Search results

  1. M

    Tizama uchumi unavyokuwa toka awamu ya Nyerere hadi Magufuli, CCM wako vizuri

    Nimeupenda uchambuzi huu. Kuna elimu ya maana sana hapa.
  2. M

    Wanaojielewa ni Wazanzibari, watanganyika wana matatizo makubwa

    ukweli Ni ukweli mchungu, umepiga panapouma
  3. M

    Tanganyika au Tanzania? Nahisi serikali 3 zinaanza kazi kutokea Zanzibar

    Labda VAT sawa. Lakini kuhusu ajira, kwani siku zote watu wa bara huwa wanapata ajira SMZ?
  4. M

    Maalim Seif Sharrif Hamad kumbe naye English yake ni shiiiiiida!

    Mimi sikuona tatizo lolote kuhusu kiingereza. Kiingereza anachoongea kinatosha kabisa kwa mawasiliano.
  5. M

    Serikali yatoa Bei mpya elekezi ya sukari, yafikia 2,200 kutoka 1,800

    Hata mimi nimeshangaa. Nilitegemea serikali ndio iwe mfano wa kuuza sukari kwa bei elekezi ya mwanzo yaani sh. 1800!
  6. M

    Waziri: Walimu wastaafu wa masomo ya Sayansi kurudishwa kazini

    Hivi Tanzania kuna sera ya kudumu kwenye mambo ya elimu? Maana sielewi kabisa haya yanayoendelea kwenye elimu. Mara futa michezo, mara rudisha, mara GPA, mara futa GPA yaani kila mtu na lake. Sijui tutakuwa watu wa kujaribu mifumo ya elimu hadi lini?
  7. M

    Mgogoro wa Zanzibar na Muungano wa Tanganyika na Zanzibar

    Binafsi mambo ya Zanzibar yananichanganya kabisa. Hasa baada ya kugundua kuwa ile historia niliyofundishwa shuleni ilichakachuliwa. Kila nikijaribu kutafakari naona huu utata wa muungano na chuki kati ya wapemba na waunguja utatatuliwa kwa muundo mpya wa kikatiba ambao utapatikana kwa...
  8. M

    Mbatia: Hauwezi ukafuta uchaguzi wa Zanzibar ukaacha uchaguzi wa Jamhuri ya muungano

    Ajabu sana. Nahisi huyu jaji anataka kuvunja muungano
  9. M

    Elections 2015 Matukio na Matokeo toka maeneo mbalimbali ya Tanzania - Uchaguzi Mkuu 2015

    ITV nimewakubali sana katika uchaguzi huu. Hii ni tangu kampeni zilipoanza
  10. M

    Elections 2015 Matukio na Matokeo toka maeneo mbalimbali ya Tanzania - Uchaguzi Mkuu 2015

    ITV nimewakubali sana katika uchaguzi. Hii ni tangu kampeni zilipoanza
  11. M

    Kujitoa kwa Mwapachu CCM, Sababu hizi hapa

    Meli ikiwa inazama ni kuruka tu vinginevyo unazama nayo!
  12. M

    Elections 2015 Magufuli lugha za Kimataifa ni Kizungumkuti, wenye ufahamu tujadiliane

    Unadhani ukiwa na PhD ndio una IQ kubwa? Vyeti na uwezo wa mtu kufikiri ni mambo mawili tofauti
  13. M

    Utafiti: Watu wengi wanaoiunga mkono CCM, ni wale ambao hawajatoka nje ya Tanzania

    Tanzania ina rasilimali nyingi kuzidi nchi karibu zote mlizozitaja hapo kwa hiyo sio sahihi kujisifu kwa kiwango kidogo cha maendeleo tulichofikia, hatudanganyiki.
  14. M

    Barua komredi prof. Issa Gulamhusein Shivji-(1)

    Inahitaji utulivu kuelewa. Huu ni uandishi wa kiueledi hasa
  15. M

    Kutoka Bahari Beach Hotel: Yaliyojiri katika Mapokezi ya Edward Lowassa kujiunga CHADEMA

    Kuna kazi nyingi tu za chama zaidi ya kutangaza wanachama wapya. Kwani kila mkutano wa chadema huwa wanahudhuria viongozi wote? Hujawahi kuona mikutano inaendeshwa bila Mbowe?
Back
Top Bottom