizio cha kuficha tu na kula baadaye...
  15. S

    Dep DCI Mngulu hakumjibu vibaya Pengo - Wahalifu wana akili kama polisi, tusijenge chuki kwa Polisi

    Jamani huyu wala sio wa kubishana naye. Pengo hakusema polisi waislam. We unatuambia afande X ni mkatoliki kama wewe na pengo. Duh! Ndo bado unatafuta justification za kumalizia hizo perdiem za walokuhonga nini.
  16. S

    Kenya Election 2013 Petition...Uhuru and Ruto's victory upheld.

    Aksante ila huku kwa madiba naona inagoma kaka
  17. S

    Pale mwanamke anaposhindwa kuhimili hamu kubwa ya ngono kutoka kwa mwanaume...!

    Hi mbona kutwa jamani. Kwani siyo usiku ndo hayo mambo yananoga? Basi na huyo kachemsha kiaina jamani.
  18. S

    Serikali: Nyumba za kupanga - chanzo cha mapato kilichosahaulika

    Uko sawa mkuu. Serekali ina makengeza, hailioni hiyo sekta vizuri Ila laki tisa ni kidogo tu kwa miezi sita. Wenzio wanalipa m hadi nane kwa kipindi hicho na sarkali bado haiwaoni na hao wakalipe kodi
  19. S

    Mbowe: Rambi rambi hazisaidii kwa hii jamii ya Tanzania

    Kaka haijalishi umeanzisha thread na kwamba unawajali wahanga ilihali ukitoa maneno ya kijeli kwa kiongozi ambaye kazi yake ni kutoa msimamo wa nini kifanyike ili tusirudie haya matatizo. Ni bora kuacha kuropoka kwa kujitahidi kuilinda hii ccm yako uliyoikana na kuirudia kwa mikono minne. Mwenye...
  20. S

    Muuaji wa Padri Evarist Mushi Akamatwa kwa msaada wa picha iliyochorwa na FBI

    Mpaka pengo awaambie wameshindwa kazi ndo wanatuletea haya sasa kumbe mlikuw mnatikisa kibiriti eeh. Hapa hasinzii mtu nyiye chezea roma ww...ilikuwepo kabla ya UN
Back
Top Bottom