Search results

  1. WayOut

    Dalili zote zinaonesha ni Lowassa

    nafananisha hizo dalili na examination fever unaweza uka bukua au ukatoka na zero! Hivi nani amesha wahi ku espect kitu too much na ila dalili za kupata au kufanikiwa unaziona alafu mwisho wa siku unakosa unakutana na booonge la dissapointiment! ndio yanayo mkuta mr, hivi mvi soon...
  2. WayOut

    Juma Nyoso kajiandikishia kituo gani kupiga kura?

    kuna matusi gani hapo! peleka utakatifu wako kwa gwajima na ukawa
  3. WayOut

    Nyosso Alishikwa Korodani-Mbeya City

    i wish hicho kidole ungekuwa umechopekwa wewe
  4. WayOut

    Jinsi virus wanavyoingia kiurahisi kwenye simu za android

    ahaa nilifanya yote hayo ila tatizo nili backup nadhani hilo ndio tatizo, shukrani mkuu kwa kunielewesha vzr
  5. WayOut

    Jinsi virus wanavyoingia kiurahisi kwenye simu za android

    kuna " monkey test " nashindwa kuielewa kabisaa antivirus ninayotumia inaniambia ni " trojan " nikijaribu kupambana nayo inaniambia ni force to stop app then ina repair badala ya ku uninstall! hii ipo vp wakuu
  6. WayOut

    Nimeombwa hela ya wigi 300,000/= kuna wigi la bei hiyo?

    ni bei yake ila pamoja na kichwa chake
  7. WayOut

    Nafasi za kazi Peco Company

    wapigaji wengi siku hizi
  8. WayOut

    Nafasi za kazi Peco Company

    which mean.......!!!!? someone at work!
  9. WayOut

    CCM wamekata kichwa CHADEMA wamechukua kiwiliwili wanakizungusha nchi nzima...

    hahahaha! mtu anajisaidia kisha ana nawa na kuzoa na kutupa kisha ana jisaidia tena kidogo kisha ana ondoka! ukawa ni jipu la ubongo!
  10. WayOut

    Lowassa kustaafu siasa

    atastaafu au ndio msiba baada ya uchaguzi!? presha inaweza ikammaliza
  11. WayOut

    Hii Magufuli sasa unapitiliza watu watakujudge vingine!

    yule lofa hawezi huu uninja! tulieni hivyohivyo asije akafanya yake ya chato bure
  12. WayOut

    TFF imemfungia Nyoso kwa miaka miwili kucheza mpira wa miguu

    hatakiwi kuonekana hata uraiani! nahisi yule jamaa anatabia za kishoga si rahisi kumfanyia mwanamme mwenzio kitu kama hicho bila uoga!
  13. WayOut

    TFF imemfungia Nyoso kwa miaka miwili kucheza mpira wa miguu

    ungekuwa umetiwa ww dole ungempa hiyo adhabu na faini kiasi gani!? upopobawa huo! wazazi, watoto, ndugu, jamaa, marafiki, mabosi wenzako wote na wananchi wenzio wameshudia ulivyo fanyiwa upopobawa hadharani alafu unasema adhabu aliyopewa ni kubwa' naamini mbali na mpiga dole kutokucheza kama ni...
  14. WayOut

    TFF imemfungia Nyoso kwa miaka miwili kucheza mpira wa miguu

    duh! hafai kabisa kuwa mchezaji! sheria ipo vipi kwa kosa kama hilo haswa baada ya adhabu ya TFF maana sioni kama inamtisha wala hajatendewa haki kwa kosa alilofanya halisemeki' watu alio wakosea wana familia wana ndugu wana majamaa na mabosi huoni kuwa ame wafedhehesha wenzake kiasi kisicho...
  15. WayOut

    Magufuli: Wachina wamepewa gesi miaka saba ya kufanya utafiti

    hawa nao wanazingua! utafiti wa nini ss wakati mmeshagundua kuwa ni gesi na matumizi ya gesi kila mtu anayafahamu
  16. WayOut

    Jamani hii picha imenihuzunisha

    duh! huku wanapoelekea sio pazuri
  17. WayOut

    TFF imemfungia Nyoso kwa miaka miwili kucheza mpira wa miguu

    adhabu aliyopewa haijitoshelezi na kosa kalirudia kwa mara ya pili! hafai kuwa Mchezaji
  18. WayOut

    Sim card cloning

    inawezekana ila sababu za kufanya hivyo ni chache sana na zenye ulazima wa kufanya hivyo hamna zaidi ya kumtegeshea mkeo au hawara
Back
Top Bottom