Search results

  1. C

    Zijue kozi zinazoongoza kwa ugumu chuo kikuu

    Kwa ujumla masomo ya sayansi no magumu ila yanazidiana kutokana na complication za lecturers
  2. C

    Malalamiko: Tigo Tanzania

    Tigo ni majanga, wanasema ukijiunga na huduma ya usiku unapewa 30 GB lakini nilipojiunga hata 1GB haikuisha internet ikaawahaifunguki. Huu is wizi jamani yaani nimekatisha usingizi wangu bure...
  3. C

    Brother K wa Futuhi

    Mimi niliachaga kitambo kuangalia wakina masanja, vichwa vipo futuhi yaani hata Yule Makonde yupo juu zaidi ya joti
  4. C

    Uongo wa Joseph Mbilinyi Mbunge wa Mbeya

    Mwandishi inaonyesha jinsi gain ulivyo an chuki binafsi kwani Sugu ni Mbunge wa kwanza kumiliki gari na nyumba ya kifahali? Wacha wivu! Kama CCM kwa muda wa miaka 50 wameshindwa kuweka hata umeme kwenye shule za vijijini itakuwa ahadi za Sugu? Tena kwa kipindi kifupi cha miaka 5. Cha muhimu...
  5. C

    Hivi Cartoons kwa watoto tu?

    Kitu Shrek...hiyo si mchezo. Tukianza kuangalia na mwanangu hatuichoki.
  6. C

    Je ni sawa nikisema madaraja ya Tanzania ni ya msimu?

    Huwezi kulinganisha mafuriko ya San Fransisco na ya huku ya kule yalikuwa balaa, Sema huku makandarasi wakijenga madaraja hawaweki njia ya kutosha ya maji.
  7. C

    Kwa mliosoma Azania Sekondari: Tuinusuru shule hii wadau!

    Tambaza haikufungwa kwasababu ya kuwapiga Azania...siku hiyo ya tukio nilikuwepo kuwadhibiti Tambaza walivamia shule YETU kupitia upande wa nyuma kwenye uwanja. Nakumbuka tuliongozwa na Batman. Tambaza badala ya kuja tupambanane nao man to man, walianza kurusha mabomu ya petrol kwenye maabara ya...
  8. C

    Ford UK wanatoa magari mazuri na nafuu kuliko Toyota Japan

    Kaka Lukosi, hata Mimi nililiona hilo, magari ya Ford yako cheap kuliko ya Toyota hata kodi zake zipo chini. Ila kilichonikatisha tamaa nilitaka kuchukua Ford Escape nilipoangalia preview yake kwenye mtandao zikasema zilikosewa na zimeshasababisha ajali nyingi kwani ni rahisi kupinduka. Ikabidi...
  9. C

    Dual Citizenship: Watanzania mlio nje mnajitesa na kivuli chenu wenyewe, badilikeni sasa!

    Le Mutuz umenena Mkuu kwa kweli hawana umoja kabisa hasa wanaoishi Belgium. Wao kwa Wao hawapendani mi na shangaaa siku ya uhuru hata hatusherekei pamoja wakati WAKENYA wanaazimisha pamoja na kupeana madili wao wamekalia unafiki tu
  10. C

    CRDB jamani foleni haziishi

    Njoo Tegeta.Hakuna folen
  11. C

    Maajabu ya Samaki aina ya Nyika wanaopatikana mkoa wa Kigoma

    Hiyo ni kweli baadhi ya samaki wana uwezo wa kutengeneza umeme ili kujilinda kama ilivyo wengine wanavyotoa sumu au wino kama ngisi. Kwa baharini kuna kitu kinaitwa topedo ni jamii ya taa(ray) wanauwezo wa kutoa umeme wa kuweza hata kuua.
  12. C

    Nini Tatizo ya magari aina ya Opa

    Mpeni ushauri sio kumnanga kama hujui just keep quite.Ila mimi kwa upande wangu naona ubaya kwenye shepu yake haina mvuto, ipo chini na inakula mafuta ukilinganisha na IST
  13. C

    Speech ya JK kwenye msiba wa Mandela.....January vs Premi

    Jamani tusipende kuponda bila sababu. Speech ya JK imeenda shule, swala la historia ni muhimu sana kwenye testimony kwenye misiba ndio maana hata Joyce Banda ametoa historia yake jinsi Madiba alivyomtia moyo kwenye uraisi wake. JK ameongelea sana historia kwasababu Tanzania ina historia ndefu...
  14. C

    CHADEMA = CCM, fedha za Uswis? Ni kazi ya Zitto kutaja majina au vyombo vya usalama?

    Jamani msichanganye mambo, hili swala lilianza kwa Mh.Lema aliposema kama Zzk ana majina na anaogopa kutaja ampe ili ataje. Werema ndio aliyesema kuwa anamwuunga mkono Lema wala sio CDM. Lakini ikumbukwe kwa hali ya kutoelewana ya Zito na CDM ilikuwa vigumu kwa Mh. Lisu kumsaidia Zito kama...
  15. C

    Raisi KIKWETE Kadhalilishwa au Kajidhalilisha?

    Tatizo serikali haijajipanga na wabunge wetu ni waoga wangewapigia kura ya kutokuwa na imani nao
  16. C

    Mume wa mtu anapenda kunusa chupi yangu niliitumia

    hata mimi napenda harufu ya chupi inatia hamasa
  17. C

    Elections 2010 NEC yakiri ilikosea matokeo ya Geita

    kwanini nec wanapoteza muda kutangaza matokeo kila jimbo wakati tayari wana mshindi tayari wafanye shortcut wamtangaze kiwete ah samahani nimekosea Kikwete kuwa mshindi yaishe kuliko wanavyojichanganya kuchakachua. Hawajui kwa kufanya hivyo ndio wanachochea vuguru? Kisha wamlaumu Dr. Slaa
  18. C

    Little help here please!

    Wakuu vipi kuhusu Zantel maana ilikuwa nafuu mwanzani ila nina uhakika sasa maana sipo Bongo
  19. C

    Je Nadanganywa??? Pls nishaurini..

    Dada yangu kwanza hongera kwa huo mshahara, maana mimi mwenyewe nina digrii sipati huo mshahara. Kuhusu swala la yeye kushindwa kukusaidia vitu vidogo hapo dada kweli huyo atakuwa msanii kwasababu kama amedhamiria kukuoa lazima akujali na experience inaonyesha kwamba mwanaume anamsaidia zaidi...
Back
Top Bottom